Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Unajua ninasomaga threads za wanaume wengi humu naishiaga kucheka sana?[emoji23][emoji23]
Majority wanachoandikaga huku si uhalisia. Wnaaishi maisha tofauti sana. Wanyanyasaji sana. Opportunists, wachepukaji wakubwa. Wengine hupata support kwa partners wao ila dharau zimewajaa mpaka makalioni. Sisi wanawake huwa tuu wavumilivu sana. Unakua na mtu, unampenda kwa dhati sana. Mnasaidiana hapa na pale. Hakuhudumii chochote. Unamjali, muda wako wote unadedicate kwake ila anajikuta keki sana. Tunajioa moyo maybe mtu atabadilika kumbe hovyo kabisaaa... siku ikifika ya kuamka usingizini ndo yanakuaga kama ya mleta mada[emoji23][emoji23][emoji23]

Yaan hapa kiujumla anataka aonewe huruma tumpe farajaaa... mwanamke akikupenda hata siku moja haangalii pesa zako. Ni tabia zako mbaya na chafu ndizo zitamfukuza. Mbona kuna wake wanapiga tafu waume zao. Unakuta mtu maisha bado anapambana mke anaunganisha nguvu lakini kwakua tumejawa kiburi cha uzima basi ndo hivyo. Unachukua huku unahamishia huku. Hizi red flags kwa mahusiano yoyote yale ukiyaona mwanzoni kabisa bora uyaue hayo mahusiano maana ndo tabia halisi ya mtu husika awe ke ama me.
Wengi tabia za kivulana zinawasumbua tu hawataki kuwa wnaaume. Ukiheshimiwa heshimika. Ukitaka kudhataulika utadharaulika mwisho wa siku ndo kuleta threads humu. Huwezi kuta mara nyingi siai wanawake tunaleta malalamiko humu. Tunavumilia sana.

Mengi yanatuua ndani kwa ndani. Ila tukisemaga basi tunamaanisha. Na comeback zetu huwa ni za hatari kama za huyo mke. Japo mimi binafsi sipendelei style ya mke aliyotumia maana huo nao sasa ni umalaya. Utakitembeza nje huko ukijua unamkomoa mwenzako kumbe unajiumiza mwenyewe. Cha muhimu angefocus na boashara na watoto wake. Wamama wengine nao kujidhalilisha tu wkaati watoto ni wana akili kama nn hasa wa miaka hii. Ni kuwaumiza watoto tu.
 
Mimi huwa simwurumii mwanaume aliyekimbiwa wao ndio huanza kuchepuka wakilipiziwa ni kilio na kutafta huruma
 
Jamaa ana makando yake kama unavyoona deed pond kaweka. Ila suala la mwanamke kwenda nyanduliwa na mwanaume mwingine tena akiwa ndani ya ndoa ni takataka kbs. Hata kama ameumizwa kias gani. Angemove on tu. Mwanaume hadhalilikagi japo ndo unakua umemuachia pigo kali sana moyoni.

Huyo msela mwenyewe hana mapenz ya dhati kwa mwanamke. Ni vile kaona ana kibiashara hapo. Anapenda mtelezo tu
 
Mimi huwa simwurumii mwanaume aliyekimbiwa wao ndio huanza kuchepuka wakilipiziwa ni kilio na kutafta huruma
Hii ni win win situation, ni kwa pande zote, Wacha kila mmoja akufwe na mzigo wake [emoji3]
 
Dah..mrembo..umepita mulemule tu....paragrafu ya kwanza umepulizia....paragrafu ya pili umeng'ata...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
 
This is karma.
Malipo Ni hapa hapa duniani.

Inavoonekana mtoa mada alipokua na hela alkua kiboroDinda.

Sasa pesa zimekwisha,
Michepuko imemkimbia na nyumban huduma inasua sua.

Afu mwanamke MWENYEWE Ni pisi Kali, wahuni wamempandia Dau.

Na inavoonekana mtoa mada alipokua na pesa alkua na tabia kuwagongea wanaume wenzake Anaofahamiana nao madem wao.

Sasa na yeye pesa zilipokwisha, sahivi wanamgongea MKE wake, na maneno ya shombo wanamrushia.

Cc: mbalizi1, Rohombaya, mtimawachi, Hornet miss pablo cariha, onlyalvira, BAK, HARUFU, Extrovert, cocastic, Mshana Jr,
 
Na wanatega hasa,juzi kati nilikuwepo hapo IYUNGA nikakutana na kabinti daaah! ana tako,guu, kiuno yaani hadi IMANI ikanitoka nikajikuta nimemvamia
Hahaha we acha tu ndugu, Kuna mama mmoja mchanganyiko wa muhaya upande wa mama yake na msukuma upande wa baba yake loooooh! Nilikumbana naye kilimahewa Mwanza pale aseeee ni shida kubwa! Halafu anajua kutifuana maana amekaa sana na wazaramo na wamakonde, yaani mtu utadhani kashushwa tu toka juu
 
Wanaume wakiwa na hela hawashikii uhuni tu na kutesa wake zao, hafu wakiona wake kimya hujua wamesamehe kumbe wake huvuta tu mda, Sasa mleta mada anajiliza Liza hapa baada ya kulipiziwa, ndio maana twaambiwa usichopenda kufanyiwa Jambo usitendee wengine.
 
Kimeumana msemo wa financial services
 
Dah pole mkuu imeniuma
 

Duh 😱
 
Imekula kwake kibwengo huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…