Ona ambavyo ubongo wako unategea kufanya kazi Madrid lini amecheza na lipuli?Kwani Madrid haitandiki baca kama vile anajipigia lipuli ya matola iringa
Duh, misemo hiyo bado unayo? Kwani Messi hajawahi kucheza zidi ya timu za hizo ligi unazozitaka akacheze? Mbona mnatheory za kizamani sana? Mlianza kumsema Pep Gardiola aaah sio kocha, yuko La Liga tu, haya akaenda Bundersliga akafanya yake, kaja EPL moto aliowasha mshaanza kusema anapoteza heshma ya EPL, sasa mnataka nini?Mbona mnatumia nguvu nyingi sana kuonyesha mess bora. MTU toka azaliwe club anayoijua ni bacerona tu akitoka apo baca atakua sawa na frimpong tu yule wa arsenal. Huku mfalme mwenyewe hata nikimleta yanga yeye atang'aa haitaji kumtaja jina
Yataje[/QUOTE
Akiwa na team ganiKwani hizo timu si huwa anakutana nazo champions league?
Huyu MTU hajikutokea yeye kila anapoenda ni ndoo tuuCr 7 ni shida saaaana huyu jamaa sifa zimemzidi
BrainlessSina muda wa kutaja mafanikio ya ronado kwenye mabonanza mechi rasmi tu mess hajafika hata robo ya ronado
Ona ambavyo ubongo wako unategea kufanya kazi Madrid lini amecheza na lipuli?
Mimi naongelea reality Madrid kafungwa goal 3 na Levante the same applied.
Njoo uniambie Lipuli na Barca matokeo yalikuaje?[/
Unataka aende wapi? Na anyanyue ndoo?Unachobisha ninini cr7 habari nyingine popote alipo anamabeba ndoo tu. Tofauti na mess nje ya baca hana kipya
Ona ambavyo ubongo wako unategea kufanya kazi Madrid lini amecheza na lipuli?
Kwani EPL kafanya mini
Duh, misemo hiyo bado unayo? Kwani Messi hajawahi kucheza zidi ya timu za hizo ligi unazozitaka akacheze? Mbona mnatheory za kizamani sana? Mlianza kumsema Pep Gardiola aaah sio kocha, yuko La Liga tu, haya akaenda Bundersliga akafanya yake, kaja EPL moto aliowasha mshaanza kusema anapoteza heshma ya EPL, sasa mnataka nini?
Mimi naongelea reality Madrid kafungwa goal 3 na Levante the same applied.
Njoo uniambie Lipuli na Barca matokeo yalikuaje?[/
SerbiaUnataka aende wapi? Na anyanyue ndoo?
Sasa aende wapi yaani uache maisha mazuri na bora utafute mabovuMbona mnatumia nguvu nyingi sana kuonyesha mess bora. MTU toka azaliwe club anayoijua ni bacerona tu akitoka apo baca atakua sawa na frimpong tu yule wa arsenal. Huku mfalme mwenyewe hata nikimleta yanga yeye atang'aa haitaji kumtaja jina
Wambie hao Serbia national team wamnunua au mwambie mama yako amnunueSerbia
Vamalen ajawahi cheza na vikombe anavyo kibaoAmeipa uero team yake . ana balond5 mchezaji bora wa dunia 2. Uefa 4 kwa man u 1 kwa real3. Kachukua back to back uefa vitu kama hivo mess kwake ni ndoto
Au penaldo
Mashabiki wa Chelsea wamejaza matako kichwani kama Hazard
Haunaga point zaidi ya matusi. Kichwa chako kimejaa majani mabichi ya mipapai.Mashabiki wa Chelsea wamejaza matako kichwani kama Hazard