Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Hello 👋
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Rommy3D amethibitisha kuachana rasmi na Shilole baada ya video na picha zinazoendelea kusambaa mitandaoni zikimwonyesha Shilole akiwa na dogodogo mwingine.
Kungekuwa na timu ya mpira;
Kocha mkuu- Haji Manara
Kocha wa Viungo- Dida Shaibu
Kocha wa Makipa- Esma
Kocha Msaidizi- Shilole na Dula Makabila
My take: Vijana muache kulelewa mtafute wanawake wa size zenu.
View attachment 3001773
Kitu gani utakimiss zaidi kuliko vyote ili tukutafutie pengine