Hatimaye Mke wa Sugu afunguka kuhusu kufuta picha ya Sasha baada ya povu la Faiza

Li Happy lichokozi sana[emoji57][emoji57]

Si apost wake
Watoto wake bakongo ndo maan hawapost, Faiza kasema, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndo tatizo la wabongo hili dea, yaan mtu ukiwa na madhaifu yako, hata wakati ukiwa sahihi unaonekana uko tofauti, kwa hili nipo na Faiza, huyu happy si kazaa? Awapost wake khaaah.

Kwanza huyo Faiza hatukano vizuri, awape watu kazi watamnyoosha huyo happy atabaki kulia hovyo km mfiwa aliyekosa lambi lambi, nyokoooooh.
 
Halafu ni Tanzania tu ambapo mtu mwenye tabia zisizafaa anaweza kuwa anajifanya ni role model mtoa ushauri,...Faiza na yulee mwingine aliyekuwa house girl ...somebody Kiria !
 
Upumbumbavu wake ndo ulifanya asiolewe na sugu, saivi kabaki kudanganya ma single maza na "sizitaki mbichi hizi"
 
Halafu ni Tanzania tu ambapo mtu mwenye tabia zisizafaa anaweza kuwa anajifanya ni role model mtoa ushauri,...Faiza na yulee mwingine aliyekuwa house girl ...somebody Kiria !
Nimeshaona mwanamke akishaona ameharibu upande wake anatumia nguvu nyingi kuiaminisha jamii upande aliòpo ndo sahihi....faiza aliumia kipindi iko akiamka anatukanaaa kumvua nguo mzazi mwenzie, asubui anamsifia na kumtaka juu! Kaona kashindwa kabisq saivi anamtumia mtoto kwenye hasira zake na kichaa chake.....anatamani sana nafasi aliyonayo happy ila ndo alishaharibu hafai kuwa mke kabaki kuwa role model wa masingo maza
 
Mtoto anaishi na faiza kwa babaake anaenda mara moja moja tena kwa mbinde bado happy akipiga nae picha mnaona nongwa au mnataka amnyanyapae?
 
Akili za mama wa kambo zimetulia kuliko za mama mzazi wa uyo mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…