Hatimaye Chief Godlove abambwa. Adaiwa kupost hela feki mitandaoni ili kuwahadaa watu kwamba ana hela

Hatimaye Chief Godlove abambwa. Adaiwa kupost hela feki mitandaoni ili kuwahadaa watu kwamba ana hela

mbona hata sura tu inajionesha ni stress, pesa huwa haijifichi usoni pa mtu
Huwa nawaambia watu pesa Ina kawaida ya kuongea yenyewe Ina lugha yake,haihitaji msemaji Wala mwakilishi[emoji1][emoji1][emoji1].

Lugha rahisi angalia watoto wa kishua mionekano yao,utanielewa.
 
Fanya ufanyalo tafuta documentary inaitwa MONEY EXPLAINED utanishukuru baadaye 🙂 humu mpaka bishara ya betting na ujinga wote umeelezewa na anamna wwatu wanapambana ili uwe maskini wa kutupwa😅

Kuna watu kina
don lock
Andwer tate
Sir jeff
Wote wameelezewa kwa mbinu zao kabisaa
Nipe site gani nitaipata nimejaribu ku Google lkn naona mapicha picha
 
Ni ngumu sana kwa mtu ambaye anatafuta pesa serious ukute anahangaika kujiprove mtandaoni kuwa anapesa. Maana huo muda anaupata wapi kwanza muda mwingi anakuwa busy kujitafuta na hela zake.
 
Iwe ni ukweli au uongo kila mtu ana maisha yake. Ukiangalia sana maisha ya watu utashindwa kuishi ya kwako.
Zaidi sana anatia vijana presha kutafuta hela wakati mwingine kwa njia zisizo halali na mwisho wake ni mbaya. Kuna watu siwezi kuwafuatilia kabisa simply kwa sababu hata sidhani kama anatoa mbwinu za kutafuta hela. Sanasana ni makelele ya kutafuta hela ambayo hayana maelekezo yaliyonyooka bali mafumbo yasiyokuwa na majibu.
Kama anatoa plan za kufanikiwa sawa lakini kama anabwabwaja kwamba 'tafuta hela' bhas abaki na utajiri wake.

Amekosea kuyaanika maisha yake mtandaoni. Hivyo lazima watu wamfuatilie maisha yake kujua Kama ni kweli. Sasa wamegundua jamaa ni feki.
 
  • Thanks
Reactions: apk
Amekosea kuyaanika maisha yake mtandaoni. Hivyo lazima watu wamfuatilie maisha yake kujua Kama ni kweli. Sasa wamegundua jamaa ni feki.
Afadhali umenisaidia kumuelewesha
 
  • Thanks
Reactions: apk
Ni ngumu sana kwa mtu ambaye anatafuta pesa serious ukute anahangaika kujiprove mtandaoni kuwa anapesa. Maana huo muda anaupata wapi kwanza muda mwingi anakuwa busy kujitafuta na hela zake.
100%
 
Afadhali umenisaidia kumuelewesha
In fact nlishakuelewa mleta kamba.
Ninachokisema sio kwamba unafuatilia maisha yake hapana..namaanisha kwamba regardless awe ana hela au hana kama video zake hatoi plan za kupata hela hazina msaada kwa audience yake.
 
Gari wanakodisha wanaigizia Mchezo ukiisha wanarudisha michezo hio ipo maeneo mengi tena kuna wenye magari hua wana watu wa kuyafuata kabisa mda ukiisha km unavyokodi room lodge au hotel unalipia mda ukiisha aidha unaongeza siku au unarudisha room ndio sawa na magari yanakodishwa maeneo mengi tu

we bi hindu kudakia mada [mention]Nota Bene 59124 [/mention] hujaliwa siku nyingi unawaza lodge tu
 
wapo watu ni ma bilionea wamenyuti tuli..

Daah huyu jamaa niliona clip yake majuzi nikahisi ubongo wake utakuwa umeingia mafuta...

Clip ipi hiyo mkuu? Anazo nyingi sana
 
wapo watu ni ma bilionea wamenyuti tuli..

Daah huyu jamaa niliona clip yake majuzi nikahisi ubongo wake utakuwa umeingia mafuta...
kwenye clip anasemaje mkuu? Coz anazo nyingi sana
 
Back
Top Bottom