John Fedha
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 624
- 717
Agweee...Kumbe yupo Dodoma..!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Agweee...Kumbe yupo Dodoma..!!!
Wapo watu wanaotaka masifa
Ni sawa na kuwapa wasanii nyumba yako washutie movie
Ova
Majengo sokoniAgweee...
Wahuni tu hawa wanasababisha vijana wajione hawafai kisa hawana hela.Chief Godlove ame bambwa. Kuna video ina sambaa mtandaoni iki mu expose Chief Godlove . Katika video hiyo chief anaonekana akiwa na hela ambazo ukichunguza vizuri utagundua kwamba ni note moja ya elfu kumi kwa juu ila kwa chini ni vimbao. Ukitazama vibaya unaweza kufikiri ni mabulungutu..
Maisha ya mtandaoni ni fake as hell
View attachment 2769391
Weka Clip!!Update: Jamaa kakiri ni vimbao. Ila kasema pamoja na vimbao ila ndani ya nafsi yake ana amini yeye ni tajiri.
Fake it until u make it
Ile laki 3 inaniuma sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Afu hajakujibu
Kapita kama quote yako hajaiona
Vipi washakuwa matajiri Sasa?
Wewe ndo mpya, habari za zamaniHii mpya sasa
Si kwamba tatizo ni bando?Siifagilii tiktok kabisa
Hapana boss mbona hio haimgusi hata instagramSi kwamba tatizo ni bando?
Bravo. We missed you.I couldn't have said it better...
Everything is good, thanks.
Naipataje?Fanya ufanyalo tafuta documentary inaitwa MONEY EXPLAINED utanishukuru baadaye [emoji846] humu mpaka bishara ya betting na ujinga wote umeelezewa na anamna wwatu wanapambana ili uwe maskini wa kutupwa[emoji28]
Kuna watu kina
don lock
Andwer tate
Sir jeff
Wote wameelezewa kwa mbinu zao kabisaa
Kutoka FB
NJEMBA WA KINYAKYUSA AUMBUKA BAADA YA KUGUNDULIKA ANATUMIA MBAO KUWADANGANYA WATU KUWA YEYE NI MILIONEA.
Hatimae siku 40 zimemfikia jemba huyo pichani kwa jina la Chief Godlove kama anavyojiita mtandaoni. Jamaa ni Mnyakyusa wa Mbeya na mara zote amekuwa akijitapa kuwa yeye ni milionea lakini pia amejiunga na chama cha Freemason.
Kwenye video zake za Instagram na Tiktok amekuwa akijigamba kwa kununua pombe za bei ghari na kuzimwaga kama maji, lakini pia amekuwa akijinadi kuwa yeye ni mnyakyusa wa kwanza kujiunga Freemason na kumiliki pesa za maana, amekuwa akiwatukana wanaume ambao bado hawajafanikiwa kimaisha kuwa wao ni sawa na wanawake tu.
Sasa siku ya jana kupitia ukurasa wake wa Instagram na Tiktok aliposti video akiwa ametandaza mamilioni ya pesa na kuendelea kujinadi kama kawaida yake. Macho ya walimwengu yalifanikiwa kupenya na kufanikiwa kugundua kuwa jamaa huyo kumbe ni tapeli wa kutupwa. Anachokifanya anachukua mbao anazichonga usawa wa noti ya elfu 10, anazipaka rangi ya pink kisha anaweka noti ya elfu 10 juu na chini ambapo usipoangalia kwa umakini unaweza dhani ni bunda la pesa kiasi cha milioni tano.
Baada ya kuumbuka tapeli huyo wa kienyeji ameendelea kujitetea kwa maneno dhaifu na kupokea matusi mfululizo kutoka kwa Wananchi.
Mi nilidhani amebambwa na mkono wa sheria kwa tuhuma za kihalifu, kumbe ni dhania ya rangi ya picha za noti!Chief Godlove ame bambwa. Kuna video ina sambaa mtandaoni iki mu expose Chief Godlove . Katika video hiyo chief anaonekana akiwa na hela ambazo ukichunguza vizuri utagundua kwamba ni note moja ya elfu kumi kwa juu ila kwa chini ni vimbao. Ukitazama vibaya unaweza kufikiri ni mabulungutu..
Maisha ya mtandaoni ni fake as hell
View attachment 2769391
Unaweza kukuta ni mgogo na kaka yake Mpwayungu Village a.k.a mchukia ualimu😂😂😂wanasema anaweka pepsi kwenye zile chupa za Hennessy na wauza nguo wa dodoma anawakopa sana 😀 😀