Mafuriko ya saudia 2009 ilikua ni ufirauni upi ulifanyika?Sasa expert rate ya huu ufirauni unaona fanyika huko mamtoni ni sawa na wa hawa wapuuzi wachache wa huku?
Je unahitaji takwimu katika hili?
Kwanini useme ufirauni..Mafuriko ya saudia 2007 ilikua ni ufirauni upi ulifanyika?
SawaKwanini useme ufirauni..
Sema ni dhambi gani iliyofanyika...kutaja neno ufirauni pamoja na saudia ni vibaya
Mjibu tu mkuu kwamba Saudiq hakuna mafilauni?Sawa
Anajua ligi lake lisingeisha kitotoMjibu tu mkuu kwamba Saudiq hakuna mafilauni?
Au unamuogopa 🤣🤣
Wanaopaswa kuogopa ni walokole na sio mimi bwashee.Mjibu tu mkuu kwamba Saudiq hakuna mafilauni?
Au unamuogopa 🤣🤣
Shida yako unaibana sana gesi ya tumboni isitoke hadi inakwenda kufukiza ubongo wako ndio maana mgumu sana kuelewa.Mungu hajafanya chochote na wala hatoweza kufanya chochote mkuu.
Hivi inakuwaje mpaka watu wazima na mavuzi yenu mnaamini hizo hadithi za Mungu?
Acha zako mkuuAnajua ligi lake lisingeisha kitoto
Acha zako mkuu
Umeme umekata ilala nzima mkuuAcha zako mkuu
Mkuu ilikuajeLAPD si wamemkamata Arson ambaye ndiyo aliyeunguza huo mji.
Mtajua mwenyewe mkuu.Umeme umekata ilala nzima mkuu
Kwa hiyo wote walio tubu wapo wote duniani mpaka sasa? Na ambao hawajatubu wote wameshaangamia ?Luka 13
Wakati huo huo, kulikuwa na watu waliomwambia Yesu habari za Wagalilaya ambao Pilato aliwaua, na damu ya hao watu akaichanganya na dhabihu yao waliyokuwa wanatoa. Yesu akawauliza, “Mnadhani kwamba hawa Wagalilaya ambao walikufa kifo cha namna hiyo walikuwa na dhambi kuwazidi Wagalilaya wengine wote? La hasha! Ninyi nanyi msipotubu, mtaangamia vivyo hivyo. Au wale watu kumi na wanane waliokufa walipoangukiwa na mnara huko Siloamu: mnadhani wao walikuwa waovu kuliko watu wote waliokuwa wanaishi Yerusalemu? Nawaambia, la hasha! Ninyi nanyi msipotubu, wote mtaangamia vivyo hivyo.”
Mkuu ilikuaje
That's what we are about to find out.Kwa hiyo wote walio tubu wapo wote duniani mpaka sasa? Na ambao hawajatubu wote wameshaangamia ?