Akili yako ndo inafikiria kiwango hicho? Ukiipenda simba au yanga unadhani wote ni wapenzi wa soka?Kwani ili kujua kuna simba na yanga ni lazima uende TFF upewe taarifa? Hivyo viwanda viko sehemu ya siri?
Lazima taarifa muhimu na za uhakika zipatikane sehemu hisika na rasimi