Uchaguzi 2020 Hatimaye Gwajima, Pengo na Makonda Wamekutana Pamoja kwa furaha kubwa

Uchaguzi 2020 Hatimaye Gwajima, Pengo na Makonda Wamekutana Pamoja kwa furaha kubwa

Yote hayo ni maigizo tu kwa hao wawili. Na kutafuta kiki pia. Wangeenda kutubu wasingepigwa picha za kusambazwa hivyo. Nae huyu mzee amekubali kuingizwa chaka mara ya pili wamtumie kama ngazi kisiasa?. Angewaambia kama mnakuja kuomba msamaha,mje bila mapicha picha
 
Hana Cha kupoteza Tena huyo mzee

Anangoja tu astaafu huo ukadinali alio nao ambao hawawezi mvua [emoji2]

Sisi wakatoliki Wala hatuna habari nae tuko na Ruwaichi

Kiwango cha juu cha upotoshaji, Cardinal Jude Thaddaeus Ruwa'ichi ana tamani awe Cardinal emeritus of Dar es salaam.

Kibinadamu Cardinal Ruwa'ichi anatamani pia awe kama Cardinal Pengo - President of the SECAM ( Symposium of Episcopal Confrences of Africa and Madagascar ) Mkuu wa Mabaraza yote ya Kiaskofu Africa na Madagascar.

Ubunge wa Kawe usitufanye tuwashushe watu ambao Dunia inatamani wazaliwe nchini kwao.
 
habari mbaya sana hii kwetu "hater" wa JamiiForums!
Iwe mbaya kivipi??? Kukutana kunazuia uhalisia kuwa Gwajima ni muhuni tu na tapeli wa kutupwa????

Hivi mnafikiri watanzania wanazubaishwa na hao ndumilakuwili makonda na Gwajima???
 
kardinali pengo inaelekea ana influence sana kwenye siasa za hapa tz
 
Iwe mbaya kivipi??? Kukutana kunazuia uhalisia kuwa Gwajima ni muhuni tu na tapeli wa kutupwa????

Hivi mnafikiri watanzania wanazubaishwa na hao ndumilakuwili makonda na Gwajima???

Kwani kupiga picha tuu, unafikiri hakuna aliyefaidika, kisiasa au kivingine ?
 
Labda uniambie wewe! Nani atafaidika na iyo picha ?? Kweli CCM ni mazwazwa saana

Ha ha ha ha kweli wewe siasa imekutupa mkono. Kisiasa hapo kuna atakae faidika, kama kulikuwa na wakatoliki wenye kinyongo na Gwajima hicho kinyongo kikaondoka uwezekano wa kumpa kura Gwajima unakuwa mkubwa.
 
Kiwango cha juu cha upotoshaji, Cardinal Jude Thaddaeus Ruwa'ichi ana tamani awe Cardinal emeritus of Dar es salaam.

Kibinadamu Cardinal Ruwa'ichi anatamani pia awe kama Cardinal Pengo - President of the SECAM ( Symposium of Episcopal Confrences of Africa and Madagascar ) Mkuu wa Mabaraza yote ya Kiaskofu Africa na Mdagascar.

Ubunge wa Kawe usitufanye tuwashushe watu ambao Dunia inatamani wazaliwe nchini kwao.
Alikueleza kuwa anatamani

Au umejitungia wewe[emoji44]
 
Alikueleza kuwa anatamani

Au umejitungia wewe[emoji44]

Ndio maana nilianza kwa kusema kibinadamu, kwa kawaida katika kazi au utumishi kila mmoja hupenda kufika ngazi ya juu kabisa, na wasio taka ama hakuna au wachache mnoo.
 
Wananchi hawana budi kujiuliza hivi huyu Gwajima kwanini anautafuta huu ubunge kwa udi na uvumba ili hali huko nyuma aliudharau?
Sadaka zimepungua Sana waumini wamezombwa na kina bulldoza na ile scandal ya video ya ngono imemharibia Sana heshima yake acha akimbilie kwenye siasa
 
Pengo alishatangaza kumsamehe hata sisi tumemsamehe ila kura zetu hapati kwani anatumia jina la Mungu kufanya utapeli
 
Back
Top Bottom