ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Ana hela amekuzidi ila sio tajiri sn kama anavyotuaminisha..pengine tapeli wajinga waende inboc kwake wakapigwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo hapo na mi nashangaaa...Kumbe ni mwanakijiji....
Si ajabu yupo Mpwayungu VillageKumbe ni mwanakijiji....
We Mke wake niniNa hiro gari ni ra mama ako au
Gari wanakodisha wanaigizia Mchezo ukiisha wanarudisha michezo hio ipo maeneo mengi tena kuna wenye magari hua wana watu wa kuyafuata kabisa mda ukiisha km unavyokodi room lodge au hotel unalipia mda ukiisha aidha unaongeza siku au unarudisha room ndio sawa na magari yanakodishwa maeneo mengi tuNa hiro gari ni ra mama ako au
samaawiyya....nimelipenda jina mkuuHilo tu?
Kalivyo kafupi na kukomaa sasa!Hivi huwa mnamchukulia serious huyo mtu? Mimi mtu akishaanza show off za hela kama sio tapeli basi ni mshamba.
Kalivyo kafupi na kukomaa sasa!Hivi huwa mnamchukulia serious huyo mtu? Mimi mtu akishaanza show off za hela kama sio tapeli basi ni mshamba.
Cc King Kong IIIChief Godlove ame bambwa. Kuna video ina sambaa mtandaoni iki mu expose Chief Godlove . Katika video hiyo chief anaonekana akiwa na hela ambazo ukichunguza vizuri utagundua kwamba ni note moja ya elfu kumi kwa juu ila kwa chini ni vimbao. Ukitazama vibaya unaweza kufikiri ni mabulungutu..
Maisha ya mtandaoni ni fake as hell
View attachment 2769391
Kama mlivyotapeli watu pale Jangid PlazaHivi huwa mnamchukulia serious huyo mtu? Mimi mtu akishaanza show off za hela kama sio tapeli basi ni mshamba.