Wacha kupinga vitu vya msingi wewe! Huwezi kupinga namna hiyo!Leo nimeona mkeka wa wahitimu wa kidato cha sita wapatao 60,000 ambao wamelazimishwa kwenda JKT kwa lazima kwenye makambi mbalimbali waliyopangiwa kuripoti kuanzia tarehe 01.07.2026. Huyu mtu aliyelazimisha kutungwa sheria ya wana
JKT hawatoi ajira, watoa mafunzo ya uzalendo na kujitegemeaWapo vijana wametoka JKT wengine waliahidiwa ajira za JW
Mkuu Kwani mauaji yaliyofanywa D29 asilimia kubwa yalifanywa na nani, kama sio mkunda na ngenge lake kwa masrahi ya kutetea CCM?Kwani ulifundishwa kuitukuza CCM..?
Tena umenikumbusha wacha nimpigie mpwa wangu ambaye yuko JKT anajifunza ufundi! Watoto waende JKT bwana!Basi lalamikia misconduct ya military trainers!
Otherwise, JKT ni taasisi muhimu inayowapa vijana wengi exposure ya maisha halisi ya Mtanzania. If you didn’t know, kuna watoto mayai ambao bila kwenda JKT wanakuwa hawajui chochote kuhusu maisha ya Mtanzania wa kawaida. Such kind of kids take everything for granted!
JKT hawatoi ajira, watoa mafunzo ya uzalendo na kujitegemea
Lijamaa limeongeza michumvi mpaka unajiuliza anaishi Tanzania au wapi?
Ety uende jeshi urudi na Ukimwi hilo Jeshi la Ngono au?
Hivo vitoto vikiwa nyumbani mnavitoambwa, Ila miezi 3 ya JKT ndo unaona wata toambwa 24/7.
Unalalamika kuhusu wabunge wakati kioindi wanapitisha hyo sheria wao ndo walikua wakwanza, Akina zito walienda JKT kipi kipya sasa?
Mwisho kama hutaki mtoto wako aende JKT, Mkataze hakuna atakae mfuata nyumbani
Hivi wewe unadhani kila mtoto anasoma kwenye shule za wenzangu na mimi? Wapo watoto ambao hakuna wanachojua.Kwamba mtoto kuanzia shule ya msingi miaka 7 mpaka sekondari miaka 6 jumla 13 asijue wala asiwe na exposure ya maisha halisi ya mtanzania?😂😂😂
Lakini apate hiyo exposure kwa miezi nutatu? Really?
Unajua umeitukana nchi yako kwa kiwango cha jus Sana?
Huko shuleni walienda kufanya nini?
Wizara ya elimu inafanya KAZI gani?
Mitaala, miongozo ya elimu inaumuhimu gani?
Huko JKT labda uniambie wanaenda kufundishwa ukakamavu, ulinzi binafsi (basics), kidogo ina logic Kwa hiyo miezi mitatu.
Nje ya hapo unaleta siasa na ulaghai.
Walionda JKT Wapo huku mitaani wengi tunawaona,
Hivi wewe unadhani kila mtoto anasoma kwenye shule za wenzangu na mimi? Wapo watoto ambao hakuna wanachojua.
Waongeze muda. Sisi wahenga tulitumikia JKT mwaka mzima. I never regretted!
Mnaolalamika basi lalamikieni duration ya mafunzo na misconduct ya trainers!Miezi mitatu mtoto atajifunza nini zaidi ya kuimba, kukimbiakimbia na kuvuna mahindi?
Angalau mwaka ukisema mtoto unamfundisha hata Ushonaji nguo, ufundi mwashi, kilimo, ufugaji unamfundisha practical
Mnaolalamika basi lalamikieni duration ya mafunzo na misconduct ya trainers!
Mtoto wangu asipoenda watamfanyia nini ?Leo nimeona mkeka wa wahitimu wa kidato cha sita wapatao 60,000 ambao wamelazimishwa kwenda JKT kwa lazima
Jadili bila hasira?
Unachotakiwa ni kuonyesha Umuhimu wa JKT kwa vijana na utoe mifano ya Mafanikio ya vijana walioenda JKT na wale ambao hawakwenda.
Kushindwa kujidhibiti na kuwa na mihemko ni dalili pia hata wewe unahitajika kupelekwa JKT ili upewe mafunzo ya kijeshi ya kujizuia mihemko yako.
Eleza why mtoto aliyemaliza kidato cha 6 aende Jeshini?
Eleza kwa nini sio kidato cha nne?
Au kwa nini kama ni kweli isemwavyo kuwa JKT Kwa lengo la uzalendo.
Je waliomaliza kidato cha sita ndio pekee wanahitajika kuwa wazalendo? Na sio vijana wote hata walioishia darasa la Saba na kidato cha nne?
Tujadili
Mtoto wangu asipoenda watamfanyia nini ?
Uko sahihi. Ni uamuzi usiwapeleke watoto wako huko jahanamuLeo nimeona mkeka wa wahitimu wa kidato cha sita wapatao 60,000 ambao wamelazimishwa kwenda JKT kwa lazima kw
Huo uzalendo mbona hamjauonesha 29/10?Unajua maana ya JKT..?
Acha porojo bwashee " Mtu hujaribiwa kwa tamaa zake "
Bahati yao nipo mbali kimasomo ila ninhehakikisha miezi yao mitatu wanatoka wakiwa wazelendo kwelikweli
Daaah umenikumbusha mbali sana Mwaka 2017 nikiwa Bulombora JKT "B" Coy.Leo nimeona mkeka wa wahitimu wa kidato cha sita wapatao 60,000 ambao wamelazimishwa kwenda JKT kwa lazima kwenye makambi mbalimbali waliyopangiwa kuripoti kuanzia tarehe 01.07.2026. Huyu mtu aliyelazimisha kutungwa sheria ya w