Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Chuki ni kitu kibaya sana. Adolf Hitler katika holocaust aliuwa zaidi ya wayahudi milioni 8 kwa gesi ya sumu kwa sababu tu ya kuwachukia kwakuwa walikuwa ni watu bright in Europe kwa enzi hizo. Hujajifunza tu tangu mauaji hayo mpaka leo?Mimi ningekuwa Sweden
nimgeomba usiku na mchana nichome Quran
ningekunywa petroli.
Ningeikojolea Quran.
Alafu NINGECHOMA na kojo la petroli.
Labda siku za mwisho hizi [emoji1787]
Kasome habari kwenye vyombo vya habari vya kimataifa acha uvivu.mimi ni mkristo lakini kilichofanyika ni ujinga na ushamba wa hali ya juu.We mfia dini tupe ushahidi.
Wewe hujitambuiWewe na yule alieyewapa Waarabu bandari ni watumwa na akili zenu zinafanana.
Fanya iwe jana ili i-sound logic kwako.2001 [emoji1787]
Hao wachomaji wanasema kitabu hicho kina shida gani?View attachment 2673379
Salwan Momika, anayesemekana kuwa mzaliwa wa Iraq anayeishi Sweden, alichoma moto nakala Quran mbele ya msikiti mkuu wa Stockholm siku ya Jumatano.
Mataifa ya Mashariki ya Kati yakiwemo Iraq, Iran, Saudi Arabia na Misri yamekosoa vikali uchomaji huo.
Na Uturuki, imesema kuwa ni "kitendo cha kudharau" huku Morocco ikimrudisha nyumbani balozi wake wa nchini Sweeden kufuatia kuchomwa kwa Koran kwenye maandamano mjini Stockholm.
BBC
Sio serikali wewe ni mahakama. We unafikiri kwa wenzetu serikali ina uwezo wa kuingilia mahakama?Serikali ya Sweden walimruhusu jamaa
Nchi za kiarabu nazo zina ujinga mwingi. Yaani mtu kanunua kitabu chake, kaenda barabarani kaamua kukichoma moto, wenginr mnaanza kupaniki kisa ni kitabu mnachokipenda na kukiheshimu sana. Upuuzi mkubwa.View attachment 2673379
Salwan Momika, anayesemekana kuwa mzaliwa wa Iraq anayeishi Sweden, alichoma moto nakala Quran mbele ya msikiti mkuu wa Stockholm siku ya Jumatano.
Mataifa ya Mashariki ya Kati yakiwemo Iraq, Iran, Saudi Arabia na Misri yamekosoa vikali uchomaji huo.
Na Uturuki, imesema kuwa ni "kitendo cha kudharau" huku Morocco ikimrudisha nyumbani balozi wake wa nchini Sweeden kufuatia kuchomwa kwa Koran kwenye maandamano mjini Stockholm.
BBC
Mbona hamkusema Quran zile zilizo teketea kwenye tetemeko huko uturuki...View attachment 2673379
Salwan Momika, anayesemekana kuwa mzaliwa wa Iraq anayeishi Sweden, alichoma moto nakala Quran mbele ya msikiti mkuu wa Stockholm siku ya Jumatano.
Mataifa ya Mashariki ya Kati yakiwemo Iraq, Iran, Saudi Arabia na Misri yamekosoa vikali uchomaji huo.
Na Uturuki, imesema kuwa ni "kitendo cha kudharau" huku Morocco ikimrudisha nyumbani balozi wake wa nchini Sweeden kufuatia kuchomwa kwa Koran kwenye maandamano mjini Stockholm.
BBC
I hope hajachoma nakala zote.
Si imehifadhiwa kichwani na mamilioni ya watu sasa mtu mmoja mwenye kisebusebu chake akichana kuna tatizo gani mpaka muanze kuzua vurugu na kukera wengine ambao hata hawakuhusika?
Sijaongelea hisia hapa ila nimeongelea kitendo. So ikitokea mtu amechoma biblia utachukua hatua gani? It means na wewe utachoma Quran?Mimi ni mkristo na sikubaliani na mtu yeyote kuchoma kitabu cha dini yeyote kwa lengo la kuwakasirisha wafuasi wa dini hiyo.
Kwani alikwambia anataka kuwakasilisha imani ya watu fulani?Mimi ni mkristo na sikubaliani na mtu yeyote kuchoma kitabu cha dini yeyote kwa lengo la kuwakasirisha wafuasi wa dini hiyo.
Kama ni hiyo kwenye picha, ni magumashi hiyo.View attachment 2673379
Salwan Momika, anayesemekana kuwa mzaliwa wa Iraq anayeishi Sweden, alichoma moto nakala Quran mbele ya msikiti mkuu wa Stockholm siku ya Jumatano.
Mataifa ya Mashariki ya Kati yakiwemo Iraq, Iran, Saudi Arabia na Misri yamekosoa vikali uchomaji huo.
Na Uturuki, imesema kuwa ni "kitendo cha kudharau" huku Morocco ikimrudisha nyumbani balozi wake wa nchini Sweeden kufuatia kuchomwa kwa Koran kwenye maandamano mjini Stockholm.
BBC
Sa wanalalamika nini kama ni FAKE Qur'an?Kama ni hiyo kwenye picha, ni magumashi hiyo.
Kuna Qur'an isiyokuwa ya Kiarabu?
Lengo lake lilikua ni nini?Kwani alikwambia anataka kuwakasilisha imani ya watu fulani?