Hatari ya kuwalazimisha watoto wa Watu kwenda JKT!

Muhimu ingeachwa iwe ni ya hiari,anayetaka aende na asiyetaka asiende

Kabisa,hakuna maana ya kulazimisha mtu. Kwanza mafunzo ya miezi mi 3 ambayo unauhakika ukitoka pale hautaenda yaendeleza popote hayana maana.

Kama kuna mtu ana ushuhuda jinsi jeshi la mujibu limempa maarifa yalikuja kumsaidia mbeleni aseme. Labda kama aliamua kuwa mlinzi au kazi ya jeshi.
Mtu aende akipenda siyo kulazimishwa
 
Leo nimeona mkeka wa wahitimu wa kidato cha sita wapatao 60,000 ambao wamelazimishwa kwenda JKT kwa lazima kwenye makambi mbalimbali waliyopangiwa kuripoti kuanzia tarehe 01.07.2026. Huyu mtu aliyelazimisha kutungwa sheria ya wanafunzi wa kidato cha sita kwenda JKT kwa lazima ni mwendawazimu. Hivi anafahamu kweli matatizo ambayo wanafunzi hawa wanapitia wawapo huko kwenye makambi ya mateso?

Ingependeza kama wanasiasa wanaolazimisha watoto wa makabwela kwenda kuteseka kwenye makambi ya jasho na damu nao watoto wao wangepelekwa huko wakateseke. Hawa wapuuzi watoto wao wapo Oysterbay, Msasani na Masaki wanakula bata huku watoto wa wenzao wanateseka kwenye makambi ya mateso. Inauma na inasikitisha sana. Hivi ni lini hawa wachumiatumbo wataacha kuwatesa watoto wa walalahoi? Kuwalazimisha watoto wa maskini kwenda JKT sio tu kunasababisha mateso kwa watoto bali pia kunaongeza gharama zisizokuwa za lazima kwa wazazi maskini ambao wamejikamua hadi senti ya mwisho kuwasomesha watoto wao.

Kibaya zaidi, yapo malalamiko kwamba baadhi ya makambi haya yamekuwa yakihusishwa na vitendo vya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya watoto wa kike. Wapo wazazi wanaohofia usalama wa watoto wao kutokana na madai ya mimba na maambukizi ya HIV magonjwa yanayoripotiwa kutokea kwa baadhi ya wahusika waliopita kwenye mazingira hayo

Kuna wakati tunasingizia maprofesa wa vyuo vikuu kuwajaza mimba na UKIMWI watoto wa kike na kuwapa digrii bure bilashi. Lakini kuna madai Watoto hawa huathirika pindi wanapokuwa kwenye makambi haya ya mateso. Natoa wito kwa wazazi kuwazuia watoto wao wasiende kutwezwa kwenye haya makambi ya kijanjaweed na yasiyokuwa na adabu hata kidogo. Mzazi chukua hatua; mlinde mwanao dhidi ya utwezwaji!
​
Labda nikujuze mdogo wangu JKT kwenda au kutokwenda sio lazima sema ni sehemu ya kukuongezea CV ila hata waaipoenda chuo utaendelea na ukitaka nafasi za jeshi KAMA JWTZ utapata sijui unanielewa
 
Sawa mkuu. Lakini mimi hoja yangu ni kuhusu hawa watoto wanaotwezwa huko kwenye makambi ya JKT na wengine kugeuzwa kuwa wake za maafande na kisha kuwajaza mimba na UKIMWI.
 
Kabisa,hakuna maana ya kulazimisha mtu. Kwanza mafunzo ya miezi mi 3 ambayo unauhakika ukitoka pale hautaenda yaendeleza popote hayana maana.

Kama kuna mtu ana ushuhuda jinsi jeshi la mujibu limempa maarifa yalikuja kumsaidia mbeleni aseme. Labda kama aliamua kuwa mlinzi au kazi ya jeshi.
Mtu aende akipenda siyo kulazimishwa
Mkuu umeongea vema sana. Tatizo ni pale wanapolazimisha watoto na kuwapangia makambi kwa lazima. Na pia mtoto asipoenda JKT, wanamnyima nafasi ya kuendelea na masomo ya chuo. Hii nchi ina mambo ya kiqumer sana.
 
Leo nimeona mkeka wa wahitimu wa kidato cha sita wapatao 60,000 ambao wamelazimishwa kwenda JKT kwa lazima kwenye makambi mbalimbali waliyopangiwa kuripoti kuanzia tarehe 01.07.2026. Huyu mtu aliyelazimisha kutungwa sheria ya wanafunzi wa kidato cha sita kwenda JKT kwa lazima ni mwendawazimu. Hivi anafahamu kweli matatizo ambayo wanafunzi hawa wanapitia wawapo huko kwenye makambi ya mateso?

Ingependeza kama wanasiasa wanaolazimisha watoto wa makabwela kwenda kuteseka kwenye makambi ya jasho na damu nao watoto wao wangepelekwa huko wakateseke. Hawa wapuuzi watoto wao wapo Oysterbay, Msasani na Masaki wanakula bata huku watoto wa wenzao wanateseka kwenye makambi ya mateso. Inauma na inasikitisha sana. Hivi ni lini hawa wachumiatumbo wataacha kuwatesa watoto wa walalahoi? Kuwalazimisha watoto wa maskini kwenda JKT sio tu kunasababisha mateso kwa watoto bali pia kunaongeza gharama zisizokuwa za lazima kwa wazazi maskini ambao wamejikamua hadi senti ya mwisho kuwasomesha watoto wao.

Kibaya zaidi, yapo malalamiko kwamba baadhi ya makambi haya yamekuwa yakihusishwa na vitendo vya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya watoto wa kike. Wapo wazazi wanaohofia usalama wa watoto wao kutokana na madai ya mimba na maambukizi ya HIV magonjwa yanayoripotiwa kutokea kwa baadhi ya wahusika waliopita kwenye mazingira hayo

Kuna wakati tunasingizia maprofesa wa vyuo vikuu kuwajaza mimba na UKIMWI watoto wa kike na kuwapa digrii bure bilashi. Lakini kuna madai Watoto hawa huathirika pindi wanapokuwa kwenye makambi haya ya mateso. Natoa wito kwa wazazi kuwazuia watoto wao wasiende kutwezwa kwenye haya makambi ya kijanjaweed na yasiyokuwa na adabu hata kidogo. Mzazi chukua hatua; mlinde mwanao dhidi ya utwezwaji!
​
Hauko serious
 
Labda nikujuze mdogo wangu JKT kwenda au kutokwenda sio lazima sema ni sehemu ya kukuongezea CV ila hata waaipoenda chuo utaendelea na ukitaka nafasi za jeshi KAMA JWTZ utapata sijui unanielewa
Mkuu naomba na mimi nikujuze kuwa hili agizo la wanafunzi kwenda kwenye makambi ya mateso ya JKT ni la lazima na wanapangiwa makambi kwa lazima. Hata ukisoma mkeka wa wahitimu waliopangiwa, utaona umeandikwa MAFUNZO YA LAZIMA.
 
Hii nchi Kila kitu kinawekwa upande wa siasa kupeleka watoto kupata ukakamavu wa mwili akili nayo ni jambo baya?

Kuna vitu tujaribu kuvipa pongezi sio baya Kwa Hilo na iwe lazma ndio Sasa mtaan wanafanya nin?
 
Wewe huoni tatizo mkuu? Kama wewe ulihudhuria JKT hebu tuambie jinsi ulivyonufaika. Kigezo cha kupata ukakamavu na uzalendo, hakina mantiki yeyote.
 
Kwa hili naanza kwanza na hesabu.
Shule unaanza ukiwa na 5yrs+8yrs primary+4yrs ya sec+2yrs ya five na six=19yrs to 20yrs? Hapo tayari wewe sio mtoto unapoenda jkt unakuta unaelewa baya na nzuri na hadi sharia za kuwalinda kingono zipo. Mtu kama ni wa kupigwa chuma ni wa kupigwa tu hata aishi kanisani au msikitini. Mtoa mada hesabu zako hazikaa sawa ndugu kweli kambi inabeba watu kibao hao wote unaniambia lazima watapitiwa na hao wakubwa? Unapokunywa maji chunguza hayo maji kwanza.
 
Mkuu, hesabu zako ziko nje ya mada. Mada iliyopo hewani ni wahitimu wa kidato cha sita kunyanyaswa kingono na kimwili na maafande, regardless of their ages.
 
Hakuna anaelazimishwa kwenda jkt wengi tu hawaendi pia mimi nilipangiwa sikwenda na hadi leo sijawahi pata shida mahali popote na chuo nilisoma vizuri tu.
 
ndio maana kila cku nawaambia hichi kizazi cha sasa akili zenu mda mwingne hazina akili mnabisha. Kwani kuja ukubali kutoa mzgo si unakuta kakutongoza ndugu yangu na wewe ukakubali which means hajakubaka. Kusema anakunyanyasa ni kama anakushika mkiwa parade anakupanda anaenda zake. Hiyo hesabu maanake ni kwamba to be there u are 18yrs and above yaan wewe ni mtu mzima kabisaa. Ushindwe hata kutengeneza ushahidi wowote wa kumshtaki huyo anaekunyasnyas we kila kitu ubaki ni kusema "yes sir! Hata madem wenyewe wanapenda kujipendekeza ndio maana yanawatokea hayo. Record mengne unayoambiwa kwa ushahidi wa badae na sio kukaa kijinga na unaelewa la kufanya au kwani ukisema NO kwa anayekutaka utaishiwa damu? Acha kuogopesha watu waende jkt ndugu yangu coz mengne mtu anajitakia mwenyewe.
 
Wangepunguza miaka ya kukaa shule halafu wakafanya madogo wakae mwaka mmoja ili waonje vizuri drills za kijeshi kidogo, Kwa tunapokwenda CHAOS itakuwa kubwa au govt ya CCM inaogopa?
 
Hakuna anaelazimishwa kwenda jkt wengi tu hawaendi pia mimi nilipangiwa sikwenda na hadi leo sijawahi pata shida mahali popote na chuo nilisoma vizuri tu.
Una bahati sana mkuu.
 
Back
Top Bottom