Hatimaye Lionel Messi athibitisha kwamba yeye ndio mchezaji bora wa dunia

Kwani Madrid haitandiki baca kama vile anajipigia lipuli ya matola iringa
Ona ambavyo ubongo wako unategea kufanya kazi Madrid lini amecheza na lipuli?

Mimi naongelea reality Madrid kafungwa goal 3 na Levante the same applied.

Njoo uniambie Lipuli na Barca matokeo yalikuaje?
 
Mbona mnatumia nguvu nyingi sana kuonyesha mess bora. MTU toka azaliwe club anayoijua ni bacerona tu akitoka apo baca atakua sawa na frimpong tu yule wa arsenal. Huku mfalme mwenyewe hata nikimleta yanga yeye atang'aa haitaji kumtaja jina
Duh, misemo hiyo bado unayo? Kwani Messi hajawahi kucheza zidi ya timu za hizo ligi unazozitaka akacheze? Mbona mnatheory za kizamani sana? Mlianza kumsema Pep Gardiola aaah sio kocha, yuko La Liga tu, haya akaenda Bundersliga akafanya yake, kaja EPL moto aliowasha mshaanza kusema anapoteza heshma ya EPL, sasa mnataka nini?
 
Mesi ni mchezaji bora duniani
Lakini yuko mfalme wa soka lenyewe ambaye ni Pele
 
Unachobisha ninini cr7 habari nyingine popote alipo anamabeba ndoo tu. Tofauti na mess nje ya baca hana kipya
Ona ambavyo ubongo wako unategea kufanya kazi Madrid lini amecheza na lipuli?

Mimi naongelea reality Madrid kafungwa goal 3 na Levante the same applied.

Njoo uniambie Lipuli na Barca matokeo yalikuaje?[/
 
Kwani EPL kafanya mini
Duh, misemo hiyo bado unayo? Kwani Messi hajawahi kucheza zidi ya timu za hizo ligi unazozitaka akacheze? Mbona mnatheory za kizamani sana? Mlianza kumsema Pep Gardiola aaah sio kocha, yuko La Liga tu, haya akaenda Bundersliga akafanya yake, kaja EPL moto aliowasha mshaanza kusema anapoteza heshma ya EPL, sasa mnataka nini?

Mimi naongelea reality Madrid kafungwa goal 3 na Levante the same applied.

Njoo uniambie Lipuli na Barca matokeo yalikuaje?[/
 
Mbona mnatumia nguvu nyingi sana kuonyesha mess bora. MTU toka azaliwe club anayoijua ni bacerona tu akitoka apo baca atakua sawa na frimpong tu yule wa arsenal. Huku mfalme mwenyewe hata nikimleta yanga yeye atang'aa haitaji kumtaja jina
Sasa aende wapi yaani uache maisha mazuri na bora utafute mabovu
 
Ameipa uero team yake . ana balond5 mchezaji bora wa dunia 2. Uefa 4 kwa man u 1 kwa real3. Kachukua back to back uefa vitu kama hivo mess kwake ni ndoto
Vamalen ajawahi cheza na vikombe anavyo kibao
 
Back
Top Bottom