Hatimae hukumu imetoka tayari, siku ya kwanza tu ya kesi kusikilizwa

Simple hivyo eti???

Wewe mumeo alivyojua umevuliwa nguo na hawara ulimuomba msamaha maisha yakaendelea?kama cha kuandika hamna kwanini usikae tu kimya kuliko kumshauri mtu ujinga?
Haaaaa kwan we mwanamke?? upo vizuri una sifa zote we malikia wa nguvuuu?? sijajua mpaka leo kwanin wanawake wanachukiana
 
Nimekuelewa kamanda. Mabaduni tunapaswa kuishi namna hii. Tafuta suluhuu weee kama anaendelea kukomaa bas acha iwe hivyo
 
Nimekuelewa kamanda. Mabaduni tunapaswa kuishi namna hii. Tafuta suluhuu weee kama anaendelea kukomaa bas acha iwe hivyo
Mwaka sasa ushapita mimi nilioa kwa misingi yangu nikaacha loophole za kuponea ikitokea akaanza sarakasi
Ndugu zake walipoona hakuna cha kugawana ilibidi tu wamsapoti aondoke kwangu maana mali zote nilishauza kitambo sana..
Nq cheti cha ndoa huwa siruhusu mwanamke anisainishe mkataba ule wa kitapeli.

If you are to stay then no problem if you are to leave then you are up to it..
No gain no loss for me its just a kind of life we live
The game got no malice to anybody..
Dont tie yourself nor her. Just live freely.
Huyu nilie nae yeye hata akitokea mdau akamwambia na wakaelewana kufunga ndoa mi natoa tu baraka maisha mengine yaendelee upesi.. Nimejifunza vingi kwenye haya maisha..
Hata serikali huwa inakufukuza kazi na hata kukufunga na bado watoto wanahitaji chakula..kikwetu tunasema

"Hata Entang'ana ngukwaere, amatinde ghayo gharara.."
 
Ni kama ulikuwepo chief. Tena hakimu alikua mwanadada tu mrembo, ila aliona kitu na ni kama mwingine aangesima alikaa upande wangu.
Mungu awape nguvu wote wenye akili ya utambuzi sijamwona mke wako lakini kwa ulivo eleza kila kimoja kipo wazi.
 
Mtoto ndo anafanya niwasiliane naye,moyo wa mzazi kwa mtoto unakuwaga wa tofauti sana ,ila kama siyo mtoto huyo mwingine hata akifa naona kawaida kama taarifa ya habari za wale wanaokufa huko middle east.
 
Mtoto ndo anafanya niwasiliane naye,moyo wa mzazi kwa mtoto unakuwaga wa tofauti sana ,ila kama siyo mtoto huyo mwingine hata akifa naona kawaida kama taarifa ya habari za wale wanaokufa huko middle east.
[emoji23][emoji23][emoji23] safi sana mkuu..
Kwa mtoto Yan moyo unakua kama Sufi...
Ila hizo takataka nyingine waiiiii...life lisife shaur lake...
 
Nje ya maada,

Walio tunga hizo sheria za ndoa walikua wanawaza nini, Yani mgawanyo wa mali ni 50 50 lkn Kulea watoto hilo ni jukumu la baba kikawaida, Kawaida gani hyo? Imetafsiriwa kisheria au ni upeo wa hakimu?
Mkuu wamesema ni kawaida lakini siyo kwamba husipo lea utafungwa jela, unaweza kulea mtoto kwa kumlipia gharama kwenye shule za Serikali na ukamnunulia vifaa ya shule kwa mwaka mara moja ila kwenye kuwanunulua chakula unaweza husiwanunulie kwasababu chakula anachokula Mama yao na wao watakula hicho hicho tu.
 
Mkuu hii itakua ndoa ya kikristo lakini kama ingekua ndoa ya Kimila mwanamke angeondoka kama alivyokuja na Ndoa yingi za kimila hazivunjiki kirahisi ila wanatengana tu.
 
Mkuu Mwanaume hakimbii Nyumba wala mji wake ila Mwanamke ndiyo anatakiwa akimbie yeye.
 
Mkuu Mwanaume hakimbii Nyumba wala mji wake ila Mwanamke ndiyo anatakiwa akimbie yeye.
Hakuna kukimbia ameachiwa nyumba,Unadhani wangemuweka ndani SI kila kitu kingesimama kwake.Hii SI kukimbia ni kufunika kombe mwanaharamu apite kwanza Jamii imekaa kirushwarushwa hii watu wanaweza kukupoteza na unajua siku hizi vyombo vya Sheria vinavyowaabudu.
 
Mkuu nimependa sana kisa chako naomba nielezee zaidi inbox
 
Hahaha
 
DUUUUUUUUUU
 
Kisa cha kutengana kabla ya kupeana talaka ilikua nini?
 
Uzi una mafunzo buku kwa wanandoa. Mali kitu gani, hata akitaka 70-30 ni sawa tu. Tulitafuta na tutaendelea kutafuta.

Kwangu nadhani heartbreak kubwa kuliko zote ni kuwaacha watoto wangu. That'll break my heart to pieces.
 
Uzi una mafunzo buku kwa wanandoa. Mali kitu gani, hata akitaka 70-30 ni sawa tu. Tulitafuta na tutaendelea kutafuta.

Kwangu nadhani heartbreak kubwa kuliko zote ni kuwaacha watoto wangu. That'll break my heart to pieces.
yes,
Mimi husema kama kile nilichokipigania miaka yote , nimeishi ,nimekua humo, nimetengeneza life legacy Kimepotea, kuna nn kingine kitauma kupoteza?

Hakuna aiseee! Viende tu basi hakuna kingine cha kugombea kibaki, hakuna hata moja.
 
Kisa cha kutengana kabla ya kupeana talaka ilikua nini?
Kama vile ndoa inavyojengwa na mambo mengi, ndoa inavunjwa na mambo mengi pia.
Mke/Mume haondoki kwa kosa moja!
So visa ni vingi, vya muda mrefu, vilivyoachwa kuchukuliwa maamuzi sahihi kwa wakati au hazikuchukuliwa maamuzi kabisa.
Inafika muda akili inachoka!
Both mkikosa sababu za kuendelea kuwa pamoja hakuna sababu tena ya kubakia!
Na kimsingine mwingine anaweza asiondoke yeye, anaweza asitamke yeye kuwa hii ndoa imefika mwisho ila anaishi na mwenzi akiwa ameshatengana nae kimwili kihisia kiakili na kikila kitu.
So hakuna ndoa inavunjika mtu atakupa sababu moja, kwamba alifanya hivi nikaondoka! SIO kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…