Hasira ya Mungu imeshuka juu ya LOS ANGELES, inateketea Kama Sodoma Na Gomora

Hadithi ya Nuhu unaiamini kabisa mkuu?
Tukianza kuichambua hiyo hadithi ina mapungufu mengi mkuu. Wewe kama unaamini ilikuwa kweli endelea kuamini.
Mimi naiona kama hadithi nyingine tu za kupoteza muda
 
Umesema Ukweli mtupu mkuu
 
Dar hakuna p didy wewe!
 
Hadithi ya Nuhu unaiamini kabisa mkuu?
Tukianza kuichambua hiyo hadithi ina mapungufu mengi mkuu. Wewe kama unaamini ilikuwa kweli endelea kuamini.
Mimi naiona kama hadithi nyingine tu za kupoteza muda
Mkuu, mbona hadithi zipo nyingi na ambazo wewe unaziamini?
 
Sio chuki zangu huo ndio uhalisia na kwa taarifa tu insurance haitowalipa hata mia
Duh! Hii hatari!

Kwao hawana sera kama za China?

China kuna mji ulikumbwa na mafuriko ukaharibiwa. Serikali ikaamua kuujenga kisha wakawakabidhi walengwa nyumba zao kwa kuwakata tozo kadhaa mpaka kufikia thamani ya nyumba husika na kukabidhiwa umiliki kamili wa nyumba.
 
Irani walilipa nini kwa tetemeko lililoua zaidi ya 3000?
 
insurance policy za los angeles zina kipengele cha force majeure, hawakulipi kama ni natural disaster iwe moto, floods, etc ndio maana unaona vilio vimekuwa vingi
 
Irani walilipa nini kwa tetemeko lililoua zaidi ya 3000?
Mkuu, unafikiri kila mtu ana chuki na kupenda ubishani?

Sipo tayari kwa hilo ambalo unalianzisha.
 
Asiyeamini kama huyu ni mungu hawezi kuamini chocjote kwenye maisha yake , acha waisome namba wengi wao walichanga hadi hela ili gaza watoto wauliwe leo wao mungu kawapa dozi kidogo tu wanalia kama watoto, karma never miss the address
Mwanzo nilidhani kuwa uko na point, kumbe ni mfuasi wa mudi mvaa kobazi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
California ni eneo hanga kwa mioto ya mwituni Toka miongo mingi nyuma.

Kabla hata na baada ya Arnold Schwarzenegger kuwa governor wa Jimbo Hilo.

Tel Aviv huko Israel mashoga hufanya mpaka sherehe na hakuna moto ushukao dhidi Yao.

Tutumie ufahamu na maarifa ( elimu) kuyajadili matukio kama haya. Naamini MUNGU yupo, lakini kuhusu California moto ni kawaida kulikumba eneo hili japo kwa awamu hii madhara ni makubwa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…