Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Vipi ile legasi mliyoapa kuilinda, kwa mtutu mmeweza??Hayati Dr John Pombe Magufuli aliwahi kunukuliwa kuwa alinusurika kuuawa kwa sumu mara kadhaa.
Yote haya yanaweza kuakisi kazi za WAHUNI.
Tuungane kukemea wahuni.
Au kichaa kilimzuzuaAlikuwa anaota tu
Wanahusika by far according to my Guts! Kuna watu michongo yao ilifelishwa mda mrefu na ndio hao waliokuwa wanasheherekea kifo cha Jabali!Na huenda ndiyo walituondolea kipenzi chetu mwaka huu.
#kataawahuni
Wewe hautaoza?Kuwa mstaarabu![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbona saizi yupo chato anaendelea kuoza mkuu
Kwani si alikuwa anajitetea hivyo mbele ya wananchi ili wampe kura kwa mtazamo wako wananchi waligeuka wahuni.Wakati wa kampeni akawa anawalalamikia hvi
"Mwinyi mlimpa miaka 10, Mkapa miaka 10, mzee Kikwete miaka 10, mbona mimi mnataka kuniipa mi5 pekee? Wahuni si watu, hivi walimpa mingapi kweli?
Ila mwisho wa siku wakamnasaHayati Dr John Pombe Magufuli aliwahi kunukuliwa kuwa alinusurika kuuawa kwa sumu mara kadhaa.
Yote haya yanaweza kuakisi kazi za WAHUNI.
Tuungane kukemea wahuni.
Vipi aliwahi kumkopa au kumzurumu mzazi wako mambo ya ukubwani?Huyu jamaa alikuwa katili mno
Na ndio hawa wanapambana kumchafua unknowing jabali tulimpenda sana na anaendelea kuishi mioyoni mwetu.Wanahusika by far according to my Guts! Kuna watu michongo yao ilifelishwa mda mrefu na ndio hao waliokuwa wanasheherekea kifo cha Jabali!
Wapuuzi tu hawa waliobaki ni mafisadi tu wasiojali hata watuNa ndio hawa wanapambana kumchafua unknowing jabali tulimpenda sana na anaendelea kuishi mioyoni mwetu.
Angalia aina ya watu wanaomchukia, kina Judge Werema ambao walikuwa wanufaika wa ufisadi kama Escrow, n.k.
#kataawahuni
Endeleeni kufarijiana watoto yatima.Na ndio hawa wanapambana kumchafua unknowing jabali tulimpenda sana na anaendelea kuishi mioyoni mwetu.
Angalia aina ya watu wanaomchukia, kina Judge Werema ambao walikuwa wanufaika wa ufisadi kama Escrow, n.k.
#kataawahuni
Ungewataja hao wahuni tuwafahamu ili polisi wawachukulie hatua.Hayati Dr John Pombe Magufuli aliwahi kunukuliwa kuwa alinusurika kuuawa kwa sumu mara kadhaa.
Yote haya yanaweza kuakisi kazi za WAHUNI.
Tuungane kukemea wahuni.
Kiroboto ndio amekujuvya haya??Hayati Dr John Pombe Magufuli aliwahi kunukuliwa kuwa alinusurika kuuawa kwa sumu mara kadhaa.
Yote haya yanaweza kuakisi kazi za WAHUNI.
Tuungane kukemea wahuni.
Hata mangula nae alinusurika piaHayati Dr John Pombe Magufuli aliwahi kunukuliwa kuwa alinusurika kuuawa kwa sumu mara kadhaa.
Yote haya yanaweza kuakisi kazi za WAHUNI.
Tuungane kukemea wahuni.
Kwanini leo wizara inaagiza Mwingira akamatwe na si kukaa kimya kama ilivyokaa kimya alipotoa tuhuma mwendazake?ni wahuni ndio wanamkumbuka kwa maovu ya kutengeneza