Vijana hawana kazi ya kufanya hawajui faida positive za mitandao. Kumradhi bro niliandika po ,kumaanisha positive ikaja pombe nimerekebisha nowπ€£Ni preference tu, kwani live kuna ugumu gani hadi useme wanaotongoza mitandaoni ni madomozege? Tena kwa zama hizi unapanda daladala ukishuka umeshapata babez. Mkuu kwa sasa iwe live au online ila pussy is very cheap
Tena ya jioni dear, tutanywea kashataβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβ
Mabinti wapo huko tiktokππMmoja mmoja lakini asilimia kubwa ni vibibi.
Na wanawake wa mitandaoniAwe makini na nini
Ndio hawa wa kimara tunaopishana nao kila siku mkuu. Kwanza mboga ya mtandaoni tamu sanaπNa wanawake wa mitandaoni
Utamu wake unakuwaje mkuu?Ndio hawa wa kimara tunaopishana nao kila siku mkuu. Kwanza mboga ya mtandaoni tamu sanaπ
Jaribu utajua..achana na hao mnapishana kwa mangi kununua viberitiUtamu wake unakuwaje mkuu?
Kama kawa bosi vipi hapo Spain wanasemaje πVincenzo Jr vip mkali?
Sasa Spain si America ya mchongo iliyopo ulaya au nakosea bosiSipo Spain bro mimi nipo America
Tuma tena sijaonaππ
Diamond: yatakwishaUngependa tukusindikize na wimbo gani mkuu!?
Sijakuelewa kakaTuma tena sijaona
Mimi wa kike, naogopa wanaume wa mitandaoni sanaπ₯²πββοΈπββοΈJaribu utajua..achana na hao mnapishana kwa mangi kununua viberiti
Namna ulivyo andika hayo maneno hapo,, inaonekana ni kweli umedata mkuu πWakuu siku ya leo ipo na majonzi sana jamani mwanamke Wangu au mke wangu niliyekutana nae JamiiForums miaka saba iliyopita miaka miwili kwenye uchumba na miaka mitano kwenye ndoa aisee it so pain wakuu
Kosa langu ni kumuambia ukweli au kumkaripia kwasababu ya kuchati na member mmoja wa humu jamvini wakitongozana na mke wangu amekolea sana na wapo mbioni kuolewana aisee wakuu
Member wewe uliyeniachanisha na mke wangu nashukuru sana kwa ulionifanyia aisee hii ni dunia karma ipo aisee nashukuru sana kwa unafiki wako aisee
Umekunywa pombe chafu mangiSasa Spain si America ya mchongo iliyopo ulaya au nakosea bosi
Dah!ππUmekunywa pombe chafu mangi