Uchaguzi 2020 Hatimaye Mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo la Kibamba ameachia, atoa fomu kwa mgombea Ubunge halali wa CHADEMA

Sina imani kabisa na huyo mama kabisa, na hata matokeo yakitokea mgombea wa Cdm kashinda hatamtangaza.
Hivi hawa wagombea wanachukua fomu bila utambulisho toka kwenye vyama vyao?!
 
Chadema wameloga hafi form imetoka..
 
Kuna mambo ukiyafikiria sana nchi hii unaona kabisa wale waliosema afrika tulipaswa kuendelea kutawaliwa hawakukosea.Sasa hapo unakuta ni watu namavyeti yao ya shule ila wanafanya mambo ya ajabu kama hayo.
 
.....Bado haijulikani yule fake atachukuliwa hatua gani kwani nchi hii wana CCM wako juu ya sheria.

Acha utopolo kichwani. Umeona wapi CCM akagombea kupitia ufipa?

Pia nakusahihisha hakuna aliye juu ya sheria
 
Huwezi jua yawezekana huyo feki akairudisha imejazwa imekosewa na ndiyo ikatumiwa vibaya
 

Cha muhimu katoa, hayo mengine watajuana huko kwenye vikao vyao vya roho mbaya.
 
Mwanamke mpuuzi sana yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…