FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,356
Hajafanya chochote? Argentina umiepeleka Wewe kombe LA dunia 2018?Kifupi anabebwa na team mbona Argentina kacheza miaka zaidi ya kumi hata kombe LA kuku hana. Guadiola kafanya nini pale EPL
Bora ungeweka matumain kwa Sarah wa livapul na misri yake kuliko huyo messBaada ya chama langu ITALY kutolewa, nitamsapoti MESSI & ARGENTINA yake WC 2018.
Ukiiondoa UJERUMANI kama ilivyokuwa WC 2014, basi ARGENTINA ingeweza kutwaa ubingwa kirahisi.
Kikwazo ni haya Majerumani.
Haya tuseme amecheza Argentina kaifanyia nini
Mkuu unachekesha, kwahiyo unataka afanye nini?Ndio mana tunarudi palepale kua team work UA bacerona ndio inambeba hivo hawezi enda popote zaidi ya kubakia baca hawezi fanikiwa popote
Hata mane kaipeleka Senegal kombe LA duniaHajafanya chochote? Argentina umiepeleka Wewe kombe LA dunia 2018?
Subiri msimu ufike mwisho utajua kafanya nini Gardiola.
[n]Kifupi usimpenda kaja ....hata umchukie vip huwezi badili chochote...
Tofautisha kuchukuwa vikombe kwenye klabu na uwezo binafisi. Ndiyo maana mwenye thread hii hajaorodhesha makombe/vikombe na vilabu ambavyo messi10 kacheza. Kakuwekea highlights kuonyesha uwezo wake binafisi.Kifupi anabebwa na team mbona Argentina kacheza miaka zaidi ya kumi hata kombe LA kuku hana. Guadiola kafanya nini pale EPL
Ha ha ha! Acha utani bhana. Misri & waafrika wenzake sioni wakifika mbali sana kama ilivyo ada.Bora ungeweka matumain kwa Sarah wa livapul na misri yake kuliko huyo mess
Kwaiyo uunaamini Messi akihama atachuja?Ila mkuu hili swala lina mantiki maana kuna wachezaji wakihamaga team wanachuja vibaya mno
Barcelona inambeba ila nje ya hapo habebwi ndio mana hafanikiwiMkuu unachekesha, kwahiyo unataka afanye nini?
Mchango anao utoa pale Barcelona huoni?
Nilichogundua Wewe hujui Mpira. Nakwamba unamchukia Messi10 na Gardiola kwa 7bu ya Barcelona.Mafanikio ya team unayochezea ndio yatakufanya uonekanike bora achana na mahaba Niue . mess nje ya baca hata vpl ya kina manara hawezi chukua
Alichezea club gani hakufanikiwa?Barcelona inambeba ila nje ya hapo habebwi ndio mana hafanikiwi
Jibu zuri sana hiliHapa nazungumzia uwezo binafsi wa mchezaji kama zidane, Ronaldinho, na hata J okocha kumiliki mipira na kufunga sasa messi wako waweza muweka kwenye hilo kundi? Jibu ni hapana
Wewe uliposikia kuwa messi hajawahi kucheza tim nyingine nawe unaleta hapa sio, ina maana hayo magoli anayofunga anayafunga kwa kuwa gupo BARCA?Mbona mnatumia nguvu nyingi sana kuonyesha mess bora. MTU toka azaliwe club anayoijua ni bacerona tu akitoka apo baca atakua sawa na frimpong tu yule wa arsenal. Huku mfalme mwenyewe hata nikimleta yanga yeye atang'aa haitaji kumtaja jina
Kumbe unamchukia kwa 7bu ya ubaguzi wako ?. Yaani ubaguzi wako ndiyo kigezo cha kumuona Messi10 hafai??? Mo Sarah anajuwa Mpira ni mwafika kama Mimi lakini siwezi kumchukia Messi10 kwa 7bu siyo mwafrika.Bora ungeweka matumain kwa Sarah wa livapul na misri yake kuliko huyo mess
Messi anaibeba Barcelona, magoli yake anazisha move na anamaliza yeye au ana assist.Barcelona inambeba ila nje ya hapo habebwi ndio mana hafanikiwi
Kwani Messi hajawah kucheza na hizo team za EPL? UNAJUA KWANIN % kubwa wa washabiki wa team za EPlL wamnachukia the king messi na team yake ya BARCA? Hiyo tim ya barca uwafunga nmpk umekuwa chuki na ukitaka kujua hilo WATU HAO HUWA WAKIKUTA BARCA IKICHEZA WANASEMA TOA WEKA CHANNEL NYINGI, UKISIA MTU AKISEMA HIVYO,JUA TIM YAKE YA EPL ILIWAHI KUNYOLEWA NA BARCA NA PIA MESSI ALITUPIA BAO SIKU HIYO. FUTILIA UTAONA UKWELI HUO.Utajipimeje mchezaji bora kwa kuogopa changamoto . Atoke uko aende EPL uko mbeleko hakuna ataishia kuokota mipira. Hakuna kama cr hata tukimpanga na wewe atachukua tu uefa
Hahaaaa unamsuport mwenzio anakudanganya hapo, mfano jamaa kasema uwezo wa kufunga, niwaulize Messi na hao nani ana magoli mengi?Jibu zuri sana hili
Nafikiri hata El classico ya juzi, 23/12/2017 hawakuangalia hawa. Messi10 aliwekewa watu wawili wa kum-mark (Casemiro na Kovacic) lakini bado alitengeneza chance nyingi tu kuliko mchezaji yoyote siku ile.Mkuu unachekesha, kwahiyo unataka afanye nini?
Mchango anao utoa pale Barcelona huoni?