Hatimaye Chief Godlove abambwa. Adaiwa kupost hela feki mitandaoni ili kuwahadaa watu kwamba ana hela

Hatimaye Chief Godlove abambwa. Adaiwa kupost hela feki mitandaoni ili kuwahadaa watu kwamba ana hela

Na hiro gari ni ra mama ako au
Gari wanakodisha wanaigizia Mchezo ukiisha wanarudisha michezo hio ipo maeneo mengi tena kuna wenye magari hua wana watu wa kuyafuata kabisa mda ukiisha km unavyokodi room lodge au hotel unalipia mda ukiisha aidha unaongeza siku au unarudisha room ndio sawa na magari yanakodishwa maeneo mengi tu
 
Chief Godlove ame bambwa. Kuna video ina sambaa mtandaoni iki mu expose Chief Godlove . Katika video hiyo chief anaonekana akiwa na hela ambazo ukichunguza vizuri utagundua kwamba ni note moja ya elfu kumi kwa juu ila kwa chini ni vimbao. Ukitazama vibaya unaweza kufikiri ni mabulungutu..

Maisha ya mtandaoni ni fake as hell

View attachment 2769391
Cc King Kong III
 
Back
Top Bottom