Hatimaye Chief Godlove abambwa. Adaiwa kupost hela feki mitandaoni ili kuwahadaa watu kwamba ana hela

Bahati mbaya huyu kijana mnamchukia bila ya kujua nia yake!!

Ni hivi huyo ni mtengeneza maudhui (content creator) ya mtandanao na hiyo ndio style yake , haijashalishi pesa ni bandia , editing wala kuweka mbao, yeye maudhui yake kuwa kama tajiri fulani ni acting anafanya ili kupata wafuasi na yeye anapata pesa kama watu wengine yaani wachekeshaji wanaotumia mitandao kama Instagram na tiktok tupata pesa kwa maudhui yao.

Wapo wanaojifanya wanawake kama dullvani na hiyo ndio content yao sasa yeye anajifanya tajiri ...Ubaya wake upo wapi?

Tatizo ni nyie mnaofikiria mambo ya mtandanaoni ni kweli.
 
Chief Godlove ame bambwa. Kuna video ina sambaa mtandaoni iki mu expose Chief Godlove . Katika video hiyo chief anaonekana akiwa na hela ambazo ukichunguza vizuri utagundua kwamba ni note moja ya elfu kumi kwa juu ila kwa chini ni vimbao. Ukitazama vibaya unaweza kufikiri ni mabulungutu..

Maisha ya mtandaoni ni fake as hell

View attachment 2769391
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huyu fala anaweza kukufanya ujione maisha umekuja kusindikiza watu...Au uuze tu figo maisha yaende...Kumbe ni mbuzi mmoja waheed
 
Chief Godlove ame bambwa. Kuna video ina sambaa mtandaoni iki mu expose Chief Godlove . Katika video hiyo chief anaonekana akiwa na hela ambazo ukichunguza vizuri utagundua kwamba ni note moja ya elfu kumi kwa juu ila kwa chini ni vimbao. Ukitazama vibaya unaweza kufikiri ni mabulungutu..

Maisha ya mtandaoni ni fake as hell

View attachment 2769391
hili nalo ni kosa? - kwamba amefunga noti moja kwenye ki/vibao ndiyo kosa alilotenda? Ingekuwa zote ni pesa halisi asingekamatwa?...nchi hii inachosha sana!!
 
Back
Top Bottom