Ndio Jon Kent ni mtoto wa Clark na Lois lakini kwenye comiscs kuna version nyingi sana kuhusu character yake. Au sometimes watengenezaji wa Movies wanaweza kwenda kinyume na original story kutoka ndani ya comics kwa vile wapendavyo.
Binafsi sifahamu sana kuhusu Comics za DC kama nizijuavyo Comics kutoka Marvel.
Nitatoa mfano kidogo...
Wanada Maximoff(Scarlett Witch) na Peter Maximoff (Quicksilver) origin kutoka kwenye comics ni watoto wa Erik Lansherr(Magneto) ila huku kwenye Muvi wanaonyesha kwamba hawana uhusiano na Magneto. They're just a random kids, Lakini ukiangalia muvi za XMen wamedokeza kidoho kwamba Quicksilver ni myoto wa Magneto.
Hivyo Screenwriter wanaweza kutengeneza stori yao tu bila kujali kitabu kinazungumzia nini kuhusu character fulani
Eg2. Kwenye Novel ya Game of Thrones Yara anaitwa Aisha ila kwenye series kaitwa Yara.
Wanda and Peter (From Avengers)
View attachment 1973115
Young and old Magneto (From X Men)
View attachment 1973119