Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Wazanzibar wamekataa
Kumbe na wewe mtibeli kuna mda unakuwa hauna akili?.. Uslay queen ama mtu kuringa ndo inabidi anyanyaswe kingono?Unyanyasaji wa kijinsia mara nyingi hujitokeza pale mwanamke/binti akileta tabia za kimalaya Malaya
Uko jeshini, shuleni, chuoni unaleta u-slayqueen, binti hutembei kwa heshima, unarembua rembua unamrembulia Nani,
Ukijiheshimu utaheshimiwa.
Unarembua rembua unafikiri Kila MTU mvumilivu(anavumilia ujinga) wengine wanakunyorosha
Hata huko chuoni ukisikia rushwa za ngono sijui nini mara nyingi zinatokea kwa mabinti wasioji-keep kama wadada wenye kujiheshimu.
Kumbe na wewe mtibeli kuna mda unakuwa hauna akili?.. Uslay queen ama mtu kuringa ndo inabidi anyanyaswe kingono?
Kwenye saikolojia tulisoma kitu kinaitwa Dunning - Kruger effect.Unajua maana ya JKT..?
Acha porojo bwashee " Mtu hujaribiwa kwa tamaa zake "
Bahati yao nipo mbali kimasomo ila ninhehakikisha miezi yao mitatu wanatoka wakiwa wazelendo kwelikweli
Next time tambua hiki kituUnyanyasaji wa kijinsia mara nyingi hujitokeza pale mwanamke/binti akileta tabia za kimalaya Malaya
Uko jeshini, shuleni, chuoni unaleta u-slayqueen, binti hutembei kwa heshima, unarembua rembua unamrembulia Nani,
Ukijiheshimu utaheshimiwa.
Unarembua rembua unafikiri Kila MTU mvumilivu(anavumilia ujinga) wengine wanakunyorosha
Hata huko chuoni ukisikia rushwa za ngono sijui nini mara nyingi zinatokea kwa mabinti wasioji-keep kama wadada wenye kujiheshimu.
Next time tambua hiki kitu
"Haijalishi mwanamke amevaaje, anatembeaje, anakuangaliaje, itahalalisha kunyanyaswa kingono"
I do not understand watu wa aina yako hua wana akili gani.
Aisee.Sizungumzii kuhalalisha. Nazungumzia kuchochea.
Ni sawa useme mwizi aibe alafu wenye hasira kali wasimtie kiberiti kisa sheria haziruhusu.
Watu wanatofautiana kuchukulia mambo.
Unapovunja sheria au maadili fulani unasababisha uvunjwaji wa maadili mengine kwa mtu mwingine.
Hutaki kunyanyaswa au kufanyiwa ukatili usichochee watu kukufanyia hivyo kwa kisingizio sheria haziruhusu ukatili.
Ndio yale alikuwa anazungumzia Baba Levo
Nashukuru Mungu mimi mwanangu ameripoti kwa wakati kwenye kambi aliyopangiwa huko Kanda ya Magharibi!Leo nimeona mkeka wa wahitimu wa kidato cha sita wapatao 60,000 ambao wamelazimishwa kwenda JKT kwa lazima kwenye makambi mbalimbali waliyopangiwa kuripoti kuanzia tarehe 01.07.2026. Huyu mtu aliyelazimisha kutungwa sheria ya wanafunzi wa kidato cha sita kwenda JKT kwa lazima ni mwendawazimu. Hivi anafahamu kweli matatizo ambayo wanafunzi hawa wanapitia wawapo huko kwenye makambi ya mateso?
Ingependeza kama wanasiasa wanaolazimisha watoto wa makabwela kwenda kuteseka kwenye makambi ya jasho na damu nao watoto wao wangepelekwa huko wakateseke. Hawa wapuuzi watoto wao wapo Oysterbay, Msasani na Masaki wanakula bata huku watoto wa wenzao wanateseka kwenye makambi ya mateso. Inauma na inasikitisha sana. Hivi ni lini hawa wachumiatumbo wataacha kuwatesa watoto wa walalahoi? Kuwalazimisha watoto wa maskini kwenda JKT sio tu kunasababisha mateso kwa watoto bali pia kunaongeza gharama zisizokuwa za lazima kwa wazazi maskini ambao wamejikamua hadi senti ya mwisho kuwasomesha watoto wao.
Kibaya zaidi, yapo malalamiko kwamba baadhi ya makambi haya yamekuwa yakihusishwa na vitendo vya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya watoto wa kike. Wapo wazazi wanaohofia usalama wa watoto wao kutokana na madai ya mimba na maambukizi ya HIV magonjwa yanayoripotiwa kutokea kwa baadhi ya wahusika waliopita kwenye mazingira hayo
Kuna wakati tunasingizia maprofesa wa vyuo vikuu kuwajaza mimba na UKIMWI watoto wa kike na kuwapa digrii bure bilashi. Lakini kuna madai Watoto hawa huathirika pindi wanapokuwa kwenye makambi haya ya mateso. Natoa wito kwa wazazi kuwazuia watoto wao wasiende kutwezwa kwenye haya makambi ya kijanjaweed na yasiyokuwa na adabu hata kidogo. Mzazi chukua hatua; mlinde mwanao dhidi ya utwezwaji!
Maisha aliyoamua kuishi sidhani mwanachuo kuwa slayqueen kunamdhuru mtu yoyote, kwaiyo yeye kuwa slayqueen ama kuringa ndo justification ya yeye kubakwa ama kuwa sexual harrased??Mwanachuo anakuwaje Slayqueen?
Jamaa hana akili ata kidogo, yaani umbake mtu kisa ni slayqueen ama anaringa.Aisee.
Ukienda kuogelea kwenye swimming pool ukakuta wanawake wamevaa swimming costumes. Ukambaka mmoja na mwingine ukamshika matako.
Ukakamatwa. Utajitetea kwamba mavazi yao yalichochea wewe kufanya hivyo?
Kwaio wewe watoto wako wakivaa pensi nyumbani huwa unawabaka na kuwalawiti sababu wanakuchochea??Sizungumzii kuhalalisha. Nazungumzia kuchochea.
Ni sawa useme mwizi aibe alafu wenye hasira kali wasimtie kiberiti kisa sheria haziruhusu.
Watu wanatofautiana kuchukulia mambo.
Unapovunja sheria au maadili fulani unasababisha uvunjwaji wa maadili mengine kwa mtu mwingine.
Hutaki kunyanyaswa au kufanyiwa ukatili usichochee watu kukufanyia hivyo kwa kisingizio sheria haziruhusu ukatili.
Ndio yale alikuwa anazungumzia Baba Levo
Bora nilisoma zamani.
Hakuna madhara sweetheart wananyoshwa kidogo...Bora nilisoma zamani.
Kwani kuna madhara gani baadae??
Ubaya ni kwamba wajinga wa aina yake wapo wengi. Huyu kaamua tu kuonyesha alivyo mjingaJamaa hana akili ata kidogo, yaani umbake mtu kisa ni slayqueen ama anaringa.
Hapana kunyoshana sio poaaaHakuna madhara sweetheart wananyoshwa kidogo...
JKT ni lazima na uache uwongo tutajie hao watoto wa vigogo ambao hawataenda JKT? Acheni uvivu na uzembe nyie ndiyo mnakuja kujilegezalegeza mtongozwe. We ndiyo mpuuzi, JKT ni lazimaLeo nimeona mkeka wa wahitimu wa kidato cha sita wapatao 60,000 ambao wamelazimishwa kwenda JKT kwa lazima kwenye makambi mbalimbali waliyopangiwa kuripoti kuanzia tarehe 01.07.2026. Huyu mtu aliyelazimisha kutungwa sheria ya wanafunzi wa kidato cha sita kwenda JKT kwa lazima ni mwendawazimu. Hivi anafahamu kweli matatizo ambayo wanafunzi hawa wanapitia wawapo huko kwenye makambi ya mateso?