HATARI: Zama za Wakatoliki kuendelea kutubu mbele ya Padri zimepitwa na wakati

Wanafiki hamuishagi.Hii ni gia ya Wengi wanaouchukia Ukatoliki,stori kama hii au inayofanana na hii wewe ni kichwa cha ishirini,na nikijaribu kufutilia kiundani huwa nakuta Si Kweli bali ni Propaganda chafu ili kuchafua Kanisa Katoliki.
Sawa mkuu Asante kwa maoni yako,
 
Tatizo ni pale mtoto alipomweleza Padre huko Moshi kuwa alizini, Padre kambania ukutani, kamvua Chupi na kumkaza. Hii ina maana Padre alijua kuwa huyu anayajua ingawa ana miaka 12. Kama yule mtoto asingemwambia Padre kuwa AMEZINI asingeweza kumbaka. Hii ndilo tatizo la kuungama
 
Wakatoliki unaweza ukawaponda weweeeee tukabaki tunakuangalia

Hatunaga shida na mtu.

Siwezi nikajiita mlokole halafu baadaye nakunywa pombe kwa kujificha.

Tumsifu Yesu Kristo
Ni kweli hatunaga shida na mtu. Ila tukiachana na hayo maovu ya mapadri yaliyotajwa hapo huu utaratibu wa kuungama dhambi unashangaza...haupo sawa hata kidogo.
 
Nakumbuka 1998 watoto wangu walikuwa wanapenda kutumikia! Na wakawa wananieleza jinsi Paroko alivyo rafiki kwao. Ilibidi nimwendee Paroko baada ya misa na kumuonya kuwa akiwagusa wanangu, nitajichukulia sheria mkononi. Nikamweleza jinsi wasivyoaminika. Na kila wakati nilikuwa nawaeleza haya masuala na kuwakataza kwenda kwa Padre nyumbani kwake. Kila mara Padre alikuwa akiniangalia kwa jicho baya.


Ni ujinga kwenda kuungama kwa Padre!!!! Ungama nyumbani mwako maana hawaaminiki. Ukimwona Padre anakutembelea kwako jua anasololea mabinti zako au mkeo.
 
Umewahi kwenda kutubu kwa padre?
 
Uko sahihi sana,
 
Nakumbuka 1998

Ni ujinga kwenda kuungama kwa Padre!!!! Ungama nyumbani mwako maana hawaaminiki.
Dhambi yako ni suala lako binafsi wakati unapanga kuitenda na wakati unaitekeleza. Ukishamaliza siyo yako tena, inatangazwa duniani na mbinguni kuwa kolola ameasi, na unatupwa nje.
Lakini kwa wema wake, Kristu aliwavuvia mitume roho wake na akawapa uwezo wa kuondolea watu dhambi (Yn 20:23), kumbuka ni kuwaondolea watu dhambi siyo kujiondolea wenyewe.
 
Kwa hali ya sasa unaweza kutubu kwa Mbakaji watoto. Yaani mtu mhalifu kupita wewe.

Kuungama kumepitwa na wakati kabisa.
Tatizo lako ni kudhani kiongozi wa dini ni mtakatifu kuzidi wewe. Kwamba mchungaji wako ni super human, hatendi dhambi.
Ukisoma waebrania 5:3 inaonyesha kuhani ni mtu dhaifu, ambaye kapewa neema ya kutolea matoleo ya dhambi zake na dhambi za wenzake. Huyo wa kwako mkamilifu mtafute makanisa yote hutampata.
 
Acha upuuzi, kwenda kwa padre ati ukatubu ni uhayawani
 
Acha upuuzi, kwenda kwa padre ati ukatubu ni uhayawani
Kama unaamua kujipangia mwenyewe mambo ya Mungu basi u mshindani wake, lakini kama unatambua we ni kiumbe wake dhaifu tii maagizo yake
 
Ni tatizo la kuungama au ni tatizo la padre?
Kwamba huko Moshi wanaungama mafichoni?
Hakukuwa na watu wengine wanaosubiri kuungama ( sijafuatilia hili sakata)

Anayeungama anaonana Sura moja kwa moja na padre?
Itabidi nilifuatilie hili suala labda halipo kama nilivyolichukulia ( nimelichukulia kama ni ushenzi wa padre ).

Sioni tatizo kwenye Kuungama....
Tumekua tukiungama.
Na Ulawiti/ Ubakaji hauhusiani na Kuungama ni Tabia tu ya mtu.

Maana hivo vitendo hufanywa pia na wajomba, tuseme watoto wasikae na wajomba watawabaka?

Hufanya pia na maustadh, tuseme madrssa hazifai watawabaka?

Hufanywa na walimu, tuseme Elimu hazifai?

Ni tatizo binafsi la mtu/ Makanisa yahakikishe watumishi hawa wanakuwa waadilifi kwa viapo vyao.
 
Umemaliza naona unafoka sana, kama wewe ni mromani/Rc inabidi upate mafunzo ya komunio ya kwanza tena bado unayumba kiimani.
Yaani, sio RC au kama alikua ila amehama sasa anatafuta faraja...


Japo siendi kanisani, ila makanisa mengine wanapata tabu na sisi ila sisi huwa hatupati tabu nao wala kuanzisha uzi...wanajiona inferior...inawatesa pole zao
 
Bila utafiti Huna haki ya kuongea! Kitu hujui , unajadili nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…