Huwa nawaambia watu pesa Ina kawaida ya kuongea yenyewe Ina lugha yake,haihitaji msemaji Wala mwakilishi[emoji1][emoji1][emoji1].mbona hata sura tu inajionesha ni stress, pesa huwa haijifichi usoni pa mtu
Nipe site gani nitaipata nimejaribu ku Google lkn naona mapicha pichaFanya ufanyalo tafuta documentary inaitwa MONEY EXPLAINED utanishukuru baadaye 🙂 humu mpaka bishara ya betting na ujinga wote umeelezewa na anamna wwatu wanapambana ili uwe maskini wa kutupwa😅
Kuna watu kina
don lock
Andwer tate
Sir jeff
Wote wameelezewa kwa mbinu zao kabisaa
Huna pesa na huzijui pesa Chief Godlove ana pesa hatanii hizo ni pesa
Ana hela amekuzidi ila sio tajiri sn kama anavyotuaminisha..pengine tapeli wajinga waende inboc kwake wakapigwe
Ata kama kajamaa kana danganya uma ila ana fikra chanya sana tofauti na vijana wengi kazi kubeti na pombe chafu.
Iwe ni ukweli au uongo kila mtu ana maisha yake. Ukiangalia sana maisha ya watu utashindwa kuishi ya kwako.
Zaidi sana anatia vijana presha kutafuta hela wakati mwingine kwa njia zisizo halali na mwisho wake ni mbaya. Kuna watu siwezi kuwafuatilia kabisa simply kwa sababu hata sidhani kama anatoa mbwinu za kutafuta hela. Sanasana ni makelele ya kutafuta hela ambayo hayana maelekezo yaliyonyooka bali mafumbo yasiyokuwa na majibu.
Kama anatoa plan za kufanikiwa sawa lakini kama anabwabwaja kwamba 'tafuta hela' bhas abaki na utajiri wake.
In fact nlishakuelewa mleta kamba.Afadhali umenisaidia kumuelewesha
Gari wanakodisha wanaigizia Mchezo ukiisha wanarudisha michezo hio ipo maeneo mengi tena kuna wenye magari hua wana watu wa kuyafuata kabisa mda ukiisha km unavyokodi room lodge au hotel unalipia mda ukiisha aidha unaongeza siku au unarudisha room ndio sawa na magari yanakodishwa maeneo mengi tu
Tulia wewe 'Selemani'we bi hindu kudakia mada [mention]Nota Bene 59124 [/mention] hujaliwa siku nyingi unawaza lodge tu
Nenda you tubeNipe site gani nitaipata nimejaribu ku Google lkn naona mapicha picha
This for that🤣🤣🤣Tit for tat