Hii yako ni outdated sana ndugu, tangu asubuhi sababu haikujulikana yuko wapi.Bado ni rumors tu nisiulizwe
๐ BREAKING: Bashar al-Assad has been killed when his plane was targeted by Israel last night โ According to Baghdad Today quoting an informed source
Take this news with a grain of salt. Other sources say heโs in Russia and some say in the UAE.
@FotrosResistance
Confirmed by Aljazeera English.Bado ni rumors tu nisiulizwe
Wamempa nyumba mitaa gani nikipita pande zile nikampe hi.Assad na familia yake wamefika salama Moscow. Serikali ya Urusi yawapa hifadhi kuishi humo kwa muda wote.
Assad na familia yake wamefika salama Moscow. Serikali ya Urusi yawapa hifadhi kuishi humo kwa muda wote.
Anaenda kupangiwa muda wa kuingia nyumbani,kula na anatakiwa kuomba ruhusa anapotaka kwenda kitaa huku akiwa ameweka mikono nyuma ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃKutoka kuishi kwake hadi kuishi kama kuku wa kufugwa
Unaulizia mambo ya Assad..wakati majibu yako hapahapa.Jiulize kwani CCM wana nguvu gani ns kiburi gani?? Kwa nini wasiache uchaguzi uwe huru na haki, kwani hawaoni yaliyotokea Msumbiji, South Africa, kwani hawajifunzi kuwa upinzani unaweza kutawala kama Botswana, Zambia, na sasa Ghana.??Kuna miaka ya nyuma nilijiuliza alikuwa na nguvu gani ya kiburi alichokiwa nacho kwa issue angeweza kuwa na kubadili
Sasa yamemkuta
Mkewe bado ni yule wa ulaya nchi nimesahau
Russia alikuwa analalamika Israel inaposhambulia wakati yeye ameweka mitambo yake ya ulinzi wa anga.Russia wanafiki sana
Naamini hata Iran na Hizbollah wameanguka kabisa kijeshi
Hawana tofauti na ccm yako unayotetea.Kuna miaka ya nyuma nilijiuliza alikuwa na nguvu gani ya kiburi alichokiwa nacho kwa issue angeweza kuwa na kubadili
Sasa yamemkuta
Mkewe bado ni yule wa ulaya nchi nimesahau
Hawana tofauti na ccm yako unayotetea.Kuna miaka ya nyuma nilijiuliza alikuwa na nguvu gani ya kiburi alichokiwa nacho kwa issue angeweza kuwa na kubadili
Sasa yamemkuta
Mkewe bado ni yule wa ulaya nchi nimesahau
Jamaa wameona asiwe mpweke huko uhamishoni wa muunganishe na wenzake akina sinwar,lsmail na Nasrallah huko peponi sio?Bado ni rumors tu nisiulizwe
๐ BREAKING: Bashar al-Assad has been killed when his plane was targeted by Israel last night โ According to Baghdad Today quoting an informed source
Take this news with a grain of salt. Other sources say heโs in Russia and some say in the UAE.
@FotrosResistance
Urusi wakificha mtu hata ruhusa ya kutoka wala kuongea chochote huwa hawampi.Wamempa nyumba mitaa gani nikipita pande zile nikampe hi.
Mgeni wao wakampa temporary asylum na kumpeleka kuishi Rublyovka , lakini nyumba ya kuishi ilibidi mgeniajinunulie kwa pesa zake๐Urusi wakificha mtu hata ruhusa ya kutoka wala kuongea chochote huwa hawampi.
Tangu Yanukovich aende uko, hajawahi sikika hata akipiga chafya.
Hawa washamba tangu miaka ya 1950s wale Communist hardliners na moles wa Marekani na Uingereza walikuwa wakitoroka kwenda USSR kwanza airport wanapokelewa na vijakazi njaa hawana tittle yeyote serikalini. Pili hawapewi umuhimu wala kuwezeshwa kifedha. Ukarimu na wao ni maji na mafuta.Mgeni wao wakampa temporary asylum na kumpeleka kuishi Rublyovka microdistrict, lakini nyumba ya kuishi ilibidi mgeniajinunulie kwa pesa zake๐
Hata wiki iliyopita mlikuwa mnasema hivi hivi kwa AsadiEndelea kuota, ni ndoto nzuri sana hiyo.
Gazeti la kesho " ASSAD AUMWAGA"