Hashim Safi Al din kumrithi Hassan Nasrallah kuiongoza Hezbollah. Mapambano yanaendelea

Hayo mabomu " Bunker buster" yametolewa na marekani na Jana wametangaza kuongeza msaada wa Dola Bilioni 8 kwa Israeli na Ukraine Kila mmoja kwa kifupi hizi vita zote mbili anapigana USA na atakufa nazo muda siyo mrefu.
Mkuu kaa ukielewa Us wanafadhili hela za utafiti pamoja na misaada ya silaha nyingine za kijeshi, lakini teknolojia hii mpya siyo ya kwao.
Unayoitaja bunker buster ni ya kizamani.

Mtu hawezi kufadhili kitu kisha akishangae kwa impact ya matumizi yake.

Hayo mabomu hakuna popote dunia ilikwisha kumiliki, ni mapya.
 
Katika taarifa iliyotolewa hivi punde kutoka vyanzo nchini Iran Hashim anatajwa kuwa tayari jina lake limethibitishwa na shura ya maulamaa kama mrithi wa Hassan Nasrallah. Muda wowote atatangazwa. Huyu ni second in command. Hezbollah hawapoi ni bandika bandua.
View attachment 3109630
⚡️Hivi karibuni Hezbollah inaweza kumtangaza Hashem Safieddine kama Katibu Mkuu, akimrithi Nasrallah, NYT inaripoti.

Hashem Safieddine ni mtu mashuhuri ndani ya Hezbollah, kwa sasa anahudumu kama mkuu wa Halmashauri Kuu ya kikundi.

Yeye pia ni binamu wa Hassan Nasrallah.

Ana uhusiano wa karibu na Iran na uhusiano wa kifamilia—mtoto wake wa kiume ameoa binti ya Qassem Soleimani, kamanda wa zamani wa Kikosi cha Quds cha Iran.
 
Mimi nawasapoti hawa jamaa ila kwasasa watulie tu waache kwanza haya mapambano.
Myahudi inaonesha amewaweza sehemu kubwa ya intelijensia.
Na kila watachofanya yaonekana kinafikika.
Watulie kwanza uwanja ushainama huu ndiki halitembei.
Ayyatollah alipanga kuwa watapigana pamoja ila mwishowe kakimbilia kwenye mashimo.
 
Mkuu kaa ukielewa Us wanafadhili hela za utafiti pamoja na misaada ya silaha nyingine za kijeshi, lakini teknolojia hii mpya siyo ya kwao.
Unayoitaja bunker buster ni ya kizamani.

Mtu hawezi kufadhili kitu kisha akishangae kwa impact ya matumizi yake.

Hayo mabomu hakuna popote dunia ilikwisha kumiliki, ni mapya.
Huu ujinga endeleeni kudanganyana nyie msio na akili. FYI mpaka sasa tangu October Seven 2023 Israel amepokea silaha za thamani ya zaidi ya Bilioni 100. Kila mwezi madege yanatua Tel Avivi kutoka marekani au we mwenzetu kipofu? Hii vita anaiendesha marekani. Na Jana amesema atatoa Bilioni 8 nyongeza ya mabomu na silaha nzito kuwaua wanawake na watoto wa palestina.
 
Folen yake imesogea na yeye kusogeza kichwa kwenye kichinjio.

NB
shoka limesha wekwa shinani tayar kwa kazi, ajitingishe aumie
 
⚡️Hivi karibuni Hezbollah inaweza kumtangaza Hashem Safieddine kama Katibu Mkuu, akimrithi Nasrallah, NYT inaripoti.

Hashem Safieddine ni mtu mashuhuri ndani ya Hezbollah, kwa sasa anahudumu kama mkuu wa Halmashauri Kuu ya kikundi.

Yeye pia ni binamu wa Hassan Nasrallah.

Ana uhusiano wa karibu na Iran na uhusiano wa kifamilia—mtoto wake wa kiume ameoa binti ya Qassem Soleimani, kamanda wa zamani wa Kikosi cha Quds cha Iran.
Huyu nae atawanyoosha sana mashoga tumpe muda kidogo tu
 
Kufarijiana ni kuzuri ila usikimbilie kukikumbatia kifo - huo sio ushujaa ujue.
Unajua kifo ni tafsiri Yako tu. Wenzio wanakikimbilia na kufurahia kufa katika vita vitakatifu hii ndio tofauti kubwa kati ya Islamic resistance na wayahudi. Wayahudi wanaogopa sana kufa wakati wenzao wanafurahi sana kufa katika vita hii. Jibu unalo
 
Kama wanafurahia kelele zinazopigwa ni za nini? Si wawaache wafe vizuri?
 
Huu ujinga endeleeni kudanganyana nyie msio na akili. FYI mpaka sasa tangu October Seven 2023 Israel amepokea silaha za thamani ya zaidi ya Bilioni 100. Kila mwezi madege yanatua Tel Avivi kutoka marekani au we mwenzetu kipofu? Hii vita anaiendesha marekani. Na Jana amesema atatoa Bilioni 8 nyongeza ya mabomu na silaha nzito kuwaua wanawake na watoto wa palestina.
'atatoa bilioni 8 nyongeza ya mabomu na silaha nzito'.

Nawe pia soma ya wenzako uwaelewe.

Nilichokisema na nilichonukuu kwako vina tofauti gani?

Yote uliyoeleza yanafanyika lakini nimekwambia hilo bomu lililofukunyua na kuua Nasralah ni teknolojia yao.

Fuatilia vyombo vya kimataifa utanielewa nachosema.
 
Kabla ya Christmas nae atakuwa pamoja na Haniye & Nasrallah
OK. There will be 72 Brand new virgins for Haniye & 72 for Nasrallah then another lot of 72 reserved virgins for the incoming guy.
 
'atatoa bilioni 8 nyongeza ya mabomu na silaha nzito'.

Nawe piacsoma ya wenzako uwaelewe.

Nilichokisema na nilichonukuu kwako vina tofauti gani?

Yote uliyoeleza yanafanyika lakini nimekwambia hilo bomu lililofukunyua na kuua Nasralah ni teknolojia yao.

Fuatilia vyombo vya kimataifa utanielewa nachosema.
Hakuna kitu kinaitwa teknolojia Yao. Israeli inaendeshwa na kulindwa na marekani kwa Kila kitu. Hilo bomu bunker buster limetengezwa marekani unataka ushahidi nikuwekee hapa?
 
Kifo cha Sayyed Hassan Nasrallah kimeniuma kiukweli.

Sote ni wa Allah na kwake tutarejea.

Wapange safu upya siyo mbaya!
Kalipwa hapahapa duniani kwa aliyokuwa akiyatenda na sasa yupo kuzimu na magaidi wenzake
 
Back
Top Bottom