Karibu kitaani kamanda mie nilifeli shule sababu sikuwa na akili ila sa hivi napiga hela mingi kwenye biashara yangu ya majeneza na sina njaani jambo ambalo nimekuwa nalifikiria mara nyingi kuchana hivi vyeti maana vinanitia hasira sana hakuna vilichosaidia kwa miaka minne leo nimechana rasmi kuanzaia olevel mpaka chuo tukutane mtaani guys
Malizia na Kuichana pia na Akili yako ambayo inaonyesha ilishaanza Kuchanika Kitambo tu japo yawezekana Wewe Mwenyewe usilifahamu hili pia.ni jambo ambalo nimekuwa nalifikiria mara nyingi kuchana hivi vyeti maana vinanitia hasira sana hakuna vilichosaidia kwa miaka minne leo nimechana rasmi kuanzaia olevel mpaka chuo tukutane mtaani guys
Kwa-Uandishi huu👆nipo serious mana wala sina haja ya kudanganya maana hamna faida
ni jambo ambalo nimekuwa nalifikiria mara nyingi kuchana hivi vyeti maana vinanitia hasira sana hakuna vilichosaidia kwa miaka minne leo nimechana rasmi kuanzaia olevel mpaka chuo tukutane mtaani guys
Una chura?Wow hongera mkuu! Uko vizuri naomba kwenye hizo nafasi unikumbuke pia Boss(am serious)😉
Umetisha Sana aiseeni jambo ambalo nimekuwa nalifikiria mara nyingi kuchana hivi vyeti maana vinanitia hasira sana hakuna vilichosaidia kwa miaka minne leo nimechana rasmi kuanzaia olevel mpaka chuo tukutane mtaani guys