Hatimaye leo nimefanikiwa kuchana vyeti vyangu

ni jambo ambalo nimekuwa nalifikiria mara nyingi kuchana hivi vyeti maana vinanitia hasira sana hakuna vilichosaidia kwa miaka minne leo nimechana rasmi kuanzaia olevel mpaka chuo tukutane mtaani guys
Karibu kitaani kamanda mie nilifeli shule sababu sikuwa na akili ila sa hivi napiga hela mingi kwenye biashara yangu ya majeneza na sina njaa
 
ni jambo ambalo nimekuwa nalifikiria mara nyingi kuchana hivi vyeti maana vinanitia hasira sana hakuna vilichosaidia kwa miaka minne leo nimechana rasmi kuanzaia olevel mpaka chuo tukutane mtaani guys
Malizia na Kuichana pia na Akili yako ambayo inaonyesha ilishaanza Kuchanika Kitambo tu japo yawezekana Wewe Mwenyewe usilifahamu hili pia.
 
Usingevichana mkuu.

Problem uliamini vyeti ni vya ajira tu ila ungeendelea kupigana alafu mambo yakikaa vizuri unavibandika ukutani ili watoto na wajukuu zako wavione.

Na uwaambie vyeti au kusoma sio kupata ajira tu.
 
Haa ha...!! Kweli elimu ya sasa ni kifungo cha maishaa
 
ni jambo ambalo nimekuwa nalifikiria mara nyingi kuchana hivi vyeti maana vinanitia hasira sana hakuna vilichosaidia kwa miaka minne leo nimechana rasmi kuanzaia olevel mpaka chuo tukutane mtaani guys

Lete picha..!! Tutakuaminije
 
Siyo kwamba umechoma nyaraka za serikali hivyo unapaswa kukamatwa na kushitakiwa mahakamani?
 
ni jambo ambalo nimekuwa nalifikiria mara nyingi kuchana hivi vyeti maana vinanitia hasira sana hakuna vilichosaidia kwa miaka minne leo nimechana rasmi kuanzaia olevel mpaka chuo tukutane mtaani guys
Umetisha Sana aisee
 
Karibu katika chuo chetu kinatwa street university
 
Miaka minne tu unachana vyeti, si ungeombea ata upolisi
 
Back
Top Bottom