Hatimaye Mke wa Sugu afunguka kuhusu kufuta picha ya Sasha baada ya povu la Faiza

Happy na Faiza wote wehu amini hili...tena Faiza ana nafuu
 
Kwan uongo? Pale ukumbini sura yake ilionesha wazi kabisaa.
Hata km sahivi anaonesha yeye ni mshali, mwenzake hataki mwanae ampost au awe karibu yake, yeye analazimisha why?

Muache ajitoe ufahamu atatukanwa had baas. Lol
Sio ukorofi hilo ni jibu la mpumbavu
 
Mie naona hata faiza Ni mjinga tu.kama aliweza kumwacha aende mby at 3 years inamaana kuko vizuri na ndo maana dogo anaendelea kwenda. Na kule no kwao.mama atapost,baba wadogo,mashangazi na hata majirani. Atazame tu.
Hakuruhusu aende sema watanzania wasahaulifu

Huyo aliporwa mtoto na mahakama alipoonekana akili zinamruka mara avae pampers mara vae vinini sijui sugu akafungua kesi
 
Huyo dada nae mshari kwani lazima walimwengu wajue kama ana mpenda huyo mtoto
Kafanya hivyo baada ya Faiza kutaka kupaint picha kuwa namchukia mwanae, sasa yeye jataka kuwaonyesha kuwa hata picha napiga naye na hata aliwah mnunulia zawadi ya birthday.
Lile lilikuwa jibu technical kwa aliyoyasdma faiza kwa akina qwisa
 
Mwanamke inaonekana hana shida na mtoto..
Ila Kimbembe kipo kwao hao wanawake wawili,
 
Nainawezekana kwel anampaka mafuta ila huyo faiza alijuaje lazima nae alifanywa
 
Happy aache ukorofi, awapost wanae, kwan hajazaa? Sahivi tutakua upande wa Faiza khaaah, aache name sifa za kutaka kumrusha roho mwenzake msieeew.
Kwa kuangalia na jicho la karibu Happy ni mkorofi na mswahili sema wa chini chini anapenda ku play victim maana kuna wakati alikua hadi na fake account ya kumtukana Faiza.
Kwa upande mwingine Faiza akili zake namfananisha na Gigy money...wote ni kama kuna kitu wanapuliza kwasababu hawajali wanaropoka chochote muda wowote akili inapowatuma ila ukiwafuatilia they are good and loving mothers to their kids pamoja na wendawazimu wao. Hawana unafiki akikasirika anasema; akitaka kutukana ana tukana na hawajali maneno/matendo yao yatawaadhiti vipi wao na watoto wao.....ukimuangalia Sasha (binti wa Faiza) kako very sweet ana maadili na anajua dini anaenda madrasa na shule yuko smart ni ngumu kuamini kalelewa na Faiza tunaemuona mtandaoni.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan ni lazima happy kumpost mtoto wa Faiza? Mambo mengine tuweke ushabiki pembeni. Khaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…