Hatari! Majasusi wengi wa Rwanda wanawekeza Kagera, Geita na Kahama mkoani Shinyanga

Kaongea ukweli. Wabongo wafupi, labda mkizaa na watusi warefu mtapata watoto warefu wasiokuwa na short man complex kama Magufuli. Ukiangalia historia, madikteta wengi ni wafupi.
Urefu unafaida gani kwa taifa kama watu hawana maendeleo. Acha kuwaza majivu.
 
Tuanzie wapi sasa!!! Hao majasusi ni wa kike au wa kiume...
 
Ni kweli kabisa,
Na ni too late hawa jamaa wameshaingia ndani kabisa na wengi wana uraia na biashara kubwa kubwa
Nakumbuka kuna mmoja aluwahi hata kuwa mkurugenzi wa sehemu nyeti na si raia,
Ila baadae walimtoa na akaomba uraia, tena ni ke
 
Nyerere ndo aliyechora mpaka wa kutenganisha Rwanda na Tanzania?
 
Tatizo siyo kama unavyo fikiri...tatizo wakiingia kwenye system hapo tutakuwa hatuna ujanja wewe tazama waarabu wachache tu hapa tz wameingia kwenye system nchi ipo mikononi mwao watz weusi atusikilizwi hadi wao watake ...hata mzozo wa ngorongoro unao endelea wamasai wakitaka wabaki ngorongoro basi wamtafute Rostam azizi au GSM wamwombe awakubalie kubaki ngorongoro ..wao wakikubari basi ujue awataondolewa wala kusumbuliwa ...hivyo kupandikiza watu kwenye system ni hatari sana ...ndiyo maana hata USA ilikuwa inalia kuhusu urussi kuingia kwenye system yao hadi kufanikiwa kumweka trump kipindikile najua mlisikia kelele nyingi hadi sasa bado zipo kuwa Trump nyuma yake yupo mrusi
 
Yaani wewe unagundua leo? Mchg. Dr. C. Mtikila alishatupa alert siku nyingi sana nyuma. Na system yao ilim-delete ili asiendelee kuleta madhara upande wao.
Usione Geita, Kahama, Katoro na Mwanza kuna nawiri ukadhani ni kwa nguvu za kidumu cha ccm.
In short ni kwamba hadi kwenye usalama wa nchi, bungeni, mahakamani, n.k tayari jamaa wapo!
Tatizo lenu ccm mnaendesha nchi mkishindana na watanzanja wenzenu badala ya kuimarisha mifumo ya nchi!
 
Inawezekana hiyo M23 ni mali ya Kagame siyo?
Wanasema hivyo, hata sasa si Congo kama wanalalamika kuwa Rwanda wanafadhili vikundi vya mtindo huo!

Kama JW waliingia wakawapiga, wakakimbilia kujificha mpakani mwa Rwanda na Congo, na wengine kukimbilia Uganda, kwanini hizi nchi mbili hazikutaka kujigusa, angalau tu kuwafukuza warudi walikotoka?

Uganda na Rwanda wamejenga Smelter kubwa kabisa Africa, hawana dhahabu hawa.
 
Acha uoga dogo huwezi kuwazuia wafanyabiashara kuwekeza eti kisa wamezaliwa na baba mwenye pua ndefu

Mbona kuna wakenya wamewekeza huko Arusha,Tarime & Moshi je na wao ni majasusi,wanakuwa wawekezaji wakiongea kihindi ila wakisema kiha kilichochangamka mnawaita wanyarwanda
 
Ungeonekana mzalendo kama ungetaja viwanda au uwekezaji uo... Upo sehemu gani na wamiliki akina nani ili mamlaka husika zijue wap pa kuanzia...

Tofauti na hapo ulichoandika inakuwa unafki
 

[emoji1]Karibu Kahama Magic 101 tuburudike weekend ndugu!
 
Mm nadhani anawataka kumbe ni Majungu!!
 
Mbona hao wamejaa serikalini mpaka elimu ya juu wapo pia ktk mashirika ya umma wamejaa kwani shida ni nn?
 
Ni kweli kabisa,
Na ni too late hawa jamaa wameshaingia ndani kabisa na wengi wana uraia na biashara kubwa kubwa
Nakumbuka kuna mmoja aluwahi hata kuwa mkurugenzi wa sehemu nyeti na si raia,
Ila baadae walimtoa na akaomba uraia, tena ni ke
Unataka kusema ndo wakinga au wachaga maana ndo wenye biashara kubwakubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maziwa makuu unayajua wewe gringo? Funny ain’t no funny tho!!!!🤣
 
Neno Uwekezaji lisitumiwe kama kichaka cha kujificha wageni.
Mwekezaji kutoka nje anatakiwa awe na mtaji mkubwa ambao wazawa walio wengi hawana.
Ni makosa makubwa sana kuruhusu shughuli za kiuchumi ndogo ndogo zisizo na mtaji wa mabilioni kufanywa na wageni (labda kama ni wafanyakazi wataalamu).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…