Alonso14
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 1,785
- 1,817
Ona ambavyo ubongo wako unategea kufanya kazi Madrid lini amecheza na lipuli?Kwani Madrid haitandiki baca kama vile anajipigia lipuli ya matola iringa
Mimi naongelea reality Madrid kafungwa goal 3 na Levante the same applied.
Njoo uniambie Lipuli na Barca matokeo yalikuaje?