Na bado watu watafunguka ukweli utajulikana vizuri. Tulipumbazwa.Amesema anaomba aoneshwe hata kiwanda kimoja kilichojengwa na serikali ya Magufuli.
Amesema utawala wake ndiyo umesababisha ukame wa ajira kwa vijana mpk kuibuka kwa panyaroad.
Legacy kwisha! Kwisha kabisaaaa!
Chanzo: Hashimu Rungwe anahojiwa startv muda huu.
View attachment 2224647
View attachment 2224648
Kwani umesahau hata cherehani ni kiwanda au unabisha bisha sasaHuo ndio ukweli ,onyesheni kiwanda acheni kupiga kelele
Kwenye uchumi wa kibepari, Serikali haijengi viwanda ila huandaa mazingira rafiki kwa wawekezaji kuvijenga, ila inaweza kushiriki kama sehemu ya ubia tu.Kuna wajingawajinga hapa wanabishana na Mzee Rungwe na hawana hoja kabisa. Mbona hamtaji hivyo viwanda, kuna huyo kataja tarehe na eneo ila hajui hata hicho kiwanda kilikuwa cha nini. Magufuli alijenga viwanda gani vya serikali?
Mamluki wa meko mna kazi sanaNawasikitikia Sana wajukuu zake maana kumuita Babu mtu kama huyu ni aibu, ninachojua mpaka mtu astahili kuitwa Babu anatakiwa kuonesha kiwango cha hekima na busara kisichotiliwa shaka.
Mzee Rungwe leo kadhalilisha wazee wenye rika Kama lake bora angekaa kimya tusingejua uzee wake
Heee hii sasa. Anasema Bila nani kuingilia kati....Amesema anaomba aoneshwe hata kiwanda kimoja kilichojengwa na serikali ya Magufuli.
Amesema utawala wake ndiyo umesababisha ukame wa ajira kwa vijana mpk kuibuka kwa panyaroad.
Legacy kwisha! Kwisha kabisaaaa!
Chanzo: Hashimu Rungwe anahojiwa startv muda huu.
View attachment 2224647
View attachment 2224648
Dah...Kwa Umri Wake Yule Mzee hakika ilikuwa ndo awe Mfano wa Wapinzani Makini, Lkn Kila nikimwangalia Sioni Uwakilishi Wa Upinzani makini...!
Nadhani hata Yeye Mwenyewe Kajiweka Kundi La Upinzani Wa jokes ndo Mana Kwenye Kampeni zake Alikuwa anatembea na MAHOTIPOTI Ya Ubwabwa.
Yawezekana Hakuna Kiwanda Kilichokamilika...Lkn ni Kweli Vyote vilivyokuwepo kwenye Ilani ya chama Hakuna kilichokamilika...!
Ipo haja Kuomba Mungu wakati Unazeeka Uzeeke Vizuri.
kale ubwabwa wa Hashimu Rungwe upate akili.Hashimu Rungwe, Hata sasa mungu asipoingilia Kati tunaelekea kupata matatizo makubwa sana.
Nenda kazikwe nayeWewe hauaminiki unaloliandika JF
Ngoja tukupakulie wali nyama upunguze njaa.Nawasikitikia Sana wajukuu zake maana kumuita Babu mtu kama huyu ni aibu, ninachojua mpaka mtu astahili kuitwa Babu anatakiwa kuonesha kiwango cha hekima na busara kisichotiliwa shaka.
Mzee Rungwe leo kadhalilisha wazee wenye rika Kama lake bora angekaa kimya tusingejua uzee wake
Wewe ni mlemavu wa akili. Kwahiyo mtu kusema UKWELI amepoteza sifa ya kuitwa Babu... Mzee Rungwe ni msema Kweli daimaNawasikitikia Sana wajukuu zake maana kumuita Babu mtu kama huyu ni aibu, ninachojua mpaka mtu astahili kuitwa Babu anatakiwa kuonesha kiwango cha hekima na busara kisichotiliwa shaka.
Mzee Rungwe leo kadhalilisha wazee wenye rika Kama lake bora angekaa kimya tusingejua uzee wake
Japo mie sikuwa namuunga mkono Magu,lakini kwakuwa amefariki siungi mkono kabisa kumlaumuAmesema anaomba aoneshwe hata kiwanda kimoja kilichojengwa na serikali ya Magufuli.
Amesema utawala wake ndiyo umesababisha ukame wa ajira kwa vijana mpk kuibuka kwa panyaroad.
Legacy kwisha! Kwisha kabisaaaa!
Chanzo: Hashimu Rungwe anahojiwa startv muda huu.
View attachment 2224647
View attachment 2224648
Sukung gangus(singular)Nawasikitikia Sana wajukuu zake maana kumuita Babu mtu kama huyu ni aibu, ninachojua mpaka mtu astahili kuitwa Babu anatakiwa kuonesha kiwango cha hekima na busara kisichotiliwa shaka.
Mzee Rungwe leo kadhalilisha wazee wenye rika Kama lake bora angekaa kimya tusingejua uzee wake
Sukuma gangusHashim Rungwe ni sehemu ya vyeti feki 🇹🇿. Mpuuzeni.
We unafikiri viwanda ni kufokea fokea watu na kuzungumza zungumza kuhusu viwanda eti tayari umeshajenga. Jpm kajenga kiwanda gani zaidi ya kufoka na kutisha tu. Subiri wenye hekima na busara na akiri ndo wanaweza kuinua hii nchi. Kwa jpm nchi ilipatwaAjira Bila Viwanda.. Wala Vyanzo vya Mapato kazi kununua Vitu Nje ndio itakuwa Ajira
Kweli ajengewe sanamu, Ila yule fundi wa sanam wa Hamis wa Tabora, naomba wasimtumie!Rungwe ajengewe sanamu.
Mzee fanya kazi utakufa ni kihoro kwa chuki zako juu ya Wasukuma!!!Sio TISS tu wasukuma wako kila idara kwa wingi sana! Mfano angalia mamlaka za mahi mimi yote Tanzania hata Tanroads hapo wasukuma ndo wengine zaidi! Kwa kweli wapunguzwe!
Aliwezaje kujaza wasukuma while DG wa TISS ni mchaga wa kilimanjaro?TISS amejaza WASUKUMA balaa, nasikia ilifika kipindi akikutana nao ikulu wanaongea kilugha chao. Yaani mama asafishe hizo idara ziwe kama zamani.
Nani kakwambia DGIS ana mamalaka ya kuajiri kwa kiwango hiko??Aliwezaje kujaza wasukuma while DG wa TISS ni mchaga wa kilimanjaro?
Unaweza kudhibitisha hao wasukuma uliokutana nao Ikulu ni TISS while wale walinzi wake wa 4 akiwemo mnikulu wake hawakua wasukuma?
Yani unajaza ndugu zako while wanaokulinda daily sio wasukuma?huu sasa utakua ubwege.