Hashimu Rungwe: Magufuli alikuwa anaimba viwanda lakini hakujenga hata kimoja

Hashimu Rungwe: Magufuli alikuwa anaimba viwanda lakini hakujenga hata kimoja

Kwani ili kujua kuna simba na yanga ni lazima uende TFF upewe taarifa? Hivyo viwanda viko sehemu ya siri?
Akili yako ndo inafikiria kiwango hicho? Ukiipenda simba au yanga unadhani wote ni wapenzi wa soka?
Lazima taarifa muhimu na za uhakika zipatikane sehemu hisika na rasimi
 
Aaah! Wapi. Hizi zilikuwa ngonjera za promo tu
 
Huo ndio ukweli ,onyesheni kiwanda acheni kupiga kelele
Mimi nadhani tuweke orodha kwa majina ya viwanda alivyojenga Mjomba Magu.
Kwa mfano Mwalimu Julius K.Nyerere Alijenga zaidi ya viwanda vikubwa 400 Mwatex,Urafiki,General Tyre,Tegry Plastic,Mangula Mechanical Tools,Ubungo Farmers Implement, TANLEC, n.k
 
Akili yako ndo inafikiria kiwango hicho? Ukiipenda simba au yanga unadhani wote ni wapenzi wa soka?
Lazima taarifa muhimu na za uhakika zipatikane sehemu hisika na rasimi
Aliongelea kuona viwanda sio kujua taarifa za hivyo viwanda. Ajue taarifa za uhakika za hivyo viwanda kwani alikuwa anataka kuvinunua?
 
Mimi nadhani tuweke orodha kwa majina ya viwanda alivyojenga Mjomba Magu.
Kwa mfano Mwalimu Julius K.Nyerere Alijenga zaidi ya viwanda vikubwa 400 Mwatex,Urafiki,General Tyre,Terry Plastic,Mangula Mechanical Tools,Ubungo Farmers Implement, TANLEC, n.k
Jiwe alijenga airport (siyo airstrip) kijijini kwao Chatol. Akatumia bilioni 29. Hivi sasa hakuna ndege inatua pale badala yake wakulima wanapatumia kuanikia nafaka.
Mwanaharam yule.

Chatol! (in Lisu'voice).
 
Nawasikitikia Sana wajukuu zake maana kumuita Babu mtu kama huyu ni aibu, ninachojua mpaka mtu astahili kuitwa Babu anatakiwa kuonesha kiwango cha hekima na busara kisichotiliwa shaka.

Mzee Rungwe leo kadhalilisha wazee wenye rika Kama lake bora angekaa kimya tusingejua uzee wake
Blah blah za kazi gani muoneshe kiwanda kimoja kilichojengwa unakuwa umemjibu kwa hoja sio kwa vioja kama hivi.
 
Mzee Rungwe ana IQ kubwa sana pengine kuliko hata ukoo au familia yako ..hebu jibu hoja zake achana na personal attack..!
Tuonyesha alichofanya Rungwe kinachoonyesha ana IQ kubwa. IQ ya Magufuli ilonekana siku nyingi kwa elimu yake na utumishi wake kwa taifa katika nyadhifa mbalimbali, kuanzia ualimu hadi Uraisi. Toa CV ya Rungwe tuione. Haoni hata aibu huyo juza.
 
Watu waliosoma. Na magufuli wanatema yai vizuri. Magufuli inaonekana alikuwa mtu wa kuklemu tu ndio maana hata katika mambo ya uongozi alifeli sana
 
Acha Kuvitetea hivi 'Vibabu' Mbowe na Rungwe..... yaani Watu tupo shule za Sekondari vyenyewe vipo kwenye nafasi Ya Mwenyekiti..! Tukapiga hatua Vyuo bado vipo Palepale...!

Tumebangaliza Wee mtaani na bahasha Za Vyeti kutafuta kazi hapa na pale na Sasa Tupo sehemu tunapiga Mzigo..!

Kutahamaki Bado hivi Vizee Vipo pale pale..! Hivi Katiba Zao huko Zinasemaje jama.?
Madai ya Katiba mpya ni Bora Yangeanzia ndani Ya Vyama..!

Haiwezekani Wewe uwe na Kiongozi tena nafasi M/kiti hujui Ukomo wa Nafasi Hiyo ni lini...? Watu wanapokezana vijiti Yeye Kavimba tu...!
Uliza nini Kimefanyika nitiririke kile ambacho tangu Uhuru watangulizi Walijitahidi kufanya wakapata changamoto ya Panya buku.....
Wewe unategemea nini kwa mtu aliyepata division 0 (zero). Yaani DJ awe kiongozi! Ndiyo maana king'ang'anizi na kila anateutamani uenyekiti au anafukuzwa au anauawa...Mbowe Huyo
 
Tuonyesha alichofanya Rungwe kinachoonyesha ana IQ kubwa. IQ ya Magufuli ilonekana siku nyingi kwa elimu yake na utumishi wake kwa taifa katika nyadhifa mbalimbali, kuanzia ualimu hadi Uraisi. Toa CV ya Rungwe tuione. Haoni hata aibu huyo juza.
Ingia Linked.

Halafu masuala ya CV na IQ unayahusianisha vip? Ndio nyie CV zenu zina page 20 lakini upstairs hamna kitu.
 
Rungwe apitie hizi viwanda kokote Kule aliko

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono mafundi wa Kiwanda cha Victoria molders and polybags mara baada ya kutengeneza Tanki la kuhifadhia maji.

Vifuatavyo ni baadhi ya Viwanda vilizinduliwa na Mhe Rais kati ya mwaka 2017 na 2019

  1. kiwanda cha Global Packing kilichopo Kibaha mkoani Pwani
  2. Viwanda vya mradi wa upanuzi wa mtambo wa maji wa Ruvu Juu na uzalishaji wa mabomba,
  3. Mradi wa Upanuzi wa mtambo wa kusafisha maji Ruvu juu Mlandizi Mkaoni Pwani
  4. mkubwa wa kusafisha na kuzalisha Maji kwa miji ya Pwani na Dar es Salaam.
  5. kiwanda cha Global Packing kilichopo Kibaha mkoani.kiwanda cha kutengeneza matrekta URSUS kilichopo Kibaha mkoani Pwani.
  6. .kiwanda cha Nondo cha Kilua Steel Group kilichopo Mlandizi mkoani Pwani.
  7. viwanda vya chaki na kiwanda cha usindikaji maziwa Simiyu
  8. Kiwanda cha kuchakacha mahindi Mlale – Ruvuma
  9. Kiwanda cha kusaga nafaka cha MeTL – Kurasini Dar Es Salaam
  10. Kiwanda cha Sayona – Mwanza
  11. Kiwanda cha Victoria Molders and polybags – Mwanza
  12. Kiwanda cha Prince Pharmaceuticals – mwanza
  13. Kiwanda cha Chai cha UNILEAVER Kabambe – Njombe
  14. Kiwanda cha Superdoll – Vingunguti Dar er Salaam
  15. Kiwanda cha Sigara cha Philips Moris International – Morogoro
Kila mtu na ukichaa chake, hata wewe hapo ulipo unaukichaa chako
Kiwanda cha Dhahabu kipo Mwanza saba saba.
 
Tuonyesha alichofanya Rungwe kinachoonyesha ana IQ kubwa. IQ ya Magufuli ilonekana siku nyingi kwa elimu yake na utumishi wake kwa taifa katika nyadhifa mbalimbali, kuanzia ualimu hadi Uraisi. Toa CV ya Rungwe tuione. Haoni hata aibu huyo juza.
Rungwe ni advocate kama hujui.na ndii mtanzania wa kwanza kumuliki kampuni ya kuuza magari
 
Hicho Kiwanda kinaitwaje na kinazalisha nini? Usije kunitajia Kiwanda cha Asas maana kilikuwepo tangu ya Utawala wake.
Naona mmekomaa na kutaja viwanda. Viwanda na kampuni zenye ajira kubwa zilizoanza wakati wa Magufuli, kwa kutaja chache:
Gas Security Services ($221million)
Jambo Foods ($130millions)
KAMAKA Co. ($92million)
Red Earth ($52million)
ASCO Taduing ($39million)
Five Star Pinter (($11million)
Hivi ni wanda vichache kati vingi vilivyoanzishwa wakati wa Magufuli. Ukitaka list jaribu kuingia katika tovuti za serkali mwenyewe. Kwa msaada fuata hii tovuti ifuatayo: https://www.dnb.com/business-directory/company-information.manufacturing.tz.html
 
Rungwe ni advocate kama hujui.na ndii mtanzania wa kwanza kumuliki kampuni ya kuuza magari
Acha uongo. Kuna Watanzania wengi walikuwa na makampuni ya Magari katika miaka ya mingi ya nyuma. Nikiwa mtoto kulikuwa kampuni za waafrika Mwanza na hiyo ni miaka ya 60, wakati Rungwe hajamaliza shule au labda hakuwa shule.
 
Aibu sana hii. Nchi kuanzia kujivunia vitu vinavyozalishwa na wafungwa ni kukosa ubunifu. Bidhaa za jela ni kwa ajili ya mapolisi na askari wenzao waogawiwa bure

Seriously unadhani bidhaa za kuzalishwa na wafungwa zinaweza kuingia sokoni? Kwanza raia wakijua wanauziwa viatu vya Jela watasusa
Wewe ulitaka utajiwe viwanda, unatajiwa unahamisha goli. Hivyo vilivyotajwa ni viwanda au siyo viwanda.
 
Rhino cement ni kiwanda kilikuwapo tangu 2013 au 2014.

Usimhusushe Azam na sera zenu za viwanda FAKE kwani yeye yupo kwenye industry kabla hata Magufuli hajapata degree yake ya kwanza UDSM
Rhino cement imeanza 2019. Hata kama alikuwepo, amejenga kiwanda kipya wakati wa Magufuli. In any case, serkali haijengi viwanda!
 
Back
Top Bottom