Nachapa tena show za watu kama hao unamuandalia mazingira fit unampa show moja ya kiuanamume na ya kibabe kiasi kwamba akitoka hapo kila aki- recall matukio anabaki anacheka cheka tu mwenyeweHahahaha.dih...haina kuremba hyo
Mbona wenzenu tumeshazoea na ni raha tuHahahah kuoa sio masaburi mkuu kwamba hata nyani anayo😅😅😅
Juzi kati nimemwambia kijana mmoja tupo naye mtaani hayo makalio unayoyaona wanakubinulieni na kuyatikisa ili mtegeke akili zote zipo humo humo kwenye traaaqo! Kichwani ni box tupu, ukitaka kuamini oa weka ndani uone shughuli yake.Haahahaaaa,tako halidanganyi mkuu
Hongera sana mkuu, karibu kwenye chama la wasio na ndoa ila tunafamilia...Asalaam,
Ndoa yangu ilikua nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia.
Wanaume tutafute hela, ndo thamani yetu!
#Mwanamkemkwelinimamayakotuu
Hatari sana!Sio wazungu tu hata sisi nchi zetu hizi ndicho kinachotokea sasa, unaona majadiliano ya vijana wengi hata hapa jamvini wanasema hawana mpango wa kuoa.
Hata katika maisha ya kila siku ndoa zinapungua sana kadiri siku zinavyosogea. Ke wanazalishwa na kutelekezwa
Pengine alijua size ipo moja ndugu! mashost walipomshawishi ajaribu ndo akakutana na 6*6Ata kama anacho..huyo mwanamke kwanini alimkubalia tokea siku ya kwanza?
Na wanatega hasa,juzi kati nilikuwepo hapo IYUNGA nikakutana na kabinti daaah! ana tako,guu, kiuno yaani hadi IMANI ikanitoka nikajikuta nimemvamiaJuzi kati nimemwambia kijana mmoja tupo naye mtaani hayo makalio unayoyaona wanakubinulieni na kuyatikisa ili mtegeke akili zote zipo humo humo kwenye traaaqo! Kichwani ni box tupu, ukitaka kuamini oa weka ndani uone shughuli yake.
Uzuri ni kwamba wanaume wengi wanaojielewa huwa wanatuliza sana akili wakati wa kuoa
Hapo sasa! mjadala ndio kwaaanza unaanzaMi nadhani wanaume sometimes tuwajibike kwa madhambi yetu pindi na wenzetu wanapoamua kurudisha mashambulizi.
Uyu mtoa mada alikua mchepukaji mzuri Sana,
Bahati mbaya mwenzie nae alipoanza kuchepuka IMEMUUMA MNO mpaka anatangaza kuvunja Ndoa.
Kisingizio anacholeta Ni pesa, WAKATI UHALISIA anaujua.
This is KARMA
cc: mawardat, Extrovert, financial services, RReigns, Evelyn Salt, @mbalizi1View attachment 1827299View attachment 1827300
Mzee wa kufukua makaburi arooo, kumbe naye ni mchepukaji aroooo, pumbavuuuu zakeMi nadhani wanaume sometimes tuwajibike kwa madhambi yetu pindi na wenzetu wanapoamua kurudisha mashambulizi.
Uyu mtoa mada alikua mchepukaji mzuri Sana,
Bahati mbaya mwenzie nae alipoanza kuchepuka IMEMUUMA MNO mpaka anatangaza kuvunja Ndoa.
Kisingizio anacholeta Ni pesa, WAKATI UHALISIA anaujua.
This is KARMA
cc: mawardat, Extrovert, financial services, RReigns, Evelyn Salt, @mbalizi1View attachment 1827299View attachment 1827300
Mkuu utamuua, inatosha hahahah, daah ila karma ni balaa, nitatulia na ndoa yangu siku zoteUnapokua na MKE mstaarabu,mrembo na shepu anayo.
Afu bahati mbaya ukawa UNAKIBAMIA, kinachokufanya kwako iwe Ni ngumu Sana kumfikisha kileleni mpaka inafikia hatua mwanamke anakuvumilia na anaamua kukuweka wazi kua Ni wazi humridhishi kitandani mbadala wake mwanamke anakwambia Ni anajichua ili kulinda heshima ya ndoa yenu.
Aisee kama mwanaume kwa mazingira Ayo Unapaswa kua makini mno na umheshimu Sana mkeo.
Ulichofeli mtoa mada,
Ukaanza kua mtu wa michepuko kutafuta vifuniko vya SPIDO, Ukidhani Mwenzio hawezi kutafuta mitaimbo .
Sasa Mwenzio nae kaamua kuchepuka kama ulivyokua unafanya,
Mleta mada Umeleta Uzi ukisingizia tatizo ni pesa kumbe UHALISIA unauficha chini ya kapeti
This is KARMA, na DUNIA Ni duara.
Mtoa mada amevuna alichopanda. PERIOD[emoji106]
Cc: onlyalvira, Evelyn Salt, RReigns, Extrovert, financial services, mawardat, View attachment 1827327View attachment 1827328View attachment 1827333
Mtoa mada,Mzee wa kufukua makaburi arooo, kumbe naye ni mchepukaji aroooo, pumbavuuuu zake