Hata kama Mbowe akiwa Mwenyekiti na Lissu Mkurugenzi wa NEC Mnyika awe IGP bado CHADEMA ya sasa haishindi uchaguzi

Dikteta Magufuli ndiye aliyewapa Chadema mbunge moja na sio wananchi ila Mungu amelipa hiyo dhuluma yake.
Hatuongelei Magufuli huyu keshakuwa past tense ni upi mkakati wa kumkabili Samia na ccm yake? Ni huu huu mkakati wa kushinda ikulu Kila mwezi utadhani kuwa mpinzani ni kuwa mhudumu wa ikulu?

Nina uhakika ziara za mbowe ikulu zitakuwa nyingi kumzidi kinana.

Unaweza usijue athari yake kwa upinzani but ukianza kuiomba mpinzani wako akuhurumue sahau kutoboa.
 
Msituletee majeshi huku ZANZIBAR wala Diwani Na usalama wake wasipige kambi hapa Mtoni Na Tume iwe huru , jawabu mtalipata
Sijaongelea Zanzibar huko hali kisiasa ni tofauti sana na huku, hivyo lazima huko mada yake ijitegemee.
 
Wao kwa viwango vyao haya ni bonge ya maendeleo, ndio maana wanaendelea kupora uchaguzi ili waendelee kuleta hivyo vihoja wanavyolazimisha kuwa ni maendeleo.
Hebu tufafanulie maendeleo ni nini kwa tafsiri yako maana hata kwenye ilani ya chadema kulikuwa na sgr maji elimu bure hospital labda lililopungua ni mfuko wa cement kuuzwa elfu tano
 
Ukweli ni kwamba hali ya kisiasa ya sasa hapa nchini inakatisha tamaa sana.

Ukisoma maandiko mengi humu ndani ya wenye mrengo wa upinzani, wanailaumu ccm kuwadhoofisha huku wakisahau kwamba hakuna chama siasa chenye jukumu la kuruhusu chama pinzani kisitawi.

Ukiwa kama mpinzani unalazimika kutumia njia yoyote kuhakikisha chama chako kinavutia raia wa kawaida Kwa wingi, kikishaungwa mkono kiwango hicho hata mkiibiwa kura hao watu hawatakubali.

Hali tuliyonayo Kwa sasa hapa nchini tuna wapinzani dhaifu sana wanaonunulika wabinafsi wababe na wengi wao wako pale Kwa maslahi yao binafsi.

Katika mazingira ya namna hii hakuna mwamko mkubwa sana huku mtaani unaoleta kashkash kama za mwaka 2010 ambapo hata ccm wenyewe walikuwa wamejikatia tamaa.

Kwa sasa taifa linazungumzia kupanda Kwa gharama za maisha, ila wapinzani wamekomaa na tume huru mara uchaguzi huru mara katiba mpya nk.

Katika muktadha kama huo akija kinana akasema tunduma njia nne Bashe akaja na mbolea nusu bei Samia akaja na elimu bure hadi form six nk itakuwa ngumu sana raia kukuelewa mpinzani kuwa unapambana Kwa Kwa niaba ya mwananchi wa kawaida.

Naomba wapinzani tubadili namna ya kufanya siasa tufanye siasa zenye ushawishi kwa watu ili tuungwe mkono na ccm istaafishwe siasa.
Tunataka vyombo huru vya kisheria,polisi,tume huru,
Ukosefu wa demokrasia ndio chanzo Cha majanga yote,
Sasa hv Kuna kikundi kinachoongoza nchi,hakihijiwi na yoyote,kinafanya kinavyotaka,nikupe mfano,hile state lodge aliyojenga Jiwe kwao chato,iwe inapokelea wageni wa Raisi ilijengwa kwa bajeti ipi,iliyopitishwa na nani?na sasa hv hiyo lodge inatumikaje!mahesabu yake yaliamuliwa na mtu mmoja kwa utashi wake,huu ni wizi na nchi haiwezi endelea kama mtu mmoja anajichukulia pesa hazina anavyotaka,kamsome Mobutu wa Zaire alivyofanya.
Loyal tour,tuliambiwa "haijatumia pesa za serikali"imechangiwa na watz""hawatajwi!!hao watz wenye upendo wanao weza kutoa pesa mabilioni kama sadaka ni kina nani!?
Kiongozi wa ccm anasimama anasema hapa hatuleti zahanati kwa vile diwani wenu ni WA upinzani,Chadema!!kwamba Ili maendeleo yaje inabidi tuchague ccm!
Maendeleo yanaletwa na Kodi zetu,
 
Sasa unategemea wenzio wakupiganie wewe huku wewe mwenyewe hujipiganii?
Sijaomba mtu yeyote anipiganie ila chama cha siasa ni mali ya umma tuna haki ya kutoa maoni yetu juu ya uendeshaji wake ili kibadilike na kuleta ushindani wa kweli sio huu wa sasa.

Maana ukiangalia hata wenzetu Uganda ambao mazingira ya kisiasa hayana tofauti kubwa sana na hapa kwetu bado wameweza kuihenyesha sana serikali ya museveni.
Huwezi kusikia eti bobi wine au besije kaenda ikulu kuonana na m7 nadhani siku akithubutu kufanya hivyo atapoteza wafuasi wengi sana.
 
Umeandika upuuzi kamaulivyo mpuuzi
Mimi mpuuzi sawa nimeleta upuuzi sawa but why upinzani kwa miaka 30 ya uwepo wake hadi sasa kuna majimbo mengi tu wanakosaga wagombea wa kuwasimamisha? Na hapa siongelei huu wa 2020 maana ule tusiite uchaguzi. Kwa hiyo kwangu mimi upuuzi ni kushindwa kupenyeza chama nchi nzima alafu ukadhani Kwa kuiomba ridhaa ya mshindani wako utatoboa.
 
Umuhimu wa tume huru ni kulinda hadhi ya Kura ya mwananchi ambae ndie mpiga Kura na sio chama chochote cha siasa.kura yako mwananchi ndio maendeleo YAKO kwa maana kupitia Kura yako utamkataa kiongozi usie mwamini yaani fisadi,MLA rushwa,mwizi,asiye thamini maoni yako,mbadhirifu nk.kupigania tume huru nikupigania hadhi ya mpiga Kura mwisho wa siku sanduku ndio liamuwe nani anakubalika na wapiga Kura .maana ubora au ugumu wa maisha anakabiliana nao mpiga Kura bila kujali ni wa chama gani ,mfano Bei ya mafuta,gharama za matibabu nk.hivyo kudhani kwamba wanaotaka tume huru wanataka kuingia ikulu ni fikra iliyo jaa uoga na kutokujiaamini.
 
Ukweli ni kwamba hali ya kisiasa ya sasa hapa nchini inakatisha tamaa sana.

Ukisoma maandiko mengi humu ndani ya wenye mrengo wa upinzani, wanailaumu ccm kuwadhoofisha huku wakisahau kwamba hakuna chama siasa chenye jukumu la kuruhusu chama pinzani kisitawi.

Ukiwa kama mpinzani unalazimika kutumia njia yoyote kuhakikisha chama chako kinavutia raia wa kawaida Kwa wingi, kikishaungwa mkono kiwango hicho hata mkiibiwa kura hao watu hawatakubali.

Hali tuliyonayo Kwa sasa hapa nchini tuna wapinzani dhaifu sana wanaonunulika wabinafsi wababe na wengi wao wako pale Kwa maslahi yao binafsi.

Katika mazingira ya namna hii hakuna mwamko mkubwa sana huku mtaani unaoleta kashkash kama za mwaka 2010 ambapo hata ccm wenyewe walikuwa wamejikatia tamaa.

Kwa sasa taifa linazungumzia kupanda Kwa gharama za maisha, ila wapinzani wamekomaa na tume huru mara uchaguzi huru mara katiba mpya nk.

Katika muktadha kama huo akija kinana akasema tunduma njia nne Bashe akaja na mbolea nusu bei Samia akaja na elimu bure hadi form six nk itakuwa ngumu sana raia kukuelewa mpinzani kuwa unapambana Kwa Kwa niaba ya mwananchi wa kawaida.

Naomba wapinzani tubadili namna ya kufanya siasa tufanye siasa zenye ushawishi kwa watu ili tuungwe mkono na ccm istaafishwe siasa.
By Implication, hapa umemaanisha kuwa Mwenyekiti & Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC na IGP ndio huiwekaga CCM Madarakani sio ?
 
Kwa hiyo wewe unadhani chadema wakipewa madaraka utaishi juu ya dollar moja Kwa siku Kwa mkakati upo na Kwa watendaji wapi? Hawa Hawa walioshindwa kuikuza chadema Toka wabunge 100++ Hadi mbunge mmoja?
Kwani kuna uchaguzi ulifanyika?
 
Hebu tufafanulie maendeleo ni nini kwa tafsiri yako maana hata kwenye ilani ya chadema kulikuwa na sgr maji elimu bure hospital labda lililopungua ni mfuko wa cement kuuzwa elfu tano

Maendeleo ni hizo propaganda mnazopita mkipiga huko. Ukitaka kujua maendeleo ni nini nenda South Africa halafu uje utoe mrejesho.

Mnachokifanya nyie ni Sungura, lakini sifa ni tembo.
 
Ukweli ni kwamba hali ya kisiasa ya sasa hapa nchini inakatisha tamaa sana.

Ukisoma maandiko mengi humu ndani ya wenye mrengo wa upinzani, wanailaumu ccm kuwadhoofisha huku wakisahau kwamba hakuna chama siasa chenye jukumu la kuruhusu chama pinzani kisitawi.

Ukiwa kama mpinzani unalazimika kutumia njia yoyote kuhakikisha chama chako kinavutia raia wa kawaida Kwa wingi, kikishaungwa mkono kiwango hicho hata mkiibiwa kura hao watu hawatakubali.

Hali tuliyonayo Kwa sasa hapa nchini tuna wapinzani dhaifu sana wanaonunulika wabinafsi wababe na wengi wao wako pale Kwa maslahi yao binafsi.

Katika mazingira ya namna hii hakuna mwamko mkubwa sana huku mtaani unaoleta kashkash kama za mwaka 2010 ambapo hata ccm wenyewe walikuwa wamejikatia tamaa.

Kwa sasa taifa linazungumzia kupanda Kwa gharama za maisha, ila wapinzani wamekomaa na tume huru mara uchaguzi huru mara katiba mpya nk.

Katika muktadha kama huo akija kinana akasema tunduma njia nne Bashe akaja na mbolea nusu bei Samia akaja na elimu bure hadi form six nk itakuwa ngumu sana raia kukuelewa mpinzani kuwa unapambana Kwa Kwa niaba ya mwananchi wa kawaida.

Naomba wapinzani tubadili namna ya kufanya siasa tufanye siasa zenye ushawishi kwa watu ili tuungwe mkono na ccm istaafishwe siasa.
Tukiwa na tume huru ya uchaguzi haina maana tunataka uliowataja washinde ndiyo ionekane kuwa ni tume huru, tumia akili unapotaka kuandika jambo la kujadiliwa japo humu JF wengi hujibu hovyohovyo tu bila kufikiri.
 
Sijasema waungaji mkono hawapo ninachosema ni kwamba hakuna upinzani wa kutosha kuleta kashkash Kwa sababu matendo ya viongozi wa upinzani yamechangia sana kuwavunja moyo waungaji mkono wa upinzani.

Matendo kama kuchukua wagombea toka ccm wapinzani walioaminiwa kuenda ccm kirahisi tu hii imewafanya raia wa kawaida walio wengi kuona ni kama upinzani ni kiini macho tu hakuna haja ya kuwa serious nao.

Kwani unaweza ukajitoa kumpigania mtu Kwa nguvu kiwango Cha kuhatarisha maisha yako lkn kufumba na kufumbua unakuta kateuliwa ukuuu wa wilaya huko ccm , au umepambana kwaajili ya mtu ghafla anatofautiana na mwenyekiti anafukuzwa uanachama bila vikao halali huku akiwa anapendwa bado.

Jambo lingine ni kwamba viongozi wa wapinzani wanawakamia sana watu wao hata Kwa makosa madogomadogo tu mtu anafukuzwa. haya yote yanafanya upinzani uonekane hauko serious kiviile
Wewe ni hasara au niseme ni garasa, nchi huendeshwa na wananchi wote usiishi kama tofali limekaa tu mpaka siku mjenzi analichukua na kulijenga kisha linaonekana nadhifu, shiriki mstari wa mbele kubadirisha maisha yako, usiwaachie wanasiasa kwani kazi yao ni kukuhamasisha nawe ni mtekelezaji. Tofauti ya wakenya na watanzania ni watanzania kupenda kufanyiwa na si kujifanyia.
 
Kwa hiyo wewe unadhani chadema wakipewa madaraka utaishi juu ya dollar moja Kwa siku Kwa mkakati upo na Kwa watendaji wapi? Hawa Hawa walioshindwa kuikuza chadema Toka wabunge 100++ Hadi mbunge mmoja?
Ma CCM mmejaaliwa UBINGWA wa kujitoa fahamu.
Pamoja na bidii zote za ki shetani na nguvu kubwa zilizokuwa zilitumika kuiziba pumzi CHADEMA, huyo mliyekuwa mnamuabudu na kuushangilia uovu wake, hakuweza kuiua.
Huyo marehemu Mungumtu wenu aliujuwa vizuri na kuuogopa uwezo wa CDM kuongoza, umahili wa viongozi wake na HASA mvuto wa mitazamo na hoja zake zinazolenga maendeleo ya kweli kwa WATU wa Tanzania. .
 
Vyama vya upinzani vimepoteza ushawishi wanaweza kushindwa kwao kuanza kuwalalamikia wengine lakini ukija kuangalia kwa ndani wao wenyewe ndio source ya kushindwa kwao
Unajiruhusu kuota ndoto za kichawi halafu wang'ang'ania kutuhadithia bila aibu.
 
Ukweli ni kwamba hali ya kisiasa ya sasa hapa nchini inakatisha tamaa sana.

Ukisoma maandiko mengi humu ndani ya wenye mrengo wa upinzani, wanailaumu ccm kuwadhoofisha huku wakisahau kwamba hakuna chama siasa chenye jukumu la kuruhusu chama pinzani kisitawi.

Ukiwa kama mpinzani unalazimika kutumia njia yoyote kuhakikisha chama chako kinavutia raia wa kawaida Kwa wingi, kikishaungwa mkono kiwango hicho hata mkiibiwa kura hao watu hawatakubali.

Hali tuliyonayo Kwa sasa hapa nchini tuna wapinzani dhaifu sana wanaonunulika wabinafsi wababe na wengi wao wako pale Kwa maslahi yao binafsi.

Katika mazingira ya namna hii hakuna mwamko mkubwa sana huku mtaani unaoleta kashkash kama za mwaka 2010 ambapo hata ccm wenyewe walikuwa wamejikatia tamaa.

Kwa sasa taifa linazungumzia kupanda Kwa gharama za maisha, ila wapinzani wamekomaa na tume huru mara uchaguzi huru mara katiba mpya nk.

Katika muktadha kama huo akija kinana akasema tunduma njia nne Bashe akaja na mbolea nusu bei Samia akaja na elimu bure hadi form six nk itakuwa ngumu sana raia kukuelewa mpinzani kuwa unapambana Kwa Kwa niaba ya mwananchi wa kawaida.

Naomba wapinzani tubadili namna ya kufanya siasa tufanye siasa zenye ushawishi kwa watu ili tuungwe mkono na ccm istaafishwe siasa.
Kweli kabisa
 
Sijaongelea Zanzibar huko hali kisiasa ni tofauti sana na huku, hivyo lazima huko mada yake ijitegemee.
Umeongelea Tz au Zanzibar Si sehemu ya Tz? Diwani mkuu wa usalama wa Taifa Na genge lake wanatoka wapi ? Huyo mgombea wa CCM wa Uraisi wa Zanzibar anachaguliwa wapi?
 
Back
Top Bottom