Hatari! Majasusi wengi wa Rwanda wanawekeza Kagera, Geita na Kahama mkoani Shinyanga

Walimu kibao ni wanyarwanda mwanza

Wengi wao ni wale wa 1959 ambao baadae Rais JKN aliwapa uraia wa kuandikishwa. Wameenda Mwanza kama wananchi wakurya, wahaya na wengine walivoenda Mwanza.
 
Sifa yao kuu ni kujifanya makada wa CCM lialia. Wanyarwanda wametambua udhaifu wa system ya Tanzania kuwa ni CCM hivyo wanatumia mwamvuli wa ukada kujiingiza ndani ya chama na Selikari kisha kwenye vitengo nyeti sababu wanajua ukiwa mwana CCM mtiifu hakuna wa kukugusa.
 
Wewe ni mtusi kima wewe
 
Mleta mada kihistoria, sisi, Rwanda na Burundi tulikuwa nchi moja (kabla ya vita ya kwanza ya dunia). Usiogope

Kama hatuogopi wazungu na waarabu kuwekeza, kwa nini tuogope Wanyarwanda ambao ni waafrika wenzetu kuwekeza?

Toeni uraia pacha ili watanzania wa mpakani wachukue uraia wa nchi mbili ili Maeneo hayo ya moakani yawe cha wote😁😁
 
Mimi nashangaa leo ndio tunastuka na majasusi wa Rwanda!! Mchungaji mtikila alisema sana kuhusu majasusi wa Rwanda ndani ya serikali yetu hakuna aliyejali kila mtu alimuona Mtikila ni kichaa. Kwa taarifa yenu Mtikila alikuwa jasusi namba moja wa nchi hii kama mnabisha chunguzeni alichokuwa anakifanya kwa makaburu wa Afrika kusini wakati alipokuwa anafanya kazi uwanja wa ndege Dar. Majasusi wanafahamiana. Mtikila pia ameshiriki sana kuwapatia uhuru Zimbabwe na ANC wanatambua kazi alizowafanyia
 
Wapumbavu kabisa hawa..mijianaume mizima inalialia Rwanda this Rwanda that..
 
Bora ndugu zetu wa rwanda ama sehemu yoyote afrika waje wawekeze hata watawale hii nchi..kuliko waarabu,wahindi ama wachina...hizo race nyeupe zinatunaga weusi kama takataka.

Go rwanda go.

#MaendeleoHayanaChama
 
Conspiracies haziwezi isha ndani ya vijiwe vya kahawa TZ.
 
Kaongea ukweli. Wabongo wafupi, labda mkizaa na watusi warefu mtapata watoto warefu wasiokuwa na short man complex kama Magufuli. Ukiangalia historia, madikteta wengi ni wafupi.
Wewe nawe mzenji una matatizo..hivi kuna watu wanaakili finyu kama wavisiwani huko...jpm kalala lakini kutwa kumuongelea..huo ndio unyani aliouongelea mrh Mtikila.

Anyway jamii ya watu wafupi kwa Tanzania inapatikana maeneo ya pwani..njoo mwanza..njoo mara uone jinsi walivyo jaa kimwili na kiakili warefu sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Awezi fanya uwo ushenzi kuna mtoto wa mjini anaitwa JK uyo mtu ni hatari sana uyo PK mwenyewe anamjua vzr mziki wa JK..
 
Unashangaa nini wakati mwendazake hakuwa mtanzania asilia na tulikubali akalie ikulu yetu
Wakazi asili wa Tanganyika ni wahadzabe...makabila mengine wote mmewakuta.

So hata wewe mdengereko sio mtanganyika kwa asili...so kaa tulia..lipa kodi na tozo maisha yaendelee.

#MaendeleoHayanaChama
 
Jidanganye tuu hivyo hivyo endelea kudhani hivyo hivyo
 

Haya tumieni akili zenu kupiga vita umaskini na kuleta maendeleo maana ardhi nzuri mnayo na rasilimali mnazo.
 
So maana yake ulinzi wetu mipakani ni dhaifu, sioni ubaya mkitoa taarifa kwa mamlaka husika ili hao wavamizi wakamatwe na kuchukuliwa hatua stahiki.
Ndio maana wanasema tuwe makini sana na mipakani. Maana jamii za kule ni za kuchangamana sana na za inchi jirani.
 
Twende kwa utaratibu. We unaona Rwanda anajenga mahusiano mazuri na DRC kama lengo ni kuishi kama taifa moja. Kwanini asiende kwa nia nzuri na kuishi vema na majirani zake.
 
Mimi ningekuwa Tech guy wenu kuhakikisha hilo linafanikiwa kwakuwapa tech support ya hali ya juu. Drones, hacking, intercoms, etcs zingehusika sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…