Tunaomba hizi Superman Series kwenye ving'amuzi vya Tanzania ziondolewe. Azam TV tunaomba muindoe hii kitu. Sisi wateja wenu hatuzihitaji.Sahau Tozo, sahau machinga, sahau COVID-19View attachment 1972273Hatari mpya inayowakabili watoto na wajukuu wetu ni Superman mpya ambaye ni shoga.
Ushaur;
Serikali yetu ingetunga Sheria mathubuti za kuzuia vikaragosi hivyo visionyeshwe wala kufanya mijadala kama hiyo.
Maana wazung wanaweza sema ni haki ila ni kwao si tatizo kama ilivyo bangi na mihadaratI kwenye baadhi ya mataifa duniani
Ndiko tunakoelekea soon haya mambo yatatamalaki kila KonaItafika kipindi kila katuni, game, muvi, kitakuwa na ujinga huu, Yaani hawa washenzi wanaharibu sana
Wew acha tu ushoga wazi wazi jamii inabomoka snsio Superman tu cartoon nyingi tu zinakuja na cast na scene za kishoga achilia mbali hizi tamthilia za kifilipino wanazoangalia na wadada wa kazi huko manyumbani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Thank you Da'Vinci.Ndio Jon Kent ni mtoto wa Clark na Lois lakini kwenye comiscs kuna version nyingi sana kuhusu character yake. Au sometimes watengenezaji wa Movies wanaweza kwenda kinyume na original story kutoka ndani ya comics kwa vile wapendavyo.
Binafsi sifahamu sana kuhusu Comics za DC kama nizijuavyo Comics kutoka Marvel.
Nitatoa mfano kidogo...
Wanada Maximoff(Scarlett Witch) na Peter Maximoff (Quicksilver) origin kutoka kwenye comics ni watoto wa Erik Lansherr(Magneto) ila huku kwenye Muvi wanaonyesha kwamba hawana uhusiano na Magneto. They're just a random kids, Lakini ukiangalia muvi za XMen wamedokeza kidoho kwamba Quicksilver ni myoto wa Magneto.
Hivyo Screenwriter wanaweza kutengeneza stori yao tu bila kujali kitabu kinazungumzia nini kuhusu character fulani
Eg2. Kwenye Novel ya Game of Thrones Yara anaitwa Aisha ila kwenye series kaitwa Yara.
Wanda and Peter (From Avengers)
View attachment 1973115
Young and old Magneto (From X Men)
View attachment 1973119
Ahsante kushukuru SetsukoThank you Da'Vinci.
Okay, seitaAhsante kushukuru Setsuko
dawa ni kuwa na komiki na game zetu wenyewe ingawa serikali na watengenezaji (publishers) kwa pamoja walishiriki kuua aina hii ya sanaa nchini kwa serikali kuyafungia magazeti na hata baadhi ya mawaziri wa nyakati za mkapa na kikwete kuyapa majina mabaya huku watengenezaji wake baadhi walipotoka na kuanza kuweka maudhui yasiyofaa ya ngono na hivyo kutoa maana ya gazeti la kusoma familia na kuwa kama magazeti ama majarida ya porn kwa serikali ilitakiwa kutoa muongozo ili kama kuna maudhui ya kikubwa basi yatafutiwe namna ya kuuzwa pia kutengeneza mamlaka mfano wa comic code authority ya USA ili kuwa na udhibiti wa ubora huku watengenazaji kujua wanacho kitayarisha mlengwa ni nani hasa badala ya kuwa zinauzwa ovyo kufikia hata wazazi kutotaka kuyaona majarida hayo majumbani mwao kiasikcha kushusha hata mauzo na kupelekea magazeti na majarida mengi kufa..sanaa hii naamini kabisa inge ibeba hata bongo movie kama ilivyo kwa marekani na hata Japan kwa sanaa yao ya mangaItafika kipindi kila katuni, game, muvi, kitakuwa na ujinga huu, Yaani hawa washenzi wanaharibu sana
Wasomi wetu ni cowards sana....Mie naona saivi mtu akasoma elimu Yao bado anataka kuwa criticise.
Saivi wanahimiza kuchanjwa Ila hawako tayari kwa side effects za chanjo.
Hawa ni watalaamu waafrika wanahimiza sie tuchanjwe Ila hawajui chemistry, compounds and molecular composition ya chanjo
Be humble mama D unakunywa k vant au double kick....?Topic mezani ni ushoga
Hayo mambo ya kufuatilia bbc Swahili kaanzishe uzi wake
Kilaza wewe
unataka uwe kama yeye....hapo ndipo shida inapoanzia.Nakumbuka nilikuwa nikimchekia Bruce Lee namie naanza kufanya anachokifanya. I imitate
Mbona site za ngono wamefunga, wapige pia ban mavideo kama haya kwenye vyombo vyetu vya habariNi jukumu la wazazi pia msitarajie serikali kufanya jambo la maana hapo
MATRIX........ KUTOKA KWENYE MATRIX SIO KAZI NDOGOStandard ya kila kitu wameiset wao hamna wa kupinga!
Mbele kiza...
Hii inawahusu hata watoto wetu huku buza?Sahau Tozo, sahau machinga, sahau COVID-19View attachment 1972273Hatari mpya inayowakabili watoto na wajukuu wetu ni Superman mpya ambaye ni shoga.
Ushaur;
Serikali yetu ingetunga Sheria mathubuti za kuzuia vikaragosi hivyo visionyeshwe wala kufanya mijadala kama hiyo.
Maana wazung wanaweza sema ni haki ila ni kwao si tatizo kama ilivyo bangi na mihadaratI kwenye baadhi ya mataifa duniani
Mimi ilinikuta kwenye prison break, nilivyosikia tu kuwa wentworth miller ni choko nikaacha palepaleHii ilinikita mimi kwenye Empire… niliachana nayo chap.