Uchaguzi 2020 Hatimaye Mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo la Kibamba ameachia, atoa fomu kwa mgombea Ubunge halali wa CHADEMA

Sina imani kabisa na huyo mama kabisa, na hata matokeo yakitokea mgombea wa Cdm kashinda hatamtangaza.
Hata hivyo huyu jamaa kapigania haki yake ya Kugombea balaa ,awaandae wapiga kura kudai ushindi wake kwa nguvu.
 
Ila uneandika uki kimbia haina maelezo ilikuwaje.. Sasa Chadema wanatakiwa waandike barua tume kumkataa huyu mama kuwa msimamizi.
 
Tundu lissu anakuja Dar[emoji16] tutawapata siku nyingine
 
Mnyika anagombea jimbo gani?msaada please!
Mnyika alizisoma alama za nyakati mapema sana, alijua kabisa Kibamba hachomoi, sio kwa sababu CCM inapendwa sana, lakini kumekuwa na ubaguzi wa jinsi maendeleo yanavyoletwa majimboni. Watu wanaona wairudishe CCM ili mambo yaende.
 
Kwani aliyechukua hajajulikana?
 
Wanaotakiwa kumchukulia hatua ni CCM au CHADEMA?
 
Mama shetani mkurugenziccm atakuwa kapita JF au CCM wenzie wamepita wakamwambia kuwa ingia usome maoni ya wananchi ndipo akabaini kuwa mbinu zake haramu zimebainika tayari.
 
naona katika kuibeba CCM hata akili hazitumiki. utopolo tufanye ila tukumbuke kujitunzia na kaheshima kidogo hata kakupokelea shikamoo
 
Kilichonishangaza kwenye Yale majibizano, Ni Mkurugenzi kukataa kuonyesha barua iliyomruhusu mgombea asiyefahamika kuchukua fomu!
 

Ilikuwa wazi lazima atoe maana waliotapeliwa ni NEC na sio CHADEMA......Chadema hawana kosa lolote ni sawa na mtu aende bank afake yeye ni Bakhresa halafu Bank teller ampe mpunga ,kisha bakresa real akilalamika mpunga wake umechukuliwa then Bank wamjibu mwenye kosa ni Bakhresa mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…