Hashimu Rungwe: Magufuli alikuwa anaimba viwanda lakini hakujenga hata kimoja

Kwani ili kujua kuna simba na yanga ni lazima uende TFF upewe taarifa? Hivyo viwanda viko sehemu ya siri?
Akili yako ndo inafikiria kiwango hicho? Ukiipenda simba au yanga unadhani wote ni wapenzi wa soka?
Lazima taarifa muhimu na za uhakika zipatikane sehemu hisika na rasimi
 
Aaah! Wapi. Hizi zilikuwa ngonjera za promo tu
 
Huo ndio ukweli ,onyesheni kiwanda acheni kupiga kelele
Mimi nadhani tuweke orodha kwa majina ya viwanda alivyojenga Mjomba Magu.
Kwa mfano Mwalimu Julius K.Nyerere Alijenga zaidi ya viwanda vikubwa 400 Mwatex,Urafiki,General Tyre,Tegry Plastic,Mangula Mechanical Tools,Ubungo Farmers Implement, TANLEC, n.k
 
Akili yako ndo inafikiria kiwango hicho? Ukiipenda simba au yanga unadhani wote ni wapenzi wa soka?
Lazima taarifa muhimu na za uhakika zipatikane sehemu hisika na rasimi
Aliongelea kuona viwanda sio kujua taarifa za hivyo viwanda. Ajue taarifa za uhakika za hivyo viwanda kwani alikuwa anataka kuvinunua?
 
Jiwe alijenga airport (siyo airstrip) kijijini kwao Chatol. Akatumia bilioni 29. Hivi sasa hakuna ndege inatua pale badala yake wakulima wanapatumia kuanikia nafaka.
Mwanaharam yule.

Chatol! (in Lisu'voice).
 
Blah blah za kazi gani muoneshe kiwanda kimoja kilichojengwa unakuwa umemjibu kwa hoja sio kwa vioja kama hivi.
 
Mzee Rungwe ana IQ kubwa sana pengine kuliko hata ukoo au familia yako ..hebu jibu hoja zake achana na personal attack..!
Tuonyesha alichofanya Rungwe kinachoonyesha ana IQ kubwa. IQ ya Magufuli ilonekana siku nyingi kwa elimu yake na utumishi wake kwa taifa katika nyadhifa mbalimbali, kuanzia ualimu hadi Uraisi. Toa CV ya Rungwe tuione. Haoni hata aibu huyo juza.
 
Watu waliosoma. Na magufuli wanatema yai vizuri. Magufuli inaonekana alikuwa mtu wa kuklemu tu ndio maana hata katika mambo ya uongozi alifeli sana
 
Wewe unategemea nini kwa mtu aliyepata division 0 (zero). Yaani DJ awe kiongozi! Ndiyo maana king'ang'anizi na kila anateutamani uenyekiti au anafukuzwa au anauawa...Mbowe Huyo
 
Tuonyesha alichofanya Rungwe kinachoonyesha ana IQ kubwa. IQ ya Magufuli ilonekana siku nyingi kwa elimu yake na utumishi wake kwa taifa katika nyadhifa mbalimbali, kuanzia ualimu hadi Uraisi. Toa CV ya Rungwe tuione. Haoni hata aibu huyo juza.
Ingia Linked.

Halafu masuala ya CV na IQ unayahusianisha vip? Ndio nyie CV zenu zina page 20 lakini upstairs hamna kitu.
 
Kiwanda cha Dhahabu kipo Mwanza saba saba.
 
Tuonyesha alichofanya Rungwe kinachoonyesha ana IQ kubwa. IQ ya Magufuli ilonekana siku nyingi kwa elimu yake na utumishi wake kwa taifa katika nyadhifa mbalimbali, kuanzia ualimu hadi Uraisi. Toa CV ya Rungwe tuione. Haoni hata aibu huyo juza.
Rungwe ni advocate kama hujui.na ndii mtanzania wa kwanza kumuliki kampuni ya kuuza magari
 
Hicho Kiwanda kinaitwaje na kinazalisha nini? Usije kunitajia Kiwanda cha Asas maana kilikuwepo tangu ya Utawala wake.
Naona mmekomaa na kutaja viwanda. Viwanda na kampuni zenye ajira kubwa zilizoanza wakati wa Magufuli, kwa kutaja chache:
Gas Security Services ($221million)
Jambo Foods ($130millions)
KAMAKA Co. ($92million)
Red Earth ($52million)
ASCO Taduing ($39million)
Five Star Pinter (($11million)
Hivi ni wanda vichache kati vingi vilivyoanzishwa wakati wa Magufuli. Ukitaka list jaribu kuingia katika tovuti za serkali mwenyewe. Kwa msaada fuata hii tovuti ifuatayo: https://www.dnb.com/business-directory/company-information.manufacturing.tz.html
 
Rungwe ni advocate kama hujui.na ndii mtanzania wa kwanza kumuliki kampuni ya kuuza magari
Acha uongo. Kuna Watanzania wengi walikuwa na makampuni ya Magari katika miaka ya mingi ya nyuma. Nikiwa mtoto kulikuwa kampuni za waafrika Mwanza na hiyo ni miaka ya 60, wakati Rungwe hajamaliza shule au labda hakuwa shule.
 
Wewe ulitaka utajiwe viwanda, unatajiwa unahamisha goli. Hivyo vilivyotajwa ni viwanda au siyo viwanda.
 
Rhino cement ni kiwanda kilikuwapo tangu 2013 au 2014.

Usimhusushe Azam na sera zenu za viwanda FAKE kwani yeye yupo kwenye industry kabla hata Magufuli hajapata degree yake ya kwanza UDSM
Rhino cement imeanza 2019. Hata kama alikuwepo, amejenga kiwanda kipya wakati wa Magufuli. In any case, serkali haijengi viwanda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…