Hashimu Rungwe: Magufuli alikuwa anaimba viwanda lakini hakujenga hata kimoja

1.Kiwanda cha viatu cha Magereza Kilimanjaro
2.Kiwanda Cha maji ya kunywa cha JKT
3.Kiwanda cha dawa za viatu cha Kangaroo (Bagamoyo)
Au navyo vimeletwa wakati wa Mama!!
Nimesoma uzi wote lakini huu ujumbe kenge wa bluu "vyeti feki, watumbuliwa kazi na mafisadi waliokuwa wamezibiwa mianya ya madili na Mwamba JPM" wameupita kama vile vipofu [emoji23][emoji28]
 
Taja jina la kiwanda na bidhaa zinazotengenezwa hapo!!
Viwanda vingi Sana vimejengwa mkuranga mfano Rhino cement, tiles, kiwanda cha nyama, kiwanda cha matunda cha Azam, we unaishi mkoa gani?
 
Tuoneshe kiwanda alichojenga Magufuli. Vinginevyo huna uhalali wa kumnanga mzee Hashimu Rungwe
Kwaio kile kiwanda cha ngozi cha magereza kule kwa shemeji zangu Moshi alijenga Rungwe?
Kiwanda cha Sare za Jeshi kurasini, kiwanda cha maji JKT?
Na hivi vyote vinafanya production.
Km hamna taarifa ni bora mue mnakaa kimya.
 
Mwaka 2018 tarehe 02 mei Hayati Magufuli alifungua kiwanda kikubwa Sana kule Iringa na siku hiyo nilikuwepo ,nimekupa mfano hai kabisa. Haya huyo Babu anaposema uongo anamaanisha nini?
Basi kufungua godown , ukaona kafungua kiwanda
 
1.Kiwanda cha viatu cha Magereza Kilimanjaro
2.Kiwanda Cha maji ya kunywa cha JKT
3.Kiwanda cha dawa za viatu cha Kangaroo (Bagamoyo)
Au navyo vimeletwa wakati wa Mama!!
Aibu sana hii. Nchi kuanzia kujivunia vitu vinavyozalishwa na wafungwa ni kukosa ubunifu. Bidhaa za jela ni kwa ajili ya mapolisi na askari wenzao waogawiwa bure

Seriously unadhani bidhaa za kuzalishwa na wafungwa zinaweza kuingia sokoni? Kwanza raia wakijua wanauziwa viatu vya Jela watasusa
 
Miundombinu na umeme wa uhakika, angemaliza hapo ndo vingefata viwanda
 
Rungwe muongo sana kipindi cha mwenda zake kila wilaya ilizindua viwanda elfu kumi na kwa mujibu wa waziri wake wa viwanda wakati huo hata ukiwa na cherahani moja ama karai la kuchoma vitumbua hicho ni kiwanda
 
Kabisa Mkuu
 
Viwanda vingi Sana vimejengwa mkuranga mfano Rhino cement, tiles, kiwanda cha nyama, kiwanda cha matunda cha Azam, we unaishi mkoa gani?
Rhino cement ni kiwanda kilikuwapo tangu 2013 au 2014.

Usimhusushe Azam na sera zenu za viwanda FAKE kwani yeye yupo kwenye industry kabla hata Magufuli hajapata degree yake ya kwanza UDSM
 
Jamani kiwanda cha Magerza Moshi sikilijengwa na kufunguliwa na JPM! Viwanda hapo kibaha vingi tu! Au mzee anamaanisha cha kwake Magufuli!?
Wewe ndiyo mpumbavu kama hukubaliani na anayosema Hashim Rungwe
 
Rungwe muongo sana kipindi cha mwenda zake kila wilaya ilizindua viwanda elfu kumi na kwa mujibu wa waziri wake wa viwanda wakati huo hata ukiwa na cherahani moja ama karai la kuchoma vitumbua hicho ni kiwanda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah aisee nimejikuta nacheka kwa sauti kubwa
 
Sio TISS tu wasukuma wako kila idara kwa wingi sana! Mfano angalia mamlaka za mahi mimi yote Tanzania hata Tanroads hapo wasukuma ndo wengine zaidi! Kwa kweli wapunguzwe!
TISS amejaza WASUKUMA balaa, nasikia ilifika kipindi akikutana nao ikulu wanaongea kilugha chao. Yaani mama asafishe hizo idara ziwe kama zamani.
 
Mtu yuko huko mpwapwa atajua kuwa mkoa wa pwani kuna viwanda vingi sana vingi vimejengwa wakati wa JPM wanakalia sasa uchwara za huyo babu!
Viwanda vingi Sana vimejengwa mkuranga mfano Rhino cement, tiles, kiwanda cha nyama, kiwanda cha matunda cha Azam, we unaishi mkoa gani?
 
Viwanda vingi Sana vimejengwa mkuranga mfano Rhino cement, tiles, kiwanda cha nyama, kiwanda cha matunda cha Azam, we unaishi mkoa gani?
Mkuu Rhino cement ya mkuranga Kilikufa wakati wa Magufuri na mpaka sasa limebaki gofu.
Viwanda vya tiles cha Mkiu (Doodwill) kakikuta.
AZAM JUICE Mwandege pia kakikuta
Mimi kipindi nasoma pale KIBITI enzi ya Jakaya nikipita kutoka Dar naviona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…