Hatari ya kuwalazimisha watoto wa Watu kwenda JKT!

Kumbe una mifano hai lakini unalazimisha watoto wa watu waende JKT kuteseka bila sababu? Mbona hao wahindi akina Mo, GSM na Bakhressa wamefanikiwa lakini hawakwenda huko kwenye makambi ya kipuuzi? Acha kuwadhulumu watoto wa walalahoi mkuu.
 
Unyanyasaji wa kingono JKT upo sasa na ulikuwepo tokea kipindi cha Nyerere, wa Binti wa kike waliambukizwa ukimwi na maafande na hii ni kuanzia miaka ya 80'.

Kuhusu corruption jeshini, ipo Tena ni ya kutisha
 
Umesema sahihi, Sasa JKT itakuwa kama VETA ndogo, Mimi naona VETA iboreshwe zaidi kwa technology ya kisasa na kudahili wahitimu wa kutosha
 
Unyanyasaji wa kingono JKT upo sasa na ulikuwepo tokea kipindi cha Nyerere, wa Binti wa kike waliambukizwa ukimwi na maafande na hii ni kuanzia miaka ya 80'.

Kuhusu corruption jeshini, ipo Tena ni ya kutisha
Kaka yangu alikuwa mwanajeshi na amestaafu mwaka jana. Moja ya vitu ambavyo alikuwa ananisisitiza ni kutokubali ndugu yeyote aingie jeshini. Alituasa mno kuwa kamwe tusikubali watoto wetu au ndugu zetu kwenda jeshini. Alishashuhudia ushenzi wa kutosha huko jeshini ambao hakutaka mtu wake wa karibu aje aupitie.
 
Kumbe una mifano hai lakini unalazimisha watoto wa watu waende JKT kuteseka bila sababu? Mbona hao wahindi akina Mo, GSM na Bakhressa wamefanikiwa lakini hawakwenda huko kwenye makambi ya kipuuzi? Acha kuwadhulumu watoto wa walalahoi mkuu.
Watoto wa Bakhresa na GSM wapo wangapi?.

Hatuwezi kuwa na taifa la vijana wasioheshimu maadili halafu tukategemea siku moja kuwa juu kuliko mataifa mengine.

Lazima wawe vijana wenye kubeba majukumu sio kudekezwa kizembe tu.
 
Kwani wenye watoto wengi tu ndio watoto wao hujiunga JKT mkuu?
 
Wale wenye umri mkubwa wananielewa vizuri. Vijana wanaokua wakichezea simu hata maongezi yanaonekana kwenye baadhi ya posts za mitandaoni, tunakuwa na taifa linalokosa heshima.

Vijana wanapojilea wenyewe hatari sana kwa Tanzania ya leo na kesho.
Sasa kwenda kuwatesa JKT kwa miezi 3 tu kuna faida gani?
 
Wanafundishwa nidhamu, kwamba maisha sio kujua kuongea kingereza kwa wingi halafu ukashindwa kuishi na watu mbalimbali. Ukashindwa kujishusha na kutawala hisia zako.
Kwa hiyo miezi 3 watoto hawa wananufaikaje zaidi ya kukimbiakimbia, kuvuna mahindi na kuimba nyimbo za matusi?
 
Wanapenda misukule

Ukiliambia kulia 'geuka' linageuka 🤭

Ukiliambia Ua hapo haliulizi kwanini nini Niue wakati mimi mlinzi.! 🤗
CCM wanawalazimisha kwenda JKT ili wawe misukule watawalike kwa urahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…