MIRA01
JF-Expert Member
- Sep 18, 2023
- 319
- 695
Ukapimwe afya ya akili kwa kwel😧Huna pesa na huzijui pesa Chief Godlove ana pesa hatanii hizo ni pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukapimwe afya ya akili kwa kwel😧Huna pesa na huzijui pesa Chief Godlove ana pesa hatanii hizo ni pesa
Kama mlivyotapeli watu pale Jangid Plaza
Mambo ya mtandaoni ni fake fake tu
Wanaazima magari,majumba nk
Ova
Sio mpya mambo ya forex hayo watu walipiga Hela, watu wakapigwa Hela, watu wakatapeliana, watu wakafichuana, watu wakachukiana, watu wakadhalilishana, watu waka....Hii mpya sasa
🤣🤣🤣🤣🤣Chief Godlove ame bambwa. Kuna video ina sambaa mtandaoni iki mu expose Chief Godlove . Katika video hiyo chief anaonekana akiwa na hela ambazo ukichunguza vizuri utagundua kwamba ni note moja ya elfu kumi kwa juu ila kwa chini ni vimbao. Ukitazama vibaya unaweza kufikiri ni mabulungutu..
Maisha ya mtandaoni ni fake as hell
View attachment 2769391
Huyu fala anaweza kukufanya ujione maisha umekuja kusindikiza watu...Au uuze tu figo maisha yaende...Kumbe ni mbuzi mmoja waheedChief Godlove ame bambwa. Kuna video ina sambaa mtandaoni iki mu expose Chief Godlove . Katika video hiyo chief anaonekana akiwa na hela ambazo ukichunguza vizuri utagundua kwamba ni note moja ya elfu kumi kwa juu ila kwa chini ni vimbao. Ukitazama vibaya unaweza kufikiri ni mabulungutu..
Maisha ya mtandaoni ni fake as hell
View attachment 2769391
Hahaaa.. mkuu kwani bado hayajaisha tu?🤣🤣🤣Kama mlivyotapeli watu pale Jangid Plaza
Sahihi 100%Matajiri wa kweli hawapigi kelele sio sababu hawana shobo ila utajiri mara nyingi una mambo mengi, ukijiexpose unakaribisha mengi
Sent using Jamii Forums mobile app
hili nalo ni kosa? - kwamba amefunga noti moja kwenye ki/vibao ndiyo kosa alilotenda? Ingekuwa zote ni pesa halisi asingekamatwa?...nchi hii inachosha sana!!Chief Godlove ame bambwa. Kuna video ina sambaa mtandaoni iki mu expose Chief Godlove . Katika video hiyo chief anaonekana akiwa na hela ambazo ukichunguza vizuri utagundua kwamba ni note moja ya elfu kumi kwa juu ila kwa chini ni vimbao. Ukitazama vibaya unaweza kufikiri ni mabulungutu..
Maisha ya mtandaoni ni fake as hell
View attachment 2769391
Leo anatusumbua na number plate ya kuprint kwenye Canon anasema customized.Tena 2008 mwishoni huko enzi za rehema mwakangale wa ITV kabla hajafariki.
Check huyu mwengine tajiri chui. Hata range hajui ni mwingereza eti mjerumani.Leo anatusumbua na number plate ya kuprint kwenye Canon anasema customized.
Wa manyoka au punje au makafara au waliobutua kwenye madini.Sijawahai muona tajiri anapiga kelele
Ova
Wapo watu wanaotaka masifaUnaazima vp kama huna hela? Wewe unaweza kumuazima mtu gari na nyumba yako bure usiyemjua?