Preciousvision
JF-Expert Member
- May 14, 2026
- 888
- 1,205
Atajifunza ukakamavu na ujuziMtu hajifunzi uzalendo kwa miezi mitatu.
MTU hujifunza uzalendo kutoka
a) Familia yake (wazazi na walezi)
b) Shuleni
c) jamii yake
d) Viongozi wake
Kama hiyo listi hapo juu kuna mafisadi, wachumia tumbo, wabinafsi, wenye dhulma.
Huyo mtoto hata akae huko jeshini miaka 10 hawezi kuwa mzalendo