Hatimae ndoa ya Shilole na Rommy3D yavunjika rasmi



Kitu gani utakimiss zaidi kuliko vyote ili tukutafutie pengine
 
Aise kwa hiyo mwanawane kashindwa kuisasambua mbususu vilivyo mpaka kapewa thank you🤣🤣🤣🤣
 
Jamaniiii 🤣 🤣 🤣
 
Kwa wanawake wa mambele wanaojielewa na kutambua nafasi yao kama wanawake katika jamii pasi na kujalisha umri,cheo ama pesa,age is just a number.
Ila kwa ninyi wanawake wa TZ ambao 80% magulumbesa ooohoohoooo ni matatizo.

Yeah man
Ni matatizo
 
Kuna vishangazi bhana vina miili midogo midogo hivi kama vidada kumbe vishangazi.
Aloooh!Vitamuuu hivyoo.
Imenikumbusha nikiwa high school nili date na madam wangu anaetufundisha GS kalikua kana 31 kipindi hiko mimi nina 19.
Katyaamuuuu hako ukikaona kama kashichana toto ya kindengereko.
 
Ku
Kuna jamaa alisema"ndoa Gani mnaambiwa mkitaka kuachana muachane Kwa Amani,"
Jamaa analalamika sana kupitia comment Yako mkuu bado nitazidi kuzichunguza ndoa za dini hii.
 
Ku

Kuna jamaa alisema"ndoa Gani mnaambiwa mkitaka kuachana muachane Kwa Amani,"
Jamaa analalamika sana kupitia comment Yako mkuu bado nitazidi kuzichunguza ndoa za dini hii.
Sasa mkuu unataka muachane kwa chuki na fujo!?
Kama watu maelewano hakuna ndani kiasi upendo umefutika,mwaishi pamoja kwa munajili upi!?
Bora mtengane kiamani kiroho safi.
 
Hahaha kwa hiyo mwamba ukawa unapiga huku umekunja uso hahaha hatari sana kweli mapenzi ni hisia.
 
Kwanza unaonyesha ujinga mkubwa ulio nao,,,hv unajua maana ya zinaa?

Zinaa ni mahusiano nje ya ndoa,na mahusiano haya ndio haramu mbele ya Mwenyezi Mungu

Sasa kama nikioa hata nikadumu mwezi tu hapo sijazini na hata nikioa tena na kudumu miezi sita sijazini na ndipo katika tendo halali

Kwahiyo ndoa ni jambo jema kwa Allah,ingawa kuachana hakumfurahishi yeye,kwasababu miongoni mwa mambo ambayo Allah ameyaruhusu lakini yanamchukiza ni swala la talaka,,lakini kwakuwa hatujakamilika inafikia kipindi inabidi tuachane kwa wema

Acha ujinga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…