Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Hahahaha.dih...haina kuremba hyo
Nachapa tena show za watu kama hao unamuandalia mazingira fit unampa show moja ya kiuanamume na ya kibabe kiasi kwamba akitoka hapo kila aki- recall matukio anabaki anacheka cheka tu mwenyewe
 
Pole mtoa mada.
Sehemu ninayofanyia kazi huwa tunaishi kama ndugu, huwa tunapeana tafu kwenye mambo ya Misiba, Sherehe au matatizo ya kifamilia. Mwezi uliopita tulikuwa na ratiba ya kwenda kuwatembelea wenzetu 7 waliofukuzwa kazi miaka 3 iliyopita (Ni wale wa vyeti feki). Baada ya kuonana nao wote tulikuta ni mmoja tu ndio bado anaishi na mkewe wakiwa na amani. Wengine 6 baada ya kuachishwa kazi na ndoa zao nazo zilikuja kufa.

Nilichojifunza ni kwamba Mume akikosa kazi anaathirika kisaikolojia hivyo anatakiwa apate faraja toka kwa Mkewe, Sasa kinachokuja kujitokeza ni kuongezeka kwa kero toka kwa Mke badala ya faraja.
Mume ukiyumba kiuchumi unapata nafasi kubwa ya kumjua mkeo kitabia na kipindi hicho ndio hupelekea mahusiano mengi kuvunjika.

Mwanaume akiwa na kazi anaweza kuishi na mke asiye na kazi, ila Mke mwenye kazi anashindwa kuishi na Mume asiye na kazi hata kama kazi aliyonayo mke ilitokana na sapoti ya Mume.

Ushauri wangu kwako mtoa mada pambana ili upate kazi itakayokuingizia kipato. Matatizo uliyoyapitia yatakupa nguvu ya kupambana na hakika Mungu atakubariki.
 
Haahahaaaa,tako halidanganyi mkuu
Juzi kati nimemwambia kijana mmoja tupo naye mtaani hayo makalio unayoyaona wanakubinulieni na kuyatikisa ili mtegeke akili zote zipo humo humo kwenye traaaqo! Kichwani ni box tupu, ukitaka kuamini oa weka ndani uone shughuli yake.

Uzuri ni kwamba wanaume wengi wanaojielewa huwa wanatuliza sana akili wakati wa kuoa
 
Asalaam,

Ndoa yangu ilikua nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia.

Wanaume tutafute hela, ndo thamani yetu!

#Mwanamkemkwelinimamayakotuu

Hongera sana mkuu, karibu kwenye chama la wasio na ndoa ila tunafamilia...
 
Mi nadhani wanaume sometimes tuwajibike kwa madhambi yetu pindi na wenzetu wanapoamua kurudisha mashambulizi.

Uyu mtoa mada alikua mchepukaji mzuri Sana,
Bahati mbaya mwenzie nae alipoanza kuchepuka IMEMUUMA MNO mpaka anatangaza kuvunja Ndoa.

Kisingizio anacholeta Ni pesa, WAKATI UHALISIA anaujua.

This is KARMA

cc: mawardat, Extrovert, financial services, RReigns, Evelyn Salt, @mbalizi1
Screenshot_20210623-091322.jpg
Screenshot_20210623-091336.jpg
 
Juzi kati nimemwambia kijana mmoja tupo naye mtaani hayo makalio unayoyaona wanakubinulieni na kuyatikisa ili mtegeke akili zote zipo humo humo kwenye traaaqo! Kichwani ni box tupu, ukitaka kuamini oa weka ndani uone shughuli yake.

Uzuri ni kwamba wanaume wengi wanaojielewa huwa wanatuliza sana akili wakati wa kuoa
Na wanatega hasa,juzi kati nilikuwepo hapo IYUNGA nikakutana na kabinti daaah! ana tako,guu, kiuno yaani hadi IMANI ikanitoka nikajikuta nimemvamia
 
Mi nadhani wanaume sometimes tuwajibike kwa madhambi yetu pindi na wenzetu wanapoamua kurudisha mashambulizi.

Uyu mtoa mada alikua mchepukaji mzuri Sana,
Bahati mbaya mwenzie nae alipoanza kuchepuka IMEMUUMA MNO mpaka anatangaza kuvunja Ndoa.

Kisingizio anacholeta Ni pesa, WAKATI UHALISIA anaujua.

This is KARMA

cc: mawardat, Extrovert, financial services, RReigns, Evelyn Salt, @mbalizi1View attachment 1827299View attachment 1827300
Hapo sasa! mjadala ndio kwaaanza unaanza
 
Mzee wa kufukua makaburi arooo, kumbe naye ni mchepukaji aroooo, pumbavuuuu zake
 
Unapokua na MKE mstaarabu,mrembo na shepu anayo.

Afu bahati mbaya ukawa UNAKIBAMIA, kinachokufanya kwako iwe Ni ngumu Sana kumfikisha kileleni mpaka inafikia hatua mwanamke anakuvumilia na anaamua kukuweka wazi kua Ni wazi humridhishi kitandani mbadala wake mwanamke anakwambia Ni anajichua ili kulinda heshima ya ndoa yenu.

Aisee kama mwanaume kwa mazingira Ayo Unapaswa kua makini mno na umheshimu Sana mkeo.

Ulichofeli mtoa mada,
Ukaanza kua mtu wa michepuko kutafuta vifuniko vya SPIDO, Ukidhani Mwenzio hawezi kutafuta mitaimbo .

Sasa Mwenzio nae kaamua kuchepuka kama ulivyokua unafanya,

Mleta mada Umeleta Uzi ukisingizia tatizo ni pesa kumbe UHALISIA unauficha chini ya kapeti

This is KARMA, na DUNIA Ni duara.
Mtoa mada amevuna alichopanda. PERIOD[emoji106]

Cc: onlyalvira, Evelyn Salt, RReigns, Extrovert, financial services, mawardat,
Screenshot_20210623-092133.jpg
Screenshot_20210623-091959.jpg
Screenshot_20210623-092117.jpg
 
Mara nyingi mabinti wa style iyo huwa wanaenda kuangukia pabaya na kupelekea kuachika.. ..mke/mchumba wako unampiga chini alafu unakimbilia kuolewa na mtu mwingine kisa eti umefulia n.k! Uliemwacha huenda akawa ni bora zaidi ya uyo unaemfuata/unaeolewa nae.
 
Unapokua na MKE mstaarabu,mrembo na shepu anayo.

Afu bahati mbaya ukawa UNAKIBAMIA, kinachokufanya kwako iwe Ni ngumu Sana kumfikisha kileleni mpaka inafikia hatua mwanamke anakuvumilia na anaamua kukuweka wazi kua Ni wazi humridhishi kitandani mbadala wake mwanamke anakwambia Ni anajichua ili kulinda heshima ya ndoa yenu.

Aisee kama mwanaume kwa mazingira Ayo Unapaswa kua makini mno na umheshimu Sana mkeo.

Ulichofeli mtoa mada,
Ukaanza kua mtu wa michepuko kutafuta vifuniko vya SPIDO, Ukidhani Mwenzio hawezi kutafuta mitaimbo .

Sasa Mwenzio nae kaamua kuchepuka kama ulivyokua unafanya,

Mleta mada Umeleta Uzi ukisingizia tatizo ni pesa kumbe UHALISIA unauficha chini ya kapeti

This is KARMA, na DUNIA Ni duara.
Mtoa mada amevuna alichopanda. PERIOD[emoji106]

Cc: onlyalvira, Evelyn Salt, RReigns, Extrovert, financial services, mawardat, View attachment 1827327View attachment 1827328View attachment 1827333
Mkuu utamuua, inatosha hahahah, daah ila karma ni balaa, nitatulia na ndoa yangu siku zote
 
Back
Top Bottom