Hatari ya ushoga kwa watoto wa Tanzania; Serikali itunge Sheria kuzuia vikaragosi vya Superman

Yaani hapa tukiomba tuombee wote, eeh Mungu nusuru watoto wetu jamani
kule Fb wanawake mnaongoza kwa kuwasapoti mashoga. Shoga linapost picha limejibinua, limepaka ina na lipshine. Wanawake wanadosha coments kwa wingi kulishangilia, kulisifia na kufurahia.

Afu huyohuyo mwanamke anayeona raha kusapoti na kusifia mashoga unakuta ana matoto ya kiume kibao. Kesho kutwa toto lake la kiume likianza kupakuliwa/kuliwa, eti anaanza kulia, wakati ni laana zake mwenyewe za kufurahia, kusifia na kusapoti mashoga.
 
Weka mbali na watoto tu
 
Kama huwa unawafatiLia bbc swahiLi habari zao mara nyingi ni kuhusu ushoga ndo nlchomaanisha au huwafatiliagi ww

Nyambaaaaaaaaaafu

Topic mezani ni ushoga

Hayo mambo ya kufuatilia bbc Swahili kaanzishe uzi wake

Kilaza wewe
 
Bbc swahiLi ni watu wa hovyo sana

Ila BBC wanapenda sana haya mambo. Nao ni maagent pia.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app


Wana ajenda yao bila shaka, cha ajabu kutufanya kuongelea tuu haya mambo ndo kama tunachochea moto, utakuta wamo humu ndani wanachukua takwimu juu ya jamii yetu na kukubaliana na hayo mambo. haki ya nani kizazi vinavyokuja kutakuwa na wanaume bikira!
 
Na watoto wanavopenda katuni. Wameona waanze na watoto ili wawapandikize hizi tabia wakiwa bado wadogo ili wakikuwa wawe mashoga makomavu yaanze kupigania na haki za ushoga na mashoga kama jinsi walivo wao wazungu.
Tunalalamika tu lakini kwanini hii changamoto isichukuliwe kama fursa? Tupo busy kufatilia na kuzikuza cartoons za kizungu kwanini tusitengeneze za kwetu zenye maadili tunayotaka?
Kulalamika hakutasaidia chochote na tutake tusitake ushoga unazidi kushamiri na ipo Siku hata kama ni miaka 100 ijayo tutaona ni kawaida.
So jukumu ni la mzazi kumuweka mbali mtoto wake kwenye mambo kama hayo ingawa ni vigumu maana teknolojia na utandawazi ni vitu visivyo epukika.
 
Wengine hata FB hatupajui
 
Wana ajenda yao bila shaka, cha ajabu kutufanya kuongelea tuu haya mambo ndo kama tunachochea moto, utakuta wamo humu ndani wanachukua takwimu juu ya jamii yetu na kukubaliana na hayo mambo. haki ya nani kizazi vinavyokuja kutakuwa na wanaume bikira!
Yaan bbc always suala la ushoga wanalipa kipaumbele balaa. Yaan siyo leo wala jana. Wanapemda mnoo

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kama unavitabu nisaidie tafadhali inbox
 
kiduku alipozifungia media za mabeberu kulinda utamaduni wao tulimuona chizi kumbe aliona mbali sana huyu mwamba, kuanzia sasa kiduku ni role model wangu dhidi ya mabeberu

Kiduku pia ni gay Kama hujui
 
Kama huwa unawafatiLia bbc swahiLi habari zao mara nyingi ni kuhusu ushoga ndo nlchomaanisha au huwafatiliagi ww

Nyambaaaaaaaaaafu
Hata CNN yule mtangazaji maarufu wa Business and Travel, anaitwa Richard Quest ni shoga aliyejitangaza na las 5 years alimuonyesha wazi mumewe
 
I am sorry kama nitaku offend, maana yaonekana na wewe ni shoga kwa jinsi ambavyo hutaki tuweke efforts zozote.

Hata kama ushoga upo hatupaswi kuu promote kwa njia kama hiyo ya superman. Waache waliozaliwa na hormones hizo tuendelee kuwatafutia tiba, ila tusiache walio salama wakaingia huko.
 
Yaan bbc always suala la ushoga wanalipa kipaumbele balaa. Yaan siyo leo wala jana. Wanapemda mnoo

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
afu hawa single maza ni kichocheo cha ongezeko la mashoga. Single maza ana watoto wadogo wa kiume afu anadanga na kufumuliwa mbele ya wanawe, saaingine analiwa kwenye chumba anachoshea na watoto.

Siku akiingiza vuta bangi ndani au mlevi, jamaa linawapitia wote mwana na mama yake bila kujali jinsia. Kuna singlemaza moja linamtoto wa kiume, afu linajiuza mitandaoni, anapo post makalio yake, eti anampost na mtoto, anamzalilisha mwanae sana. Afu wanaume wanalisifia haswa.

Anaposifiwa ndo anazidi kuanika makalio yake nje, nje. Sasa single maza unapofanya umalaya wako mitandaoni au sehem yoyote ile na kuhusisha mtoto mdogo tena wa kiume kwa kumpost au vyovyote vile, unamaanisha nini? au unataka aliwe kama wewe? Kama huko sio kurisisha mtoto ushoga, ni nini hicho?
 
[emoji102][emoji102][emoji849]
 
Yaani hata kama mimi ni shoga ndo hivyo huna cha kunifanya zaidi ya kupiga kelele na kupata hasira. Pole ndugu
 
Well said!
Of-topic: Huyu Jon Kent si alikuwa mtoto? Imekuwaje?
 
Well said!
Of-topic: Huyu Jon Kent si alikuwa mtoto? Imekuwaje?
Ndio Jon Kent ni mtoto wa Clark na Lois lakini kwenye comiscs kuna version nyingi sana kuhusu character yake. Au sometimes watengenezaji wa Movies wanaweza kwenda kinyume na original story kutoka ndani ya comics kwa vile wapendavyo.
Binafsi sifahamu sana kuhusu Comics za DC kama nizijuavyo Comics kutoka Marvel.

Nitatoa mfano kidogo...
Wanada Maximoff(Scarlett Witch) na Peter Maximoff (Quicksilver) origin kutoka kwenye comics ni watoto wa Erik Lansherr(Magneto) ila huku kwenye Muvi wanaonyesha kwamba hawana uhusiano na Magneto. They're just a random kids, Lakini ukiangalia muvi za XMen wamedokeza kidoho kwamba Quicksilver ni myoto wa Magneto.

Hivyo Screenwriter wanaweza kutengeneza stori yao tu bila kujali kitabu kinazungumzia nini kuhusu character fulani
Eg2. Kwenye Novel ya Game of Thrones Yara anaitwa Aisha ila kwenye series kaitwa Yara.

Wanda and Peter (From Avengers)

Young and old Magneto (From X Men)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…