Tetesi: Hatimaye general manager Wa acacia akimbia nchi

labda kwenye lori la jpm umeangalia nyuma. kama hutazami mbele huwezi elewa.
Kama kutazama mbele kwenyewe ndo huko uliko nako wewe basi ni bora niendelee kutotazama mbele ambako bila shaka kumetanda moshi mweupe uliotokana na moto ulioteketeza mazao lakini mnaambiwa huo ni ukungu wa mvua unaotoa ishara ya mavuno bora!!!
 
Meneja kakimbia kabla hatujamchomeka vijiti kwenye makalio.....pumbavu sana huyu mtu katuachaia familia yetu walemavu wawili.
Nahamishia hasira kwa Katundu Kalisu kuanzia leo!
Tafuteni mafundi kuna bombardier moja imelala mwezi wa tatu huu haifanyi kazi. Huu umbea wa hapa hautawasaidia.
 
Lisu kajidhihirisha kuwa ni msaliti wa msimamo wa watanzania juu ya maliasili zetu zinazoibiwa. Kama taifa pamoja na kuwa kuna watu walifanya makosa huko nyuma tumesema baaaasi. Sasa Lisu yeye kageuka kuadi wa wanaotuibia. Kwanza kawatia hofu wana chadema na akataka kutumia mic ya bunge kutuhofisha kuwa wezi wake watatushitaki. Wao watuibie kisha watushitaki kwa Mali zetu, Tundu Lisu amelewa madaraka
 

ACHENI UJINGA KUANDIKA ANDIKA UPUUZI! TAARIFA SAHIHI JAMAA KASAFIRI KIKAZI KWENDA DA RESALAAM. SUBIRI REPORT ACHA KELELE
 
Hapa kazi tu kweli kweli! HIGHER POWERS WILL AVENGE US!
 

Amelewa madaraka mara ya mwisho mlimpa cheo gani ndani ya CCM. Kiboko cha CCM TL.
 
Mr Mark jiridhishe kwanza namna biashara za kimataifa zinavyofanywa na ndiyo maana kuna kuwa na mikataba. Sasa kama viongozi wetu waliwapa bure tena ki sheria unamshtumu Lisu kwa lipi?! Ashtumiwe Mkapa

Sent from my HUAWEI LUA-L21 using JamiiForums mobile app
 
Lissu mnafiki sana anasema eti serikali ivunje mikataba sasa ukivunja tu bila kufanya utafiti na kuwa na grounds za kuuvunja si ndo utanyolewa Kwa panga!? nikikumbuka issue ya lowassa dah huyu jamaa mnafiki sana....
 
warudishe hela zetu kwanza,walizojimbikiza
MKURUPUKO ON THE RISE, WATZ FANYENI KAZI ACHENI KUSHABIKIA MAMBO MSIOYAJUA. GM ANAWEZAJE KUKIMBIA NCHI AMBAYO MNASEMA IMEIBIWA??? ATAPITA AIRPORT ZIPI??? AU ATAPITA KWENYE NYUFA ZA MIPAKA ATOKEE AUSTRALIA??
 
MKURUPUKO ON THE RISE, WATZ FANYENI KAZI ACHENI KUSHABIKIA MAMBO MSIOYAJUA. GM ANAWEZAJE KUKIMBIA NCHI AMBAYO MNASEMA IMEIBIWA??? ATAPITA AIRPORT ZIPI??? AU ATAPITA KWENYE NYUFA ZA MIPAKA ATOKEE AUSTRALIA??

mmmnh sijui wakithibitika ni wezi,utafanya nini....?
 
Hivi gharama za samaki za mjapani mumemaliza kulipa, mbona IPTL ina mkataba wa kifisadi lakini imeongezewa muda je unachokisema unakielewa, lisu anajitambua ndio maana alipinga serikali ya mkapa na kasimamia anachokiamini
Iptl haijaongezewa muda wa leseni na Samaki wa magufuli hawalipwi kitu wameomba pooo
 
mmmnh sijui wakithibitika ni wezi,utafanya nini....?
NDIO MAANA SIKURUPUKI KUTOA MAAMUZI. WENGINE MNASEMA GENERAL MANAGER KAKIMBIA NCHINI!!!?!?!?!!? SI MAAJABU HAYA? ANAKIMBIAJE WAKATI NCHI INA MIPAKA NA INALINDWA 24/7. AMEPITA AIRPORT IPI??
 
tusimuite lissu, tumuite mtetea mafisadi na wezi
HATA KAMA TUNAIBIWA WALIOSANI TUIBIWE SI WAPO NDANI YA CCM NA SERIKALI. LISSU KUSHAURI KISHERIA IMEKUWA TOPIC BADALA YA WALE WANAOTULETEA MISWADA YA MADINI SAA TANO NA KUTAKA SAA 7 IPITISHWE BUNGENI NA ILI KESHO RAIS ASAINI?????!!!!!!!??!? WATANZANIA MNATIA AIBU, WENYEWE MNAITA HATI YA DHARURA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…