Hasira ya Mungu imeshuka juu ya LOS ANGELES, inateketea Kama Sodoma Na Gomora

Uwepo wa wapumbavu kama wewe na mleta uzi hapa nchini utasababisha tuzidi kuchelewa sana kimaendeleo. Mna ujinga mwingi mno. Kwa akili zako za kipumbavu ni kwamba Mungu alikuwa anamlipiza James Wood kwa kuchoma nyumba hata za wasio na hatia?
 
What goes around comes around
 
Nimeipenda hii expert,siku zote majanga yakitokea kwa wengine wanachukulia poa,ni zamu yao sasa hawa shwaini
 
Uwepo wa wapumbavu kama wewe na mleta uzi hapa nchini utasababisha tuzidi kuchelewa sana kimaendeleo. Mna ujinga mwingi mno. Kwa akili zako za kipumbavu ni kwamba Mungu alikuwa anamlipiza James Wood kwa kuchoma nyumba hata za wasio na hatia?
Endelea kushupaza shingo tajiri wa mchongo 😂😂
 
Nilikuwa naangalia kuna Simba wa milimani, kuna ndege, kuna viumbe chungu nzima wameungua, sasa na hao wamemkosea Mungu?
Unakuta waliokufa hawajihusishi na ushoga ambao ndiyo mawazo ya mleta mada kwamba Mungu amepata hasira baada ya kuona LA wanafilana sana.
Tuacheni kuamini imani potofu kama hizi wakuu.
Hili ni janga tu kama majanga mengine ya asili na wala si kwamba eti Mungu amekasilika.
Manyara walikufa watu kibao tu na wao walikuwa wanafilana Mungu akakasilika?

Mimi nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba Mungu yupo
 
Na wewe acha Makasiriko kisa tu unaipenda Marekani. Akiwa ni Munga au sio yeye hata wewe huwezi kujua. Nadhani wewe ungekuwepo kipindi cha farao bado ungepinga mengi tu aliyoyafanya Mungu.
Mungu hajafanya chochote na wala hatoweza kufanya chochote mkuu.
Hivi inakuwaje mpaka watu wazima na mavuzi yenu mnaamini hizo hadithi za Mungu?
 
Wabongo na waafrika maskini choka mbaya mna chuki zisizo na msingi wowote kwa Marekani.

Huyo Mungu mbona hasira zake hazishuki juu ya Mbagala, Temeke, Tandika, Buza, River side, Sinza, Uwanja wa fisi???
Kwani mbagala kuna nini tena mkuu
 
Iyo ni kama masoko tu yanavyochomwa bongo ili yajengwe upya,LA inaenda kuwa Bora zaidi,uzuli walionguliwa nyumba watabaki na viwanja vyao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…